Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all 110091 articles
Browse latest View live

Rais Kikwete ahudhuria ufunguzi wa mkutano wa TICAD V Yokohama

$
0
0
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe , Katibu Mkuu wa umoja wa Mataifa Ban-Ki Moon akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine wa Afrika wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa tano wa TICAD jijini Yokohama leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa tano wa TICAD unaofanyika Mjini Yokohama, Japan, leo. Picha na Freddy Maro

Machava fc ya Moshi yaendelea kupigwa jeki

$
0
0
 Meya wa manispaa ya Moshi Jafary Michael akiandika hundi ya kiasi cha shilingi laki 3 mbele ya viongozi wa Machava na chama cha soka mkoa ukiwa ni mchango wake kwa timu hiyo inayoshiriki ligi ya mabingwa wa
Mikoa.
 Diwani wa kata ya Kiusa katika manspaa ya Moshi Stephen Ngasa akikabidhi jezi kwa nahodha na mlinda mlango wa timu ya Machava ikiwa ni sehemu ya msaada wake katika kufanikisha safari ya timu hiyo
kucheza ligi kuu.
 Jezi ya kipa....
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akizungumza na wachezaji wa Machava katika uwanja wa Ushirika mara baada ya kumalizika kwa mazoezi ya mwisho ya maandalizi ya mchezo wa marejeano dhidi ya Mpwapwa stars ya Dodoma unaochezwa Jumapili hii.
Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi

wadau wala nondozzz Chuo cha Diplomasia katika mahafali ya 17 leo

$
0
0
 Jacqueline Ndanshau na best idiot wake Mwanaasha Ngenya wakifurahia baada ya kula nondozzzz Chuo cha Diplomasia Kurasini jijini Dar es salaam leo
  Kutoka kushoto ni Benedict Stambuli, David Joseph, Dr Mtengwa, Charles mtakwa na Paul Masanja
 Toka shoto ni Jacqueline Ndanshau, Ali Juma na Regan Kimario
 wadau David Joseph, Jacqueline Ndanshau na Paul Masanja wakila pozi

Msanii mwenje kipaji asakwa kanda ya kusini

$
0
0
Na Abdulaziz Video
Shindano la kumsaka Mwenye kipaji kwa wasanii wasiosikika kanda ya Kusini limefanyika Usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa NR Resorts, Nachingwea.  Jumla ya washiriki 26 toka  Lindi,Masasi,Mtwara,Ruangwa,Liwale na Nachingwea.
 Shindano hilo ambalo limeandaliwa na Ernest Nyambina wa Nr Resorts linaendeshwa chini ya Msema Chochote Fadhili Liwaka(MC Liwaka) ambae pia ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM.
Wasanii wakionesha vipaji
Msanii akiwa katika miondoko ya kusini
Meza kuu ikifuatilia mpambano huo
Mashabiki kibao
Nyota wa Kusini akisakwa kwa udi na uvumba
Juu na chini ni washindani katika mpambano huo

TANZANIA OIL AND GAS SUPPLIERS CONFERENCE 26th July 2013, HYATT REGENCY KILIMANJARO

$
0
0

Tanzania Oil and Gas Suppliers Conference (TOGSC) is a conference cum exhibition that will bring together key players from the supply chain together with stakeholders from the government and the oil and gas industry to discuss and engage on the different opportunities and challenges within the East Africa Scenario particularly Tanzania.
This conference that will incorporate suppliers within the oil and gas industry is a strategic event that has come at the right time considering the recent large and world class deposits of oil and gas in Mtwara and Lindi with potential for more to be discovered.
Within this new burgeoning oil and gas industry there is a need to bridge the gap of the supply chain between the suppliers/ service providers and the oil and gas industry Stakeholders. The conference will give suppliers especially the local Tanzanian suppliers the channels and means to harness and cater for this massive industry. 

KINANA AITEKA WANGING'OMBE,AZINDUA MIRADI YA KIJAMII.

$
0
0
Ndugu Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Wakazi wa kijiji cha Malangali,Kata ya Luduga,Wilaya ya Wanging'ombe mapema jana jioni.Kinana alizungumza mambo mbalimbali ikiwemo na suala la mgogoro ardhi uliohusu wananchi waishio eneo la hifadhi ya Malangali kuhamishwa,Kinana aliishauri serikali kulifanyia kazi jambo hilo kwa umakini mkubwa, kuondoa mgongano na usumbufu kwa wananchi,Aidha katika mkutano huo hadhara Kinana aliahidi kiasi cha fedha kwa vijana kuwawezesha kuunda umoja wao wa kufanya shughuli mbalimbali za kimaendeleo. 
Maelfu ya wananchi wakimlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (chini ya bendera) alipowasili jana, kwenye Ofisi ya CCM Wilaya ya Wanging'ombe, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kukagua na kuimarisha uhai wa Chama mkoani Njombe.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kuchanganya udongo kwenye ujenzi wa zahanati ya Samaria, Kata ya Makoga Wilaya ya Wanging'ombe alipopita eneo hilo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kukagua na kuimarisha uhai wa Chama mkoani Njombe.
PICHA ZAIDI BOFYA MICHUZIJR.BLOGSPOT.COM

Doris Molel ndie Redd's Miss Tabata 2013

$
0
0
Redd's Miss Tabata 2013,Doris Molel akipunga mkono kwa mashabiki wake muda mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata,Shindano hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Da'west Park,Tabata jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia jumamosi.Wengine pichani ni Mshindi wa Pili wa shindano hilo,Upendo Lema (kulia) pamoja na Mshindi wa Tatu,Rachel Mushi.
Redd's Miss Tabata aliemaliza muda wake,Noella Michael (alieketi) akisuburi kutangazwa kwa mrithi wake.
Warembo walioingia hatua ya tano bora katika Shindano la Redd's Miss Tabata 2013.
Kumi Bora.

MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AHUDHURIA KONGAMANO LAKUZUIA MAAMBUKIZI YA VVU TOKA KWA MAMA KWENDA KWA MTOTO

$
0
0
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Mama Salma Kikwete akihudhuria kongamano kuhusu kuzuia maambukizi ya HIV/AIDS lililoandaliwa na serikali ya Japan kwa kushirikiana na OAFLA huko Yokohama nchini Japan tarehe 1.6.2013.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akijadiliana jambo na Mke wa Mfalme Mswati III wa Swaziland Inkhosikati Nolighwa Ntentesa wakati wa kongamano lililokuwa linajadili kuhusu kuzuia maambukizi ya HIV/AIDS kutoka kwa mama kwenda kwa motto lililofanyika tarehe 1.6.2013 huko Yokohama nchini Japan.
Picha ya pamoja ya wake wa Marais na wakuu wa nchi za Afrika na Japan mara baada ya semina ya siku moja iliyofanyika huko Yokohama nchini Japan tarehe 1.6.2013.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiagana na Mke wa Rais wa Ghana Madam Lordina Mahama mara baada ya kuhudhuria kongamano kuhusu kuzuia maambukizi ya HIV/AIDS kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kwa ushirikiano wa Japan na Umoja wa wake wa Marais na wakuu wan chi za Afrika uliofanyika huko Yokohama nchini Japan terehe 1.6.2013.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa na Mke wa Mfalme Mswati III wa Swaziland mara baada ya kuhudhuria kongamano la kuhusu kupunguza maambukizi ya mama kwenda kwa mtoto lililofanyika nchini Japan tarehe 1.6.2013.


MAPITIO YA MAGAZETINI LEO

kampuni ya reli Tanzania yafanya uzinduzi wa usafi wa mazingira leo

$
0
0
Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Reli Tanzania( TRL) Severine Kaombwe akiwahutubia wanyakazi wa Kampuni hiyo leo jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa wiki ya mazingira ngazi ya Kampuni nchini kote ambapo kauli mbiu yao ni Fikiri kabla ya kula: hifadhi mazingira kwa uchukuzi endelevu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Reli Tanzania-(TRL) Kipallo Kisamfu akimkaribisha Mwenyekiti wa Bodi wa Kampuni hiyo jana jijini Dar es salaam kwa ajili ya uzindizi wa wiki ya mazingira kwa ngazi ya TRL uliofanyika katika Stesheni ya Dar es salaam . Kauli mbiu ya maadhimisho hayo kwa mwaka huu upande wa Kampuni hiyo ni Fikiri kabla ya kula: hifadhi mazingira kwa uchukuzi endelevu.
Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Reli Tanzania( TRL) Severine Kaombwe akionyesha baadhi ya stika ambazo zitabandikwa katika Mabehewa mbalimbali kwa ajili ya uhamasishaji wa utunzaji mazingira kwa abiria wawapo ndani ya treni . Mwenyekiti alionyesha stika hizo leo jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa wiki ya mazingira ngazi ya Kampuni nchini kote ambapo kauli mbiu yao ni Fikiri kabla ya kula: hifadhi mazingira kwa uchukuzi endelevu.
Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Reli Tanzania( TRL) Severine Kaombwe akishiriki zoezi la kusafisha maeneo ya Stesheni ya Dar es salaam leo jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa wiki ya mazingira ngazi ya Kampuni nchini kote ambapo kauli mbiu yao ni Fikiri kabla ya kula: hifadhi mazingira kwa uchukuzi endelevu.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Reli Tanzania wakimpongeza Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Reli Tanzania( TRL) Severine Kaombwe(hayupo katika picha) leo jijini Dar es salaam mara baada ya uzinduzi wa wiki ya mazingira kwa ngazi ya Kampuni hiyo.Picha na MAELEZO_Dar es salaam.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MAJADILIANO YA KITAIFA YA USHIRIKIANO KWA MANUFAA YA WOTE JIJINI DAR LEO

$
0
0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia washiriki wa Majadiliano ya Kitaifa ya Ushirikiano kwa manufaa ya Wote, wakati akifungua rasmi Majadiliano hayo yaliyoanza leo Juni 1, 2013 kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Waziri wa Viwanda na Biashara, Mary Nagu, kumkaribisha Mhe. Makamu wa Rais.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu ( Uwekezaji na Uwezeshaji) Dkt. Mary Nagu, akisoma Hotuba yake kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua Majadiliano hayo.

Sehemu ya washiriki wa Majadiliano hayo, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa majadiliano hayo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Majadiliano ya Kimataifa ya Ushirikiano kwa Manfaa ya wote, baada ya kufungua majadiliano hayo leo. Picha na OMR.

Article 15

msaada on ze tutazzzz plizzzzzz....

$
0
0
I´m Germany but original Tanzania, reside in Europe more than 20 years, 50 years old, slimm but Intelligent!. I´m seeking for an intelligent and attractive Tanzanian woman with beginn of 37 years old to 55years who also live in Europe. she musst at least manage to speak one of the European language,  and English .She musst have an official proffesional  job and finanzial independent.I´m very charming, social ,helpful and like to laugh, love and leave!! Respond to my Announce muss be attached with Photo, emailadress and Telefon.Further infos will be issued after correspondence.(NO Foto no respond! pls be serious!!)

Please send your Interest to this email: kaufmann31@yahoo.de

CUF YAFANYA MKUTANO MKUBWA KIBANDA MAITI MJINI ZANZIBAR LEO

$
0
0
 Makamo Mwenyekiti wa kamati ya maridhiano Eddi Riami, akitoa nasaha zake kwa wazanzibari, huko katika Mkutano wa CUF ulifanyika kibanda maiti, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
  Waandishi wa habari wa vyombo tofauti Nchini wakihakikisha wanapata matokeo mbalimbali yaliojiri katika Mkuto wa CUF uliofanyika kibanda maiti.
 Sehemu ya umati uliojitokeza leo Kibanda Maiti
 Katibu Mkuu wa CUF Taifa ambae pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi, akihutubia maelfu ya wananchi waliofika kiwanjani hapo leo jun 06 2013.
Msanii Talinyo na wenzake wa kikundi cha Full Matatizo cha  Bulioni Mjini Unguja wakitoa burudani katika Mkutano wa CUF ulifanyika kibanda maiti, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar

LOVING MEMORY OF THE WORLDS GREATEST FATHER AND HUSBAND

$
0
0

PETER JOSEPH MUKAMI

Today, 1st of June marks seven years since you left us to join our Heavenly Father. Our lives have not been the same, but our faithful GOD has continually been looking after us.

We thank the Lord for giving us the great memories and realize that you always live within our hearts. We still hold fresh memories of your love, wisdom, kindness, encouragement, guidance and affection. Your spirit of hard work and pursuit of success shall forever be cherished and treasured by us all.

You are deeply loved and missed by your wife Norah, son Aloyce Marwa, twin daughters Rhobi and Bhoke, son in law Peter your grandchildren Jotham, Joella, Jaydan, relatives and friends.

WE THANK OUR GOOD LORD FOR THE DAYS WE SHARED WITH YOU.


May your soul rest in Eternal Peace, AMEN.


kinana amaliza ziara yake makambako mkoani njombe,avuna wanachama 160.

$
0
0
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwa katika picha a pamoja na baadhi ya washiriki walikuwa wakila kiapo mara baada ya kukabidhiwa kadi zao za uanachama.

 Katibu Mkuu wa chama cha CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa Mji wa Makambako mapema leo jioni wakati alipohitimisha ziara yake ya siku saba mkoani Njombe.Katika hitimisho hilo Ndugu Kinana ametembelea na kukagua miradi ya maendeleo katika wilaya zote za mkoa huo katika kuimarisha chama,aidha ziara hiyo ilikwenda sambamba na kuangalia utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya chama hicho cha CCM.Mkutano huo umefanyika katika uwanja wa Polisi mjini Makambako.Katika mkutano huo Kinana alikabidhi kadi kwa wanachama wapya wapatao 160 walioujiunga na chama hicho.
Katibu Mkuu wa chama cha CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ofisi ya chama hicho katika tawi la Mizani mapme leo jioni.
Katibu wa NEC,Itikadi na Unezi,Nape Nnauye akiwahutubia wakazi wa Mji wa Makambako mapema leo jioni wakati wa hitimisho la ziara ya CCM mkoani Njombe,ikiwa ni siku ya siku saba.
Wadau wakifuatilia mkutano huo.
Ndugu Kinana akipata maelezo mafupi kutoka kwa mmoja wa kikundi cha Wajasiliamali  kutoka kata ya Mjimwema
Baadhi ya Wakazi wa Makambabo wakiwa wamekusanyika kwenye uwanja wa polisi,wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakijiri uwanjani hapo.

Ngoma azipendazo ankal

$
0
0
Jaguar na ngoma yake ya 'Kigeugeu; anakubalika Kenya na Tanzania

Mkataa kwao mtumwa

Miondoko ya kumeremeta kweny mnuso

Waziri Mkuu aweka jiwe la Msinhgi Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Mtakatifu Bakhita ya Namanyere mkoani Rukwa

$
0
0
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Naibu Waziri wa Afya, Dr. Seif Rashidi (kushoto) na askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Sumbawanga, Damiano Kyaruzi baada ya kuweka jiwe la Msinhgi Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Mtakatifu Bakhita ya Namanyere Rukwa ikiwa ni moja ya shuguli alizofanya kama mgeni wa siku ya Mangira Duniani iliyofanyika kitaifa, Namanyere Juni 1, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia baadhi ya wananchi waliohudhuria sherehe fupi ya uwekaji jiwe la msingi la Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Mtakatifu Bakhita ya Mjini Namanyere ikiwa ni moja ya shughuli za siku ya mazingira duniani iliyofanyika kitaifa, mjini Namanyere juni 1, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Viewing all 110091 articles
Browse latest View live




Latest Images