Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all 110186 articles
Browse latest View live

Ujenzi wa Barabara kuanzia kijiji cha Mombo mpaka Hedaru Mkoani Tanga waendelea

$
0
0
 Ujenzi wa Barabara kuanzia Mji wa Mombo mpaka Hedaru Mkoani Tanga umekuwa ukiendelea kwa kasi tangu pame mradi huu ulipoanza.hali hii inakuna kutokana na eneo hili kuwa na bovu kwa kipindi kirefu,ila sasa ufumbuzi wake umepatikana na mambo yanakwenda vyema.
 Wakazi wa Mji wa Hedaru wakiangalia moja ya Katapila likiendelea na kazi ya upanuzi wa Barabara hiyo. 
 Sehemu ya barabara hiyo ambayo ipo kwenye matengenezo makubwa hivi sasa.


MARTHA GEWE NDIYE REDD'S MISS UKONGA 2013

$
0
0
Mshindi wa Shindano la Redd’s Miss Ukonga 2013, Martha Gewe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili, Diana Joachim (kushoto) pamoja na mrembo aliyeshika nafasi ya tatu, Natasha Mohamed mara baada ya warembo hao kutangazwa kuwa ndio washindi wa shindano hilo Usiku wa kuamkia jana katika shindano lililofanyika Ukumbi wa Wenge Garden Ukonga Mombasa jijini Dar es Salaam. Martha aliwashinda warembo wengine 12 katika shindano hilo.
Warembo waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora ya Redd’s Miss Ukonga 2013 wakiwa katika picha ya pamoja kutoka kushoto ni Vanesa Magile, Matha Gewe, Diana Joachim, Natasha Mohamed na Nancy Abasy shindano lilifanyika Ukumbi wa Wenge Garden Ukonga Mombasa jijini Dar es Salaam. Martha.
Baadhi ya washiriki wa Shindano la Redd’s Miss Ukonga 2013 wakicheza show ya ufunguzi wa shindano lao lililofanyika usiku wa kuamkia jana katika ukumbi wa Wenge Garden Ukonga jijini Dar es Salaam.

Soko la Mangula Makambako lawa maarufu kwa kuuza mboga za majani

$
0
0
Soko la Mangula,Makambako mjini Njombe linazidi kuwa maarufu kila kukicha kwa kuuza mboga za majani kwa wingi. 
Mama Joshua akipanga vizuri mboga za majani aina ya figili tayari kwa kusubiri wateja,leo katika soko la Mangula,Makambako. Picha na Adam H. Mzee

Tangazo la Kifo

Rais Sirleaf wa Liberia awa Mwenyekiti mpya APRM

$
0
0
Na Hassan Abbas, Addis Ababa

Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) umempata Mwenyekiti wake mpya na mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo mkubwa kufuatia kuchaguliwa kwa Rais wa Liberia, Mama Ellen Johnson Sirleaf.

Rais Sirleaf alichaguliwa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika Wachama wa APRM uliofanyika Jumapili jioni mjini hapa.

Katika uchaguzi huo ambapo Rais Jakaya Kikwete aliwakilishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mahadhi Juma Maalim, Mama Sirleaf licha ya kuweka rekodi ya kuwa mwanamke wa kwanza pia anakuwa Mwenyekiti wa tatu wa Marais wa APRM tangu Mpango huo ulipoanzishwa mwaka 2003.

Sirleaf alichaguliwa kwa kauli moja kufuatia mpinzani wake Rais wa Senegal, Marcky Sall kujitoa. Rais Sall tayari ni Mwenyekiti wa taasisi nyingine ya AU, NEPAD.

Katika mkutano huo, Wakuu hao wa Nchi za APRM pia walitumia mkutano huo kumteua kiongozi wa Jopo la Tathmini ya Tanzania, Wakili Akere Muna kutoka Cameroun kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri kwa Marais wa APRM na aliyekuwa Balozi wa Rwanda nchini, Fatma Ndangiza kuwa Makamu wake.

Akizungumza mara baada ya uchaguzi huo, Katibu Mtendaji wa APRM Tanzania, Rehema Twalib aliwapongeza viongozi hao wapya katika utendaji wa APRM Afrika akiuita uongozi huo kuwa ni “timu ya ushindi.”

APRM ni Mpango ulioanzishwa na Serikali za Umoja wa Afrika kwa lengo la kuhusisha wananchi wao katika kila nchi ili kufanya tathmini za mara kwa mara za utawala bora ili kubaini changamoto za kufanyiwakazi na mambo mazuri ya kuendelezwa.

Mpango huo ulianzishwa rasmi miaka 10 iliyopita na Tanzania ilijiunga Mei 26, 2004 na Bunge likaidhinisha Mchakato huo kuanza hapa nchini. Tayari APRM Tanzania imekwishakamilisha ripoti ya kwanza ya Hali ya Utawala Bora Tanzania na Serikali itaanza kufanyiakazi changamoto hizo katika bajeti za kila mwaka.

GLOBU YA JAMII KWA KUSHIRIKIANA NA CHANNEL TEN WANAKUJA NA MAPITIO YA MAGAZETI

ABDALLAH KITWARA ALONGA NA VIJIMAMBO SEHEMU YA PILI

$
0
0

Rais wa Vizion One, Inc, Bwn. Abdallah Kitwara alonga na Vijimambo sehemu ya pili aelezea kampuni zake Tanzania na nini ushauri wake wa Watanzania na Vijana wanaotaka kutuata nyayo zake. MSIKILIZE.

HON. CHIKAWE OFFICIATES A TWO DAY MEETING ON “BEST PRACTICES AND NEW OPPORTUNITIES IN GENOCIDE PREVENTION: GOVERNMENTAL ACTION, TECHNOLOGY AND REGIONAL CONTEXTS”

$
0
0
Participants of the meeting listening to the opening remarks by Hon. CHikawe.
Hon chikawe in a group photo with the participants just after officiating the meeting.
From left Ms Felistas Mushi Chairperson of Tanzania National Committee for the Prevention of Genocide, war crimes, crimes against humanity and all forms of discrimination shares a moment with Mr Castro Wesamba of the UN Office of the Special advisor on Genocide Prevention and Ms Mercy Mrutu (Principal Legal Officer Ministry of Constitution and Legal Affairs) and Prosper Mwangamila (Principal State Attorney from the Attorney General's Chambers) who are members of the Tanzania National Commitee

========================
The Minister for Constitutional and Legal Affairs Hon. Mathias Chikawe (MP) has today opened a two day meeting on “ Best Practices and New Opportunities in Genocide Prevention: Government Action, Technology and Regional Context” that has been organized by the Auschwitz Institute for Peace and Reconciliation and UN Office of the Special Advisor on Genocide Prevention with collaboration with the Tanzanian National Committee for the Prevention of Genocide, War Crimes, Crimes against Humanity and all forms of Discrimination.

The meeting has brought together experts on genocide prevention from Argentina, South Sudan, Poland, Indonesia, Kenya, Montenegro, Mexico, Nigeria, Burundi, Croatia, Costa Rica, Cape Verde, Romania, Germany, Sierra Leone, South Africa, Uganda, Civil Society Organisations and number of international Institutions that work on genocide prevention in the world.

The meeting will focus on learning and sharing the best practices that exist in the world on the prevention of genocide and mass atrocities. It will also discuss on new opportunities in genocide prevention on governmental actions, technology and regional contexts.

In his opening remarks Hon. Chikawe reminded the participants on how the world has witnessed profound acts of atrocities in the past decade even in areas that were least expected and the effects of such acts beyond the borders of the affected country. He emphasised that the effects of genocide respect no borders and it is not a surprise that genocide prevention is attracting a common cause at international, regional and national levels.

He emphasised that prevention of Genocide is the responsibility of every one and that it is necessary for countries to improve and find best ways to prevent genocide and human rights violations. He urged Governments to improve their actions towards prevention and to revisit all efforts taken towards preventing the occurrences of mass atrocities. He on the other hand stressed the need for sharing of ideas, best practices and finding new opportunities for preventing genocide.

Hon Chikawe assured the participants of the Government of United Republic of Tanzania’s commitment and the highest degree of political will in preventing and fighting genocide and mass atrocities. He stressed that as part of her commitment the United Republic of Tanzania is party to a number of international instruments and that we will continue to adopt domestic and foreign policies that are geared towards fighting genocide and mass atrocities.

He informed the participants that February 2012 the National Committee for the Prevention of Genocide, War Crimes, Crimes against Humanity and all forms of Discrimination was established in Tanzania and since then the Committee has been engaged in different activities including conducting seminars to different religious leaders on their role in peace keeping inside and outside the country.

Twiga Cement yajenga barabara ya Tegeza Wazo

$
0
0
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Pascal Lesoinne (wa tatu kushoto) Diwani wa Kata ya Wazo, John Moro (kushoto kwake) wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Wazo Misikiti na PK Tegeta itakayojengwa na kampuni hiyo. Hafla ya uzinduzi ilifanyika Wazo Hill nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Wengine kutoka kulia ni Meneja Huduma za Jamii wa TPCC, Natasha D’Souza, Mkuu wa Rasilimali Watu wa kampuni hiyo, Jayne Nyimbo na Mwenyekiti wa Mtaa wa Wazo, Mtuzya Abdallah ,Mtuzya. Ujenzi huo utagharimu shs milioni 175.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Pascal Lesoinne (wa pili kushoto) Diwani wa Kata ya Wazo, John Moro (kushoto kwake) pamoja na baadhi ya wakazi wa Wazo Hill, wakishangilia muda mfupi baada ua uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Wazo Misikiti na PK Tegeta itakayojengwa na kampuni hiyo. Hafla ya uzinduzi ilifanyika Wazo Hill nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Wengine kutoka kulia ni Meneja Huduma za Jamii wa TPCC, Natasha D’Souza, Mkuu wa Rasilimali Watu wa kampuni hiyo, Jayne Nyimbo na Mwenyekiti wa Mtaa wa Wazo, Mtuzya Abdallah ,Mtuzya. Ujenzi huo utagharimu shs milioni 175.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Pascal Lesoinne (katikati) akibadilishana mawazo na Diwani wa Kata ya Wazo, John Moro muda mfupi kabla ya hafla ya uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Wazo Misikiti na PK Tegeta itakayojengwa na kampuni hiyo. Hafla ya uzinduzi ilifanyika Wazo Hill nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Kulia ni Ofisa Mtendaji wa kata hiyo, Ibrahim Mabewa. Ujenzi huo utagharimu shs milioni 175.
Baadhi ya watu walihudhuri hafla ya uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Wazo Msikiti na Tegeta PK itakayojengwa na kampuni ya Twiga Cement.

HATIMAE MSHINDI WA PROMOSHENI YA VODACOM MAHELA AKABIDHIWA KITITA CHAKE KINONO KWEUPEEE

$
0
0
Mwanafunzi wa Chuo Cha Ualimu Kasulu, mkoani kigoma Valerian Nickodemus Kamugisha akinyannyua kwa Furaha sehemu ya fedha Sh 100 Milioni alizoshinda katika droo kuu ya Promosheni ya Vodacom Mehala iliyomalizika hivi karibuni. Kamugisha amekabidhiwa fedha zake hizo leo jijini Dar es salaam na kuamua kuzifungulia akaunti katika benki ya NMB. Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa NMB Bw.Abdulmajid Nsekela na Mkuu wa Chapa Vodacom na Mawasiliano Kelvin Twissa.
Mkuu wa Chapa Vodacom na Mawasiliano Kelvin Twissa akimtambulisha kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) mshindi wa Promosheni kuu ya Mahela iliyomalizika hivi karibuni Valerian Nickodemus Kamugisha (kushoto) wakati wa hafla ya kumkabidhi kitita chake cha zawadi ya sh. 100 Milioni iliyofanyika makao makuu ya NMB. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa NMB Bw.Abdulmajid Nsekela.
Valerian Nickodemus Kamugisha (katikati) akipokea kitita cha sh. 100 Milioni kutoka kwa Mkuu wa Chapa Vodacom na Mawasiliano Kelvin Twissa alizoshinda katika droo kuu ya Promosheni ya Vodacom MAHELA. Hafla ya makabidhiano imefanyika makao makuu ya benki ya NMB ambako mshindi huyo amechagua kufungua akaunti kuhifadhi fedha hizo. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa NMB Bw.Abdulmajid Nsekela.

Article 16

Spika wa Bunge akutana na Balozi wa Ireland Nchini,pia afanya mazungumzo na wajumbe wa Kamati Maalum iliyoundwa kuchunguza vurugu za Mtwara

$
0
0
Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akimkaribisha Balozi wa Ireland hapa Nchini Bi. Fionnula Giisennan  aliemtembelea Ofisi kwake Bungeni leo.

Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiwa katika na mazungumzo na Balozi wa Ireland hapa Nchini Bi. Fionnula Giisennan Ofisi kwake Bungeni leo.
Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiwa katika kikao cha pamoja na wajumbe wa kamati maalum iliyoundwa na Spika kuchunguza chanzo cha migogoro ya wananchi wa Mtwara kuhusu mgogoro wa gesi. Picha zote na Owen Mwandumbya.

RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI MBALIMBALI ADDIS ABABA, ETHIOPIA

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya walipokutana wakati wa mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani Mh Liberata Mulamula walipokutana wakati wa mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Misri Mohamed Morsi walipokutana wakati wa mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa, Ethiopia.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

KIPINDI CHA MIMI NA TANZANIA CHAZUNGUMZA NA TUME YA HAKI ZA BINADAMU

NBC WELCOMES NEW BOSS MIZINGA MELU

$
0
0
Today, the National Bank of Commerce (NBC) management formally welcomed their New Managing Director, Ms. Mizinga Melu. Ms. Melu, was formerly with Standard Chartered Zambia, where she served 6 years as the Managing Director of the bank.

Mizinga is a seasoned banker, with a vast industry experience, having previously served in several other senior roles at Standard Chartered. The roles include Global Head of Development Organisations in the United Kingdom where she was responsible for strategy development and implementation as well as Africa Regional Head of Financial Institutions in Kenya and South Africa where she led formulation of Standard Chartered’s FI business strategy in Africa.

Ms. Melu is not new to Tanzania, as she had previously served as Head of Treasury at Standard Chartered Bank Tanzania between 2000 and 2003. Prior to the role, she acted as Head of Treasury in Uganda and Zambia in 1998 and 1999, respectively.

Mizinga holds a Masters in Business Administration (MBA) from Henley Management College (UK) and is an Associate of the Chartered Institute of Bankers (A.C.I.B). In addition, she holds numerous other banking qualifications.

Commenting on the appointment, NBC Board of Directors Chairman, Dr. Mussa Assad said, “Mizinga’s arrival is an exciting juncture for all of us as she comes at a time where NBC is undergoing tremendous positive changes, and we are glad she will be right in the centre of these changes.” He also added “ Prior to her arrival, the bank was being managed by Pius Tibazarwa, who has shown great leadership and has delivered on all expectations placed upon him during this time, and we would like to thank him for his tireless effort in executing duties of the Managing Director, on top of his contracted role”.

Ms. Melu will be taking over from Interim Managing Director Pius Tibazarwa, who is also Head of Treasury at NBC. Mr. Tibazarwa has been upholding the Managing Director’s office, since the beginning of the year.

Mizinga is scheduled to meet regulators, senior government officials and customers for a formal introduction before proceeding to upcountry branches in the following months to meet NBC staff.

NBC is one of the most represented retail bank in the country with 45 years experience in providing financial services. Apart from offering traditional banking services, NBC also prides itself with an expanded branch network and footprint. NBC has 52 branches, 285 Visa enabled ATMs, and over 250 Points of Sales strategically located throughout the country. NBC currently employs over 1200 staff

ujumbe wa katibu mkuu Taifa,Ndugu kinana wawasili mkoani njombe leo,kufanya ziara ya siku saba mkoani humo.

$
0
0
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akilakiwa na Mbunge wa Njombe Kaskazini,Mh Deo Sanga a.k.a Jah People mara baada ya kuwasili jioni ya leo mpakani mwa Mkoa wa Iringa na Njombe katika kijiji cha Idofi,kata ya Mlowa,ambapo pia alipokelewa na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Njombe akitokea Mkoani Iringa ambaka aliwasili leo Asubuhi akitokea jijini Dar akiwa ameambatana na Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Ndugu Nape Nnauye.

Ndugu Kinana na ujumbe wake watakuwa na ziara ya siku saba mkoani Njombe, ambapo watatembele Wilaya zote za Njombe,Makete, Ludewa na Wanging'ombe  wakiimarisha chama na kusikiliza matatizo ya Wananchi,huku wakikagua miradi ya maendeleo mbalimbali katika kusimamia serikali ili kutekeleza Ilani uchaguzi ya CCM.
 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akivalishwa skafu .
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Ludewa,Mh.Deo Filikunjombe,kushoto shati la drafti ni Mbunge wa jimbo la Mwibara,Mh Kange Rugora.

Pichani kulia ni Mjumbe wa kamati kuu na Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Njombe,Pindi Chana akicheza na akina mama wakati wa mapokezi ya katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana 
 Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Ndugu Nape Nnauye  akishirikiana na  mmoja wa wapiga ngoma za asili wakati walipowasili leo mapema mchana wakiongozwa na  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana
 Ndugu Kinana na ujumbe wake wakipokelewa kwa shangwe mapema jionu ya leo,mpakani mwa Mkoa wa Iringa na Njombe katika kijiji cha Idofi,kata ya Mlowa,ambapo pia alipokelewa na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Njombe akitokea Mkoani Iringa ambaka aliwasili leo Asubuhi akitokea jijini Dar akiwa ameambatana na Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Ndugu Nape Nnauye .
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akitazama moja ya kikundi cha ngoma kilichofika kumlaki,mara baada ya kuwasili jioni ya leo mpakani mwa Mkoa wa Iringa na Njombe katika kijiji cha Idofi,kata ya Mlowa,ambapo pia alipokelewa na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Njombe akitokea Mkoani Iringa ambaka aliwasili leo Asubuhi akitokea jijini Dar akiwa ameambatana na Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Ndugu Nape Nnauye.

Ndugu Kinana na ujumbe wake watakuwa na ziara ya siku saba mkoani Njombe ambapo watatembele Wilaya zote za Njombe,Makete, Ludewa na Wanging'ombe  wakiimarisha chama na kusikiliza matatizo ya Wananchi,huku wakikagua miradi ya maendeleo mbalimbali katika kusimamia serikali ili kutekeleza Ilani uchaguzi ya CCM.

Who is who in Big Brother The Chase 2013

$
0
0
 Angola  - Biguesas
 Ethiopia - Bimp
 Ghana - Selly
 Malawi - Natasha
 Nigeria - Beverly
 TANZANIA: Feza
 TANZANIA: Nando
 Zambia - Cleo
 Zimbabwe - Hakeem
Zimbabwe - Pokello

ENCY MWALUKSA ALONGA NA SWAHILI TV

wadau wala nondozzz chuo cha ualimu Kigurunyembe, Morogoro

$
0
0
Idda Shizza (shoto) akiwa na swaiba yake Farida Nyamsogoro wakiwa na furaha mara baada ya kuhitimu  diploma ya ualimu wa sekondari
 Familia ya Idda Shizza,Pamoja na familia ya Farida Nyamsogoro wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya wanafunzi hawa kuitimu ualimu wa sekondari ngazi ya diploma katika chuo cha kigurunyembe
 Mdada wa libeneke la kaskazini Woinde Shizza (kati) akiwa na walimu wapya  mara baada ya kugradueti katika chuo cha ualimu wa sekondari Kigurunyembe kilichopo Morogoro

Article 7

$
0
0
This is a free social event with free food, drinks and music in MINNESOTA. Limit ya ukumbi ni watu 160, RSVP by sending an email to info@sobernight.com au text the number on the flyer.

Viewing all 110186 articles
Browse latest View live




Latest Images