Quantcast
Are you the publisher? Claim or contact us about this channel


Embed this content in your HTML

Search

Report adult content:

click to rate:

Account: (login)

More Channels


Showcase


Channel CatalogChannel Description:

Most read Swahili blog on earth

older | 1 | .... | 1103 | 1104 | (Page 1105) | 1106 | 1107 | .... | 3348 | newer

  0 0

   Katapila likizikanyagakanyaga kwa lengo la kuziharibu bidhaa mbalimbali zikiwemo pampasi na dawa za meno zilizopitwa na wakati na zingine zisizo na ubora katika Dampo la Pugu Kinyamwezi, Dar es Salaam.  Bidhaa hizo zenye thamani ya sh. mil. 20, kutoka Marekani na China zilikamatwa  na Shirika la Viwango Tanzania (TBS), katika Bandari ya Dar es Salaam hivi karibuni. (PICHA ZOTE  NA RICHARD MWAIKENDA  Na Charity James


  SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limeteketeza bidhaa hafifu na zilizokwisha muda wake zenye thamani ya sh. milioni 20 kutoka nchini Marekani na China.


  Akizungumza wakati wa uteketezaji wa bidhaa hizo,Dar es Salaam jana, Ofisa habari wa TBS, Roida Andusamile alizitaja bidhaa hizo kuwa ni dawa za meno, pampas, sabuni za kuogea na wipes.


  Alisema miongoni mwa bidhaa hizo zilikuwa ni kwaajili ya kutoa msaada katika Halmashauri ya Wilaya ya Tarime mkoani Mara huku nyingine zikiingizwa kwaajili ya biashara.


  "Kazi ya kuteketeza bidhaa zenye ubora hafifu ni endelevu lengo letu ni kuhakikisha tunaepusha madhara kwa watumiaji ambao wanashindwa kutambua bidhaa hafifu," alisema.


  Alisema bidhaa zote zinazoingia nchini ziwe za biashara au misaada ni lazima zipimwe kwa lengo la kuondoa changamoto ya kuwauzia au kugawa zikiwa ni hafifu au kuisha muda wake.


  Kwa upande wake, Ofisa Mdhibiti Ubora wa TBS, Salome Emmanuel alitoa mwito kwa wafanyabiashara kuakikisha wanaingiza bidhaa zenye ubora na kuongeza wafanyabiashara ndio walinzi tosha wa kuhakikisha bidhaa hafifu haziingizwi nchini hivyo ni vizuri wakafuata sheria kukwepa tatizo hilo.  0 0

  Authored by Godfrey Ndalahwa 
  and Pascal Machango of KCB Tanzania

  Economic Outlook

  GDP
  Following a challenging 2015 economic conditions, Tanzania is set to improve modestly over the coming quarters with real GDP growth climbing to above 6.0% in 2016 from an estimated average of 5.7% in 2015.

  INFLATION OUTLOOK
  Inflation has consistently been above the Bank of Tanzania’s (BoT) 5% target over the past decade (averaging over 9 .0%) and we expect this trend to continue over the coming years. Inflation set to range between 6 .0 and 8 .0% over the coming months. Despite the shilling's heavy sell-off and associated inflation pass through, inflation has been contained thanks to favorable food and fuel prices. These benign price conditions are set to continue through in 2016.
  Short-Term Outlook (Three-To-Six Months)
  Having sold off aggressively through Half 1, 2015, the Tanzanian shilling (TZS) has stabilized against the dollar over the past 5-6 months, even firming of late. External dynamics, notably a strong USD and related shifts in investor perceptions towards Emerging Markets currencies, have been the dictating factor in the shilling's performance over recent quarters and this trend will remain in place over the coming three-to-six months. Fellow East African currencies such as Kenya and Uganda, for instance, have exhibited similar stability over this period. With the USD rally now mostly spent pressures on the shilling will lighten and augur a far more modest pace of TZS depreciation over the coming 12 months or so. We forecast average deprecation of around 12% in 2016 compared to 23% in 20 15.

  Long-Term Outlook (Six-To-24 Months)
  Weak balance of payments dynamics and uncertainty in the energy sector will drive further shilling depreciation over the next couple of years. External imbalances arising from a shortage of domestic productive capacity are reflected in Tanzania's g aping trade in goods deficit and this will ensure that the country's current account balance remains deep in the red - at the equivalent of between 9 .0% and 11.0% of GDP - over the next two years and these imbalances will remain the key pressure point for the shilling over the medium-term. Tanzania will continue run a large structural deficit for the duration of our 2015-2019 forecast period. The latest data from the Bank of Tanzania confirm that in the year through September 2015, the current account deficit narrowed by 14% to USD4 .2bn thanks to a jump in exports and a sharp deceleration in imports. 
  Banking Sector Risk Components.


  0 0


  0 0

   Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kanali Mstaafu, Issa Machibya  (katikati) akichimba mtaro kwa ajili ya kupitisha maji katika shule ya msingi Muungano iliyopo Mwanga mkoani Kigoma, anayechimba  naye mtaro ni Diwani wa  Mwanga Kusini (CCM), Mussa  Maulid akishiriki katika uboreshaji huo wa miundombinu ya shule hiyo, hivi sasa mkoa wa Kigoma una mvua nyingi.
  Diwani  wa Kata ya Mwanga Kusini, Mussa Maulid (mwenye suti ya michezo)akishiriki kuweka mazingira safi katika shule ya msingi Muungano iliyoko Mwanga mkoani Kigoma sambamba na wanafunzi wa shule hiyo.

  0 0
 • 01/26/16--19:00: NGOMA AZIPENDAZO ANKAL

 • 0 0

  The Affordable Care Act (ACA) or OBAMA CARE is a United States federal statute signed into law by President Barack Obama on March 23, 2010.
  The ACA was enacted to increase the quality and affordability of health insurance, lower the uninsured rate by expanding public and private insurance coverage, and reduce the costs of healthcare for individuals and the government”
  This message is brought to you by HELP AFRICA, which is an organization that targets African Communities in abroad and at home.
  We urge you to register so you can access quality health services health services, avoid penalties and strengthen the health of our communities.

  0 0

  Image result for ARDHI YA KIJIJI
  Na Bashir Yakub
  Ili  uweze  kupewa ardhi  na kutambuliwa  kama  mmiliki Tanzania zipo  sifa  ambazo  unatakiwa  kuwa nazo. Si  kila  mtu  anaweza  kupewa  ardhi  ya  kumiliki.  Sifa  hizo  zinatofautiana  na  wakati  mwingine  kufanana  kutokana  na aina  ya  ardhi  inayoombwa  na  mtu husika. 
  Kuomba  kumilikishwa  ardhi  ni  hatua  ambayo  huchukuliwa  na  mtu   anapohitaji  kupata  hati.  Nasema  hivi   kwa  maana  ya  kuwa    kuna  watu  wana  ardhi  lakini  hawana  hati  za  umiliki.  Hawa  kisheria  hatuwezi kusema  wamemilikishwa  ardhi.  Aliyemilikishwa  ardhi  ni  yule  aliye  na  hati  ya  umiliki. Kusoma zaidi BOFYA HAPA

  0 0

  U.S Secretary of Commerce, Penny Pritzker; Select Tony Elumelu Foundation Entrepreneurs; Kehinde Yinusa, Evans George, Nosakhare Oyegun, Belema Alagun and Founder Tony Elumelu Foundation, Mr. Tony Elumelu during the panel and roundtable discussion between members of the U.S. Presidential Advisory Council on Doing Business in Africa (PACDBIA) and a diverse community of entrepreneurs hosted by Tony Elumelu Foundation and UBA Plc in Lagos yesterday.
  Group Managing Director United Bank for Africa (UBA) Plc, Mr. Phillips Oduoza; US Secretary of Commerce, Penny Pritzker; UBA Chairman, Mr. Tony Elumelu during the panel and roundtable discussion between members of the U.S. Presidential Advisory Council on Doing Business in Africa (PACDBIA) and a diverse community of entrepreneurs hosted by Tony Elumelu Foundation and UBA Plc in Lagos yesterday.

  The Tony Elumelu Foundation and United Bank for Africa Plc (UBA) partnered with the United States Department of Commerce to host a panel and roundtable discussion between members of the U.S. Presidential Council on Doing Business in Africa (PCDBIA)and a diverse community of African entrepreneurs.

  The 11 person U.S. delegation, along with representatives of several U.S. government trade and investment-focused agencies, was led by the Honourable Penny Pritzker – U.S. Secretary of Commerce. The Council visited Lagos as part of a fact-finding mission to help inform their upcoming report to President Obama on how to strengthen commercial engagement between the U.S. and Africa, which will result in mutually-beneficial growth. 

  The event – titled “Unleashing Africa’s Entrepreneurs: Strengthening the Entrepreneurial Ecosystem to Empower the Next Generation of Africa’s Business Leaders” – brought together American business leaders and Nigerian entrepreneurs to discuss challenges, solutions and innovations in the current African business environment. The event was designed to allow representatives of the U.S. Government to participate in direct and substantive discussions with Africa’s emerging business leaders – an opportunity to engage in a dialogue that has the potential to influence U.S. foreign policy for Africa.

  "President Obama believes, as I do, that the American private sector, working in partnership with the African business community, and African entrepreneurs can help address many of the continent’s most pressing challenges, including creating jobs and opportunity for young people across the continent," said U.S. Secretary of Commerce Penny Pritzker. "I am proud to lead our Administration’s effort to support and empower aspiring entrepreneurs, both in the United States and across the globe." 

  UBA Chairman Tony O. Elumelu, through his eponymous Foundation, hosted the delegation, and expressed gratitude for the collaborative approach the Council and U.S. Commerce Department are taking in engaging local entrepreneurs as part of their deliberations.

  “Too often, well-meaning foreign policy-makers develop strategies to help Africans without actually engaging us,” he said. “In order to effectively help or support people, we should ask them what kind of help they want. So, I thank you for doing that with African businesses.”

  For the U.S. Government, this trip begins the Road to GES 2016 – the Global Entrepreneurship Summit; an annual gathering of entrepreneurs at all stages of business development, designed to demonstrate the U.S. Government’s commitment to fostering entrepreneurship around the world.

  Expressly designed to address the needs of and provide opportunities for the next generation of African entrepreneurs, the entrepreneurs in attendance included SMEs supported by UBA Plc, UNCTAD’s EMPRETEC Nigeria Foundation and those selected for the Tony Elumelu Entrepreneurship Programme (TEEP) – a 10-year, $100 million commitment by the Tony Elumelu Foundation to empower the next generation of Africa’s entrepreneurs with businesses that have the potential to generate income and jobs for their nations.

  The Tony Elumelu Entrepreneurs in attendance were selected from the Agriculture, Media & Entertainment, ICT, Transport, Healthcare and Financial Services sectors. Their startups reflect the potential that entrepreneurship holds for spurring Africa's transformation; already, they have begun creating jobs in their local communities and generating tax revenues for governments earning them recognition in both local and international media.

  0 0


  0 0


  0 0

   Mkurugenzi wa elimu ya watu wazima na elimu nje ya mfumo rasmi, Salum Mnjagila akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na vipaumbele vya elimu kwa miaka mitano ijayo hapa nchini.
  Amesema kuwa mfumo wa usio rasmi ijadiliwe katika mitaala mbalimbali ya kufundishia pamoja na tathmini ya hali ya mitihani na ufaulu wa wanafunzi.
  Mwakilishi wa UNESCO, Zumira Lodriguz akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam wakijadili masuala ya elimu baada ya miaka 5 ijayo jinsi itakavyo kuwa.
   Baadhi ya wadau wa elimu na wawakilishi wa shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia Elimu,  sayansi na utamaduni wakijadiliana mambo mbalimbali ya elimu hapa nchini baada ya miaka mitano.
  Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.
   KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

  0 0

   Mkuu wa Kituo cha shule ya maadilisho kinacholea watoto waliokinzana na sheria cha Irambo Mkoa wa Mbeya,Bwire Masenena(kushoto) akipokea msaada wa vifaa vya shule Viatu,Madaftari na vifaa vya michezo,Luninga pamoja na vyakula mbalimbali kwa niaba ya watoto wa chuo hicho jana toka kwa Meneja mauzo kanda ya Nyasa wa Vodacom Tanzania, Emmanuel Sagenge.Msaada huo wenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 12/- uliotolewa na Vodacom Foundation kupitia taasisi ya Doris Mollel.
   Meneja mauzo kanda ya Nyasa wa Vodacom Tanzania, Emmanuel Sagenge(kushoto)akimkabidhi Luninga Mkuu wa Kituo cha shule ya maadilisho kinacholea watoto waliokinzana na sheria cha Irambo Mkoa wa Mbeya,Bwire Masenena(kulia) wakati wa hafla fupi jana ya kupokea msaada wa vifaa vya shule Viatu,Madaftari na vifaa vya michezo pamoja na vyakula kwa niaba ya watoto wa chuo hicho, Msaada huo wenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 12/- uliotolewa na Vodacom Foundation kupitia taasisi ya Doris Mollel.

  0 0

   Mtoto katika ubora wake.
  Watoto wakifurahia  mchezo wa kusukuma Gurudumu la Pikipiki juu ya kivuko cha mtalo wa kupitisha maji kama walivyokutwa na kamera yetu mkoani katika kijiji cha Namayuni mkoani Lindi mwishoni mwa wiki.
  Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.

  0 0


  Uongozi wa maandalizi ya  onesho la mitindo ya mavazi la kila mwaka la "Lady In Red 2016" umekutana na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa "Danken House" jijini Dar es salaam kujadili na kutoa hamasa kwa Designers na wadau mbalimbalia ambao ni wapenzi wa mitindo.

  Uongozi huo ambao unasimamiwa na Mama wa Mitindo Asya Idarous-Khamsin  umesema kuwa "Jukwaa la "Lady In Red 2016" litakuwa la ainayake kufuatia jitihada na juhudi zinazofanywa na walengwa wa tukio hilo, ambalo linategemea kupandisha Designers wengi zaidi hapa nchini siku ya Jumapili 31/1/2016 katika ukumbi wa Danken House uliopo Mikocheni kwa Warioba  jijini Dar es salaam.

  Miongoni kati ya Designers watakao panda kwenye Stage siku hiyo ni Bemy Masai, Kelly Peter, Faustin Simon, Mtetesi Forcus, Barnabas, Mwanahamis Kiroho, Nelson Thomas, Walter Demarian, Dorine Lymo, Evemary Sospeter, Fatma Rashid, Samweli Zebedayo, Kulwa Mkwandule, Jocktan Makeke, Saleem Siwila, Love Delamo, Abdul Mwene, Karol Mngumbi Jay Julius, Furaha, Joshua, Benja, Lili, Veronica, Rukia Walele nk.

  Hivyo kama wewe ni mpenzi wa mitindo usikubali kupitwa na tukio hilo, kiingilio ni buku 10000/= na viti vya mbele ni 30000/= Nyote mnakaribishwa ulisema oungozi wa maandalizi ya Tukio hilo.
  DSCN9613
  Mama wa Mitindo Asya Idarous-Khamsin  akiongelea mambo yatayopamba Jukwaa la Lady In Red 2016
  DSCN9625
  Mbunifu wa mitindo wa kimataifa Martin Kadinda akifafanua jambo.
  DSCN9650
  Mama wa Mitindo Asya Idarous-Khamsin akitambulisha safu ya designers wataoshiriki katika onesho hilo la kukata na shoka
    DSCN9657  Picha za Pamoja za Designers mara baada ya kumaliza mazungumzo ya "Lady In Red 2016" na waandishi wa Habari leo,​(Picha na Maelezo by Victor Petro from Super News Tz)

  0 0

  Timu za mchezo wa  kuogelea za  Isamilo kutoka jijini  Mwanza na Dar Swim Club ya jijini Dar es salaam zimetamba kutwaa nafasi ya kwanza katika mashindano ya kuogelea ya Tallis yaliyopangwa kuanza Ijumaa Januari 29 na kumalizika Jumamosi Januari 30 kwenye bwawa la kuogelea la Shule ya Kimataifa ya Tanganyika ( IST Upanga) jijini Dar  es salam.
  Akizungumza kwa njia ya simu kutoka Mwanza jana, Mwenyekiti wa Klabu ya Kuogelea ya Mwanza (MSC), Jason Miller alisema kuwa wamejiandaa vilivyo kutwaa medali za dhahabu katika mashindano hayo amayo yatafanyika kwa siku mbili. 
  Miller alisema kuwa klabu ya Isamilo ndiyo inawakilisha mkoa huo katika mashindano hayo ambayo yanatarajiwa kushirikisha waogeleaji zaidi ya 400 kutoka klabu mbalimbali hapa nchini. Alisema kuwa wamecagua waogeleaji 21 kwa ajili ya mashindano hayo na kwa muda wote walikuwa katika mazoezi makali. 
  “Najua kuna ushindani mkubwa sana katika mashindano , tulifanya mazoezi kwa muda mrefu na kuwashindanisha staili mbalimbali za kuogelea kwa kuzingatia muda, wote wameonyesha muda mzuri na tupo tayari kwa mashindano,” alisema Miller. 
  Aliwataja wachezaji wake kwa upande wa wasichana kuwa ni Anna Guild, Emma Imhoff, Bridget Peck, Rebecca Guild, Nandi O’Sullivan, Natalie Mulford, Sachi Buggana, Sofia Sanchez, Isobel Sanchez, Umi Kulthum na Maisah Pirani. 
  Kwa upande wa wavulana ni Matthew Guild, Elia Imhoff, Eric Nixon, Khaleed Razac, Judah Miller, Caleb O’Sullivan, Delvin Barick, Jack Peck, Daniele Imhoff na Ezra Miller. Wakati Isamilo ikitamba, klabu maarufu ya Dar Swim Club nayo imetamba kulibakisha taji la mashindano hayo kutokana na mazoezi ambayo wameyafanya. 
  Katibu Mkuu wa Dar Swim Club, Inviolata Itatiro alisema jana kuwa wamejiandaa vilivyo kwa ajili ya kutwaa medali nyingi za zawadi na hasa ukizingatia kuwa waogeleaji wao wana uzoefu wa kimataifa. 
  Inviolata alisema kuwa hivi karibuni walifanya vyema katika mashindano yaliyofanyika nchini Dubai na kushirikisha waogeleaji kutoka nchi mbalimbali duniani huku wao wakiwa wanashiriki kwa mara ya kwanza. 
  “Tulishinda medali za dhahabu katika mashindano hayo, waogeleaji wetu wamepata uzoefu mkubwa, naamini watafanya vyema,” alisema Inviolata ambapo jumla ya waogeleaji 50 wataiwakilisha klab hiyo. 
  Waogeleaji hao ni Meyia Avery, Anna Azzoni, Chinwe Bruns, Joshua Bruns, Isobel Bush, Klaryce Durand, Smriti Gokan, Bailey Golembeski, Carter Golembeski, Celina Itatiro, Lidia Janik, Ursulla Khimji, Mayli Kiepe, Naaliyah Kweka, Saffiro Kweka, Lois Scheren, Diya Shah, Maya Somaiya, Niki Somaiya, Kelya Temba na Maia Tumiotto
  Wengine ni Lara Van Den Hombergh na Chichi Zengeni ambao ni wasichana. Kwa upande wa wavulana ni Timothee Callens, Sebastian Carpintero, Raahi Davda, Jean De Villard, Marin De Villard, Victoire De Villard, Flore De Villeneuve, Gaspard De Villeneuve, Luwe De Wet, Joaquim Deering, Lisa Di Stefano,Josh Golembeski,Matt Golembeski na Peter Itatiro
  Wengine ni  Jonathan, Lubuva, Adrien Madjitoloum, Reuben Monyo, Emmanuele Moroni, Rodolfo Moroni, Thierry Murunga, Christopher Nikitas, Ishaan Patel, Victor Richmond, Kees Rodenburg, Neel Ruparelia, Arjun Taylor na Alessandro Tumiottoends… 
  Mratibu wa mashindano hayo, Alexander Mwaipasi alisema kuwa maandalizi yanaendelea vizuri na timu zaidi ya 15 zitashiriki katika mashindano hayo. “Timu nyingi zimetuma majina ya waogeaji wao na zipo tayari kwa mashindano,” alisema.
   Peter Itatiro wa Dar Swim Club akionyesha umahiri wake katika kuogelea. Peter ana miaka 9 atashiriki katika aina nne ya mashindano hayo kwa staili zote katika  mashindano ya Tallis yaliyopangwa kuanza Ijumaa kwenye bwawa la kuogelea la Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (IST) Upanga jijini Dar es salaam.
   Waogeleaji wa klabu ya Dar Swim Club wakifanya mazoezi 
   Waogeleaji wakionyesha staili ya kuogelea ‘kinyume nyume’ katika moja ya mazoezi ya klabu ya Dar Swim Club.
  Waogeleaji wakionyesha staili ya ‘ku-dive’ katika moja ya mazoezi ya klabu ya Dar Swim Club.

  0 0

  Waziri Mkuu Mhe.  Kassim Majaliwa akiongoza Kikao cha Kazi cha Baraza la  Kazi la  Mawaziri kwenye ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma mwishoni mwa juma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

  0 0

  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa leo Januari 27, 2016 amezindua kampeni ya upandaji miti Mkoani humo iliyofanyika katika Wilayaya ya Dodoma eneo la Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo. 
  Kampeni hiyo imeshirikisha wajumbe wa Kamati ya ulinzi na usalama Mkoa wa Dodoma, watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na Manispaa ya Dodoma, Wananchi na jumuiya ya chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo. 
  Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa, zoezi hili la upandaji miti litakuwa endelevu na litafanyika kwenye Wilaya zote saba za Mkoa wa Dodoma. 
  Katika uzinduzi huo, Mhe. Mkuu wa Mkoa ameitaka kila Wilaya Mkoani humo kuhakikisha wanapanda miti isiyopungua Milioni moja na nusu (1.5 Mil.) na kuagiza viongozi wa mamlaka za serikali za mitaa na kamati za mazingira za Vijiji, Miji na Mitaa kuhakikisha wanawasimamia wananchi kuhakikisha miti inapandwa maeneo ya Vilima, makazi, mashamba, kwenye shule na taasisi mbalimbali au maeneo maalumu yaliyotengwa. 
   Malengo ya kampeni ya upandaji miti mwaka huu Mkoani Dodoma ni kupanda jumla ya miti Milioni kumi (10 Mil.) lakini Mkuu wa Mkoa alibainisha kuwa changamoto kubwa inayokabili zoezi hilo ni uandaaji wa vitalu vya miche usio wa kutosha hivyo kutahadharisha kuwa inawezekana lengo la miti milioni kumi (10 Mil.) lisifikiwe na badala yake Mkoa ukafanikiwa kupanda miti milioni tano (5 Mil.). 
  Taarifa ya Manispaa ya Dodoma ambayo ndio mwenyeji wa uzinduzi wa kampeni za upandaji miti kwa Mkoa wa Dodoma mwaka huu, inaonesha kuwa, jumla ya miti 2500 itapandwa katika eneo la Hombolo ambapo miti 2000 itakuwa ya kivuli na miti 500 itakuwa ya matunda. 
  Taarifa hiyo ilieleza kuwa, mwaka jana zoezi la upandaji miti halikufanikiwa kutokana na uhaba wa mvua na pia changamoto nyingine inayochangia miti iliyopandwa kufa ni pamoja na ukame na baadhi ya miti kuliwa na mifugo. 
   Siku ya uzinduzi wa upandaji miti inafanyika Aprili Mosi kila mwaka, lakini kwa Mkoa wa Dodoma Mwezi Aprili ni mwisho wa mvua za masika, Hivyo, kutokana na hali hiyo, Mkoa wa Dodoma umeamua kuzindua upandaji miti Mwezi Januari ambapo mvua ni za kutosha.
   Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akipanda mti wakati wa uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti Mkoani humo iliyofanyika Hombolo Januari 27, 2016 na kushirikisha wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama, watumishi wa umma na wananchi.
   Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma SACP. David Misime akipanda mti wakati wa uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti Mkoani humo iliyofanyika Hombolo Januari 27, 2016 na kushirikisha wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama, watumishi wa umma na wananchi.
   Baadhi ya Watumishi wa taasisi za Serikali Mkoani Dodoma kwa kushirikiana na wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Dodoma, wakishiriki uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti iliyofanyika Hombolo Dodoma Januari 27, 2016.
   Baadhi ya Watumishi wa taasisi za Serikali Mkoani Dodoma kwa kushirikiana na wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoani humo na Wananchi, wakishiriki uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti iliyofanyika Hombolo Dodoma Januari 27, 2016
  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (kushoto) akitoa salamu zake wakati wa uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti Mkoani humo iliyofanyika Hombolo Januari 27, 2016 na kushirikisha wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama, baadhi ya watumishi wa taasisi za umma (pichani) na wananchi

  0 0

  Ulimwengu wa burudani kupitia shoo za redio umeendelea kubarikiwa vilivyo na kijana DJ Tee kupitia shoo yake ya kila wiki ijulikanayo kama SHUJAAZ RADIO SHOW. 
  Kuanzia Novemba 2015, SHUJAAZ imekuwa ikipasua mawimbi nchini Tanzania kupitia EAST AFRICA RADIO na kudhihirisha uwezo alio nao DJ Tee na kuleta burudani bora kwa vijana.
  Kutokana na vijana wengi kuhitaji kuwa sehemu ya SHUJAAZ na kutopitwa na burudani za DJ Tee, vituo vingine viwili vikubwa vya redio vimeamua kumpa shavu DJ Tee na sasa shoo yake itasikiza vizuri mjini Zanzibar na viunga vyake, pia mikoa ya Kusini.
  “Ni furaha kuona wengi wana-appreciate kazi yangu. Vijana tujumuike kwenye ndichi ya Shujaaz tusikie vijana wengine wanafanya nini na sisi tujitume ili tutoboe na kutisha zaidi mwaka huu” Alisema DJ Tee.
  Kuanzia wikiend hii, mbali na kusikika East Africa Radio, SHUJAAZ RADIO SHOW pia  itasikika kupitia CHUCHU FM 90.9 FM mjini Zanzibar (KILA JUMAPILI SAA TANO ASUBUHI) na KINGS FM 104.3 FM iliyopo mjini Njombe (KILA JUMAMOSI SAA KUMI NA MBILI JIONI). Sasa wakazi wa Zanzibar na mikoa ya Kusini watapata nafasi ya kujumuika na ulimwengu wa mashujaa kupitia SHUJAAZ RADIO SHOW.

  Unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu SHUJAAZ kwa kujiunga na DJ Tee kwenye mitandao yake ya kijamii, Facebook (http://on.fb.me/1FUl1hX), Twitter (http://bit.ly/1LLGEpK) na Instagram (http://bit.ly/1Hn07t4)


  0 0


  0 0


older | 1 | .... | 1103 | 1104 | (Page 1105) | 1106 | 1107 | .... | 3348 | newer