Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all 110173 articles
Browse latest View live

Airtel yazindua mnara wa mawasiliano Mazinde wilaya ya Korogwe

$
0
0
Katika juhudu zake za kuhakikisha watanzania waishio mjini na vijiji wanapata huduma bora za mawasiliano , kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imezindua mnara wa mawasiliano katika kata ya mazinde wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga.

Uzinduzi huo wa mnara wa mawasiliano utawahakikishia wakazi wa Mazinde na vijiji vya jirani mawasiliano ya uhakika katika kuendesha shughuli zao za kijamii na kiuchumi kila siku ikiwemo kilimo cha katani.

Akiongea wakati wa uzinduzi, Mkuu wa wilaya ya Korogwe, Hafsa Mtasiwa alisema" tunafurahi kuwa na mnara huu wa mawasiliano kwaajili ya wakazi wa wilaya ya mazinde ambao utasaidia kukuza biashara zao na kuinua utandawazi kupitia simu zao za mkononi".

Aliongeza kwa kusema" mawasiliano ndio chachu ya maendeleo ya uchumi wa jamii na ulimwengu kwa ujumla. na nimatumaini yetu kuwa huduma hii inayozinduliwa hapa leo itachangia kwa kiasi kikubwa endeshaji wa mashamba ya katani, kilimo, biashara mbalimbali na pia kuchagia katika kubadilisha maisha ya wengi na kwa hilo tunapenda kuwashukuru sana Airtel ".

Kwa upande wake, Meneja mauzo wa kanda ya kaskazini, Aluta kweka amesema kampuni yake iko mstari wa mbele katika kuhakikisha inatoa huduma za mawasiliano za uhakika zitakazorahisisha ukuaji wa uchumi na pato la taifa.

" katika ulimwengu wa leo wa sayansi na technologia watanzania wanatakiwa kuwezesha ili kupata fulsa zitokanazo na huduma bora za mawasiliano. Tunaamini mnara huu hautawahakikishia wakazi wa hapa mawasiliano ya uhakika tu bali utachangia kwa kiasi kikibwa katika kuongeza pato la taifa kwa ujumla".

Kufatia uzinduzi huo, zaidi ya wakazi takribani 10,000 na vijiji vitatu vitafaidika na bidhaa na huduma mbalimbali ikiwemo , huduma za intaneti, Airtel money, yatosha na nyingine nyingi
Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Hafsa Mtasiwa (wa pili kulia)) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mnara wa kampuni ya simu za mkononi Airtel Kata ya Mazinde wilaya ya Korogwe mkoani Tanga. anayeshuhudia kushoto ni Meneja wa Kampuni ya Simu ya Airtel Kanda ya Kaskazini Aluta Kweka.

KIPINDI CHA Danga chee hewani CHANNEL TEN KILA ALHAMISI SAA NNE USIKU NA MARUDIO JUMAPILI SAA SITA MCHANA

JESHI LA POLISI LAKAMATA SILAHA 8 NA RISASI 62

$
0
0
Na. Lilian Lundo - Maelezo
JESHI la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam imefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 7 wakiwa na  silaha 8  na risasi 62 kwenye msako uliofanyika jijini  Dar es salaam katika kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Akiongea na waandishi wa habari leo, katika ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova amesema  wahalifu walidhani kuwa Jeshi la Polisi limeweka nguvu katika uchaguzi mkuu na kusahau kufanya misako yake iliyokuwa ikifanya mara kwa mara kama moja ya majukumu yake.

“Ukweli ni kwamba Jeshi la Polisi lilijipanga vizuri kuhakikisha uchaguzi mkuu unafanyika kwa amani na misako mingine inaendelea kufanyika kama kawaida kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama na mikoa ya jirani” Alisema kamanda Kova.

Kamanda Kova aliongezea kwa kusema kuwa, Jeshi la Polisi kanda maalum inashirikiana na mikoa ya jirani kuhakikisha kuwa watuhumiwa hao hawapati fursa ya kukwepa mkondo wa sheria.

Aidha alizitaja silaha zilizokamatwa kuwa ni SMG moja (1), Bastola sita (6) na Mark 4 riffle moja (1)   na risasi 62 ambapo mpaka sasa jumla ya majambazi 74 wamekamatwa ikiwa ni pamoja na silaha 51 na risasi 890 za silaha mbalimbali.

Kamanda Kova amezidi kufafanua kuwa kutakuwa na msako mwingine mkali kuelekea sikukuu za x-mass na mwaka mpya 2016, utakayofanyika katika mikoa ya kipolisi ya Ilala, Kinondoni na Temeke wakisaidiwa na vikosi maalum vilivyopo Kanda ya Dar es Salaam.

Msako huo utajikita katika kuwakamata majambazi, magaidi, wanaojihusisha na madawa ya kulevya, vibaka, wapiga debe, wanaouza pombe haramu, madanguru yote ambayo pia huhifadhi wahalifu.

TASWIRA KUTOKA UWANJA WA NDEGE WA ZAMANI JIJINI DAR

SERENGETI GLOBAL SERVICES LTD WAZEE WA KAZI WAKALA WA TBS KUKAGUA MAGARI YAENDAYO TANZANIA KUTOKA UINGEREZA

$
0
0
TUNAPENDA KUWAJULISHA KUA TUMEFUNGUA MATAWI MAPYA ILI KUKIDHI MAHITAJI YA WATEJA WETU

KWA SASA TUNA KARAKANA KWENYE BANDARI ZOTE KUU NCHINI UINGEREZA

PORT OF TILBURY BRANCH (HEAD OFFICE):

SERENGETI GLOBAL SERVICES LTD

UNIT 16D TILBURY INDUSTRIAL COMPLEX

TILBURY FREEPORT

TILBURY, ESSEX

RM 18 7HB


PORT OF IMMINGHAM BRANCH:

SERENGETI GLOBAL SERVICES LTD

UNIT 1 MANBY ROAD

IMMINGHAM

DN40 2LH


PORT OF SHEERNESS BRANCH:

SERENGETI GLOBAL SERVICES LTD

UNIT 1 RUSHENDEN ROAD

QUEENSBOROUGH

SHEERNESS, KENT

ME1 5HL


BOOKINGS  ZOTE ZIFANYWE MOJA KWA MOJA KUPITIA TOVUTI YETU

WEBSITE; www.serengetiglobal.co.uk EMAIL:  info@serengetiglobal. co.uk

TEL;  01375855819


THE DIFFERENCE IS CLEAR..

makala ya siku tano za kwanza za rais magufuli

ITU World Radio communication Conference (WRC2015) Approves Radio spectrum for Global Flight Tracking in Geneva

$
0
0
By Innocent Mungy, Geneva
Today, an agreement was reached at the World Radio communication Conference in Geneva, Switzerland on the allocation of radio frequency spectrum for global flight tracking system in civil aviation. The system is expected to be in operation by 2017. 
It was agreed that the frequency band 1087.7-1092.3 MHz to be allocated to the aeronautical mobile-satellite service (Earth-to-space) for reception by space stations of Automatic Dependent Surveillance-Broadcast (ADS-B) emissions from aircraft transmitters. 
The frequency band 1087.7-1092.3 MHz is currently being utilized for the transmission of ADS-B signals from aircraft to terrestrial stations within line-of-sight. The World Radio communication Conference (WRC-15) has now allocated this frequency band in the Earth-to-space direction to enable transmissions from aircraft to satellites. 
This extends ADS-B signals beyond line-of-sight to facilitate reporting the position of aircraft equipped with ADS-B anywhere in the world, including oceanic, polar and other remote areas. WRC-15 recognized that as the standards and recommended practices (SARP) for systems enabling position determination and tracking of aircraft are developed by the International Civil Aviation Organization (ICAO), the performance criteria for satellite reception of ADS-B signals will also need to be addressed by ICAO. 
This agreement follows the disappearance and tragic loss of Malaysian Airlines Flight MH370 in March 2014 with 239 people on board, which spurred worldwide discussions on global flight tracking and the need for coordinated action by ITU and other relevant organizations. 
In its special meeting on global flight tracking, which took place in Montréal, 12-13 May 2014, ICAO encouraged ITU to take urgent action to provide the necessary spectrum allocations for satellites to support emerging aviation needs. 
In October 2014, the ITU Plenipotentiary Conference meeting in Busan, Republic of Korea, instructed WRC-15 to consider global flight tracking in its agenda. Speaking at the Conference, The ITU Secretary General Houlin Zhao, said, “In reaching this agreement at WRC-15, ITU has responded in record time to the expectations of the global community on the major issue concerning global flight tracking,”. 
He further said that ITU will continue to make every effort to improve flight tracking for civil aviation. “The allocation of frequencies for reception of ADS-B signals from aircraft by space stations will enable real-time tracking of aircraft anywhere in the world,” said François Rancy, Director of the ITU Radiocommunication Bureau. 
“We will continue to work with ICAO and other international organizations to enhance safety in the skies.” 
 This agreement extends ADS-B signals beyond line-of-sight to facilitate reporting the position of aircraft equipped with ADS-B anywhere in the world, including oceanic, polar and other remote areas. A majority of the earth’s aerospace over 70 per cent of it, is not tracked by any device, any radar or any type of capability. 
The agreement is a response by the world community to the Malaysia MH370 tragedy, where they weren’t able to find an aircraft because there weren’t adequate means for tracking the aircraft. This decision is an action taken to help prevent that from happening again. 
 The TCRA Deputy Director for Spectrum Management Eng. Khatibu Othman said this development will allow an aircraft to be tracked anywhere in the world, provide realtime information to air traffic controllers in order to improve the safety and the efficiency of air travel around the world. 
“Tanzania airspace as well as passengers on aircrafts all over the world will be safe. Our country supported this Resolution in order to ensure our skies are safe and aircrafts are traced wherever they are,” said Eng. Othman Khatibu. 
 When interviewed, Mrs. Valentina Kayombo, a delegate from Tanzania Civil Aviation Authority said there are three main benefits for tracking an aircraft from satellite, given the frequencies allocated in this Conference. 
The first and foremost is improved safety in the sense that real time location and identification of flight in distress will be enhanced. She further said another benefit by providing that capability will facilitate the exercise of search and rescue in remote areas which are beyond radar coverage because it will be easy to note exactly the location of the event area. 
She added that, by allocating frequencies for Global Flight Tracking it shows that aviation safety is a commitment in partnership. Eng. Samson Mwela, a delegate from Ministry of Communications, Science and Technology Tanzania, said by the way the majority of all ITU member country agreement to allocate frequency for tracking aircrafts shows the seriousness and importance safety of air travel in the world. World radiocommunication conferences (WRC) are held every three to four years. It is the job of WRC to review, and, if necessary, revise the Radio Regulations, the international treaty governing the use of the radio-frequency spectrum and the geostationary-satellite and non-geostationary-satellite orbits. 
Revisions are made on the basis of an agenda determined by the ITU Council, which takes into account recommendations made by previous world radiocommunication conferences. The meeting started on 2nd November and expected to end on 27th November 2015 wherer member countries will sign agreements arising from WRC 2015. 
Tanzania is represented in the Conference with delegates from Ministry of Communications, Science and Technology, Ministry of Infrastructure of Zanzibar, TCAA, TCRA, TMAA, TTCL and other stakeholders. 
The Conference has brought about 3000 delegates from around the world. The Head of delegation for Tanzania is Ambassador Extra Ordinary and Plenipotentiary, Permanent Representative of United Republic of Tanzania to UN in Geneva, Switzerland
 Tanzania Delegation following discussion on the agreed radio frequency for flight tracking
Modest Jonathan MeroAmbassador Extraordinary and Plenipotentiary, Permanent Representative of the United Republic Of Tanzania to the United Nations  (left) in Discussion with TCRA DG, Dr. Ally Y. Simba on  Tanzania Position's  in the Conference
Hivi ndivyo Dystem inavyofanya kazi.

BREAKING NYUZZZZZZZ......: MASHINE YA MRI YA MUHIMBILI YAANZA KUFANYA KAZI


SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

$
0
0

Viongozi na mashekhe wa kundi la Uamsho leo wafikishwa mahakamani wakiwa chini ya ulinzi mkali. https://youtu.be/IcVmpMbpHXw

Mkuu wa mkoa wa Dare es salaam awataka maafisa afya kushishirikiana na viongozi wa serikali za mtaa kukagua na kusimamia usafi kila siku.https://youtu.be/SnoyR4U1MBg

Mwanaharakati wa chadema na anayedaiwa kuwa kampeni meneja wa lowassa atiwa mbaroni kufuatia utata juu ya uraia wake. https://youtu.be/67Yqx97umgk

Jeshi la polisi nchini kikosi cha usalama barabarani kimefanya tathimini ya matumizi ya tochi katika mikoa mbalimbali na kubaini baadhi ya askari wake kutokuwa waadilifu.https://youtu.be/t9nQEapxXh4

Mamlaka ya mapato nchini TRA yaonyesha kuwa na matarajio ya kukusanya mapato mengi zaidi na kuvuka lengo kufuatia msukumo waliopewa na Raisi Magufuli.https://youtu.be/bopx4A7oHL0

Baada ya kifo cha aliyekuwa mbunge wa Ludewa hatimaye CCM katika jimbo hilo imempitisha Deo Ngalawa kuwania ubunge wa jimbo hilo.https://youtu.be/oaaexLzmEoA

Mvua zinazoendelea kunyesha huko jijini Mwanza zaelezwa kuharibu miundombinu na kuathiri makazi ya wananchi wa eneo mbalimbali jijini humo.https://youtu.be/m6KRWC-1oLc

Baadhi ya wananchi huko wilayani Musoma mkoani Mara waiomba serikali mpya kupambana na vitendo vya uvuvi haramu. https://youtu.be/0vRdT99awmQ
Viongozi wakuu wa kisiasa Zanzibar Maalim Seif na Raisi Shein wakutana kwa mara nyingine tena visiwani Zanzibar kujadili mgogoro wa kisiasa visiwani humo.https://youtu.be/CAqw5rgNmJk
Miundombinu katika soko la mashine 3 katika manispaa ya Iringa yaelezwa kuwa duni licha ya soko hilo kuwa la pili kwa ukusanyaji wa mapato mkoani hapo.https://youtu.be/CgGlPAdnzKg
Baadhi ya wananchama wa CCM walioshindwa katika kura za maoni wamekanusha madai ya kukihujumu chama katika uchaguzi mkuu; https://youtu.be/D2OgvYQI1YU
Tahadhari juu ya ugonjwa wa kipindupindu kwa baadhi ya wananchi bado changamoto katika jijini la Mwanza; https://youtu.be/-2kWgVKk-p0

Jeshi la polisi Mtwara linawashikilia watu watatu kwa kutuhuma za kutengeneza mabomu bandia; https://youtu.be/xA4ZusJ1Ij8

Serikali imetoa agizo kwa kila mkoa  nchini kubainisha zao kuu la kilimo linaloweza kulimwa kwa kila mkoa ili kujengewa viwandal; https://youtu.be/vq15qLERmrE
Raisi Dk.Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasimi mchezo kati ya Taifa Stars dhidi ya Algeria kuwania nafasi ya kucheza kombe la dunia 2018;https://youtu.be/6NNIFWfh9Bk
Machozi ya furaha yamtoka baba wa mchezaji wa Taifa Stars pamoja na klabu ya TP Mazembe ya Congo, Mbwana Samatta; https://youtu.be/H_BxRIyaiaI

Wabunge wa bunge la Afrika Mashariki wamefurahishwa na maboresho yanayofanyika ndani ya  bandari Dar se Salaam; https://youtu.be/rbVAW0s_eL8

Benki ya Barclays nchini imezindua huduma mpya ya kibenki kwa njia ya mtandao;https://youtu.be/896nGjfUnM0

Mamlaka ya mapato nchini TRA imefikia lengo lake la makusanyo ya kodi kati ya mwezi wa saba adi wa kumi; https://youtu.be/zxotVUKE58U

Chama cha ACT Wazelendo kimempongeza raisi Dk.Magufuli kwa kutelekeza baadhi ya sera za chama hicho; https://youtu.be/Sv1ebqlQuH0

Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani kimesema kitawachukulia hatua kali askari watakao kiuka maadili ya kazi; https://youtu.be/4f_k80JUS_Y

Hatimaye Mashine ya MRI iliyopo hospitali ya taifa ya Muhimbili yaanza kufanya kazi kufatia agizo la Raisi Dk.Maguli alilolitoa wakati wa ziara yake;https://youtu.be/KSZ5pGO3_Jo

Wananchama wa Chama Cha Mapinduzi CCM wameanza kuchukua fomu kuwania kiti cha Usipika na unaibu Sipika  katika bunge la Tanzania; https://youtu.be/ci6aQSkXn1o

UBALOZI WA MAREKANI DAR ES SALAAM MNADA WA HADHARA:

$
0
0

UNIVERSAL AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na Ubalozi wa Marekani watauza kwa mnada wa hadhara fanicha za ofisi na nyumbani  tarehe 14 November, 2015 Jumamosi saa 4:00 asubuhi. Mnada utafanyika Golden Resort Sinza,  Lion Street.


MALI ZITAKAZOUZWA: Sofa sets, Chest drawer, China base, Hatch, Dressers, Coffee table, Book case, Dining table/chairs, Party folding table /chairs, Carpet, Hoover, Vitanda, Magodoro, Fridge, Freezer, Majiko, TV set, Washer, Dryer, Gym equipment: Nautilus lower back m/c na vingine vingi


Mali zote zinaweza kukaguliwa Golden Resort Sinza,Lion Street tarehe 11 mpaka 13 November,  2015 kuanzia saa 4.00 asubuhi mpaka saa 11.00 jioni.


MASHARTI YA MNADA:

  1. Mnunuzi   atatakiwa kulipa malipo yote pale pale kwa keshia (cashier).

 Mali zote zitauzwa kama zilivyo bila dhamana. 
  1. Mnunuzi atawajibika kulipa ushuru na kodi zingine zote. 
  1. Mali zote zilizouzwa zitatakiwa kuondolewa baada ya kulipa malipo yote pamoja na kodi. 
Kwa maelezo zaidi waone:

UNIVERSAL AUCTION CENTRE

PLOT NO. 5 “E” LION STREET SINZA

CELL NO:  0754 284 926, 0757 284 926                        E-mail: universalauction@hotmail.com

DAR ES SALAAM.



BBC DIRA YA DUNIA NOVEMBA 11 2015

KAMPUNI YA TTCL YAKANUSHA MADAI YA TEWUTA, YADAI HAYANA UKWELI WOWOTE

$
0
0

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi akizungumza na vyombo vya habari Makao Makuu ya TTCL jijini Dar es Salaam kujibu madai ya TEWUTA.
Baadhi ya wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia mazungumzo ya Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (hayupo pichani) alipozungumza na vyombo hivyo leo jioni. 
KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imepinga madai yaliyotolewa na Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Huduma za Mtandao wa Mawasiliano Tanzania (TEWUTA) jana dhidi ya Menejimenti na Bodi ya Wakurugenzi ya TTCL na kufafanua kuwa madai hayo si ya kweli zaidi ya upotoshaji wenye nia ovu ya kufanikisha malengo binafsi na kutaka kuikwamisha jitihada za TTCL katika maendeleo.

Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemus Mushi akizungumza na vyombo vya habari leo Makao Makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam alisema madai yaliyotolewa na Chama cha TEWUTA dhidi ya Menejimenti na Bodi ya Wakurugenzi ya TTCL hayana ukweli wowote bali wahusika walilenga kuupotosha umma.

"Menejimenti ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), inapenda kuujulisha Umma kuwa, madai yaliyotolewa na Chama cha TEWUTA dhidi ya Menejimenti na Bodi ya Wakurugenzi ya TTCL si sahihi. Hoja hizo zimejikita katika upotoshaji wenye nia ovu ya kufanikisha malengo binafsi ya wahusika na kukwamisha jitihada kubwa zinazofanywa na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa TTCL wenye nia na malengo ya kutekeleza mpango mkakakti wa kuiboresha na kuiimarisha Kampuni ya Simu Tanzania.

Akifafanua zaidi Meneja Uhusiano huyo wa TTCL alisema mwaka 2007 Kampuni ya Simu Tanzania ilifanya mabadiliko ya Muundo wa Kampuni ili kuendana na hali ya soko la Ushindani katika sekta ya mawasiliano na Muundo uliopo sasa ni ule uliopitishwa na kuanza Kutumika mwaka 2007 baada ya kuidhinishwa na kupitishwa na Bodi ya Wakurugenzi.

Alisema menejimenti mpya ya TTCL iliyoanza kazi Februari 2013 iliainisha changamoto mbalimbali za kibiashara na kutengeneza Mpango Mkakati utakaoletab mabadiliko ya kibiashara na kuongeza tija, huku ikizingatia mabadiliko ya Kibiashara na ushindani wa soko katika  sekta ya mawasiliano, Menejimenti iliomba na kupata kibali cha Bodi ya Wakurugenzi wa TTCL kumtafuta Mshauri mwelekezi kwa njia ya Zabuni ili kupitia na Kushauri juu ya Muundo Mpya wa Kampuni utakaoendana na Mahitaji ya Kibiashara na kuleta ufanisi.

Aliongeza kuwa matokeo ya Kazi ya Mshauri mwelekezi yamelenga kubadilisha muundo wa Kampuni, Muundo wa Mishahara na Muundo wa utumishi. Mpango huu wa Mabadiliko ya Kibiashara unategemewa kukamilika katika kipindi cha mwaka 2016. Aidha alifafanua kuwa muundo wa mishahara unaotumika hivi sasa ni ule uliopitishwa Mwaka 2007 baada ya Kubadilika kwa Muundo wa Kampuni kama ulivyoidhinishwa na Bodi ya Wakurugenzi wa TTCL.

"...Mfumo huu uliiweka TTCL katika nafasi ya kukabiliana na soko la ajira kimaslahi. Mfumo huu wa Mishahara ulizingatia pia matakwa ya kisheria ambapo kwa mujibu wa Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini Namba 6/2004 zimeainishwa aina tatu za Mikataba ya Ajira. Yaani: Mkataba wa Ajira usiokuwa na Muda Maalumu (Unspecified period of time), Mkataba wa Ajira wa Muda Maalum (Fixed Employment contracts) na pia Mkataba wa Ajira wa kazi Maalum (Special Task)..."

"...Hivyo Muundo wa Mishahara uliopitishwa mwaka 2007 uliainisha madaraja ya malipo na viwango husika ikiainisha aina ya mkabata, Mkataba wa Ajira usiokuwa na Muda Maalum na Mkataba wa Ajira wa Muda Maalum. Katika muundo huu madaraja na ngazi za Mishahara zimegawanyika katika ngazi Kumi (10) kuanzia TTCL 1 (Ikiwa ndio Kiwango cha Juu) hadi TTCL 10 (Ikiwa ndio kiwango kidogo) Muundo huu uko wazi na ndio unaotumika kulipa mshahara ya wafanyakazi wote wa Kampuni ya Simu Tanzania. Hakuna ulipaji wa mishahara (Payroll) yoyote ya Siri inayotumika tofauti na hiyo iliyoainishwa," alifafanua Meneja Uhusiano huyo katika taarifa yake.

EWURA YAWAKUTANISHA WADAU WA MAJI JIJINI MWANZA KUJADILI OMBI LA MWAUASA KUONGEZA BEI YA MAJI.

$
0
0
Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Faisal Issa (Katikati) kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, akifungua Mkutano wa Wadau wa Maji uliofanyika jana Jijini Mwanza kati ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini UWURA, Mamlaka ya Maji safi na MajiTaka Mkoani Mwanza MWAUASA na Wadau/Watumiaji wa Maji Jijini Mwanza kwa ajili ya kujadili ombi la MWAUASA kutaka kupandisha bei ya maji kuanzia mwezi January mwakani.

Na:George Binagi-GB Pazzo @BMG
Mwauasa inatarajia kupandisha bei ya maji kutoka wastani wa shilingi 669.00 kwa lita mita moja ya ujazo wa maji ambayo ni sawa na lita 1,000 hadi wastani wa shilingi 1,075.74 hiyo ikiwa ni kwa watumiaji wa majumbani na taasisi huku ujazo kama huo kwa matumizi ya kibiashara na Viwandani ikifikia wastani wa shilingi 1,62500
Kulia ni Mhandisi Mutaekulwa Mutegeki akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu EWURA
Kushoto ni Osward Mutaitina ambae ni Mjumbe wa Bodi EWURA.

KUMBUKUMBU

$
0
0
SIMON S. KAHEMELE
26th Julai 1965 – 14th Novemba 2014

Ni mwaka mmoja sasa tangu ulipotuacha ghafla katika ajali ya gari. 

Tukiwa tungali na majonzi ya kuondokewa nawe katika ulimwengu huu, mambo mema uliyotufanyia ulipokuwa hai bado yanaendelea kugusa maisha yetu. 

Tunakukumbuka sana kila iitwapo leo na nyakati tulizoshirikiana hazijafutika katika mioyo yetu. Mke wako, familia yako na marafiki zako wanakupenda sana na kusikia upweke kwa kuondokewa nawe. 
Leo tumekusanyika Manda mahali ulipolala, ili kumshukuru na kumtukuza Mungu kwa kutupa zawadi ya maisha yako hapa duniani na kwa kufungua rasmi kanisa (Simon’s Memorial Chapel), hii ikiwa ni ukamilisho wa ndoto uliyokuwa nayo.  
Shukrani za pekee ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote walioshirikiana nasi katika kufanikisha ndoto hiyo. Mungu awazidishie pale palipopungua.
 Daima Tunakukumbuka, Pumzika kwa Amani.

NHIF YAWAPIGA MSASA WAKOREA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

$
0
0
 Mkurugenzi wa Mfuko wa bima ya Afya ya Jamii (CHF) Eugen Mikongoti, akizungumza na Wadau wa Maendeleo ya Mfuko wa  Kimataifa wa Afya wa Korea kuhusiana na utekelezaji wa  mifumo ya habari na mawasiliano ya uzalishaji na ufuatiliaji wa madai ya watoa huduma za afya kwa wanachama katika mkutano  uliofanyika leo ndani ya Hoteli ya Blue Pearl  Jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Mifumo ya Habari wa (NHIF)   Ali Othman akitoa mada katika Mfuko wa  Kimataifa wa Afya wa Korea kuhusu utekelezaji wa  mifumo ya habari na mawasiliano ya uzalishaji na ufatiliaji wa madai ya watoa huduma za afya kwa wanachama katika mkutano  uliofanyika leo katika Hoteli ya Blue Pearl  Jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Ofisi ya ushirikiano na Maendeleo kutoka Korea, Chun Chang Bae,  akitoa mada katika mkutano wa Maendeleo Mfuko wa  Kimataifa wa Afya wa Korea jijini Dar es Salaam.
 Maofisa wa wa Taifa wa Bima ya Afya  (NHIF) wakiteta jambo kabla ya mkutano  kuanza katika hoteli ya Blue Peal jijini Dar es Salaam.
Picha na Emmanuel Massaka wa Glub ya jamii.

NSSF WATOA SEMINA KWA WENYEVITI WA VYAMA VYA MSINGI (AMCOS) VYA WILAYA YA KILWA-LINDI

$
0
0
SHIRIKA la Taifa la Hifadhi yaJamii(NSSF) limetoa Elimu kwa Wenyeviti na Makatibu wa Wakulima wa Korosho na Ufuta wa Wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi kuhusu mpango wa Hifadhi ya Jamii kwa Wakulima, Mpango huo unamwezesha mkulima kupata mikopo mbalimbali ikiwemo mkopo wa vifaa vya kilimo pamoja na pembejeo za kilimo.
 
Aidha mpango huo unamwezesha mkulima na familia yake kufaidika na mafao mbalimbali yatolewayo na NSSF yakiwemo mafao ya matibabu ambapo mkulima atapata matibabu bure yeye na familia yake. 


Wanyeviti na Makatibu hao waliweza kuuliza maswali na kupata ufafanuzi wa kina kuhusu Mpango huu kwa Wakulima na jinsi ya kuwasaidia Wakulima kuondodokana na gharama za matibabu kupitia mafao ya matibabu yatolewayona na NSSF.
Wakulima wa Korosho wa Kilwa Masoko wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa NSSF baada ya kumalizika kwa Semina.
Afisa Ushirika wa Vyama vya Wakulima (AMCOS) Bwana Vincent Mhengilolo akizungumza na Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Ushirika wakati wa Semina iliyoandaliwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii(NSSF)
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

VIDEO FUPI YA EVELINA MOCEVICIUTE- Alivyowafagilia Watanzania na Tabia zao za Kiungwana

$
0
0
Na Freddy Macha

Ulikuwa na wenzio Tanzania kwa miezi sita...Mbeya vijijini. Ulikaa na wananchi. Vipi ulijisikaje katika eneo hili la Afrika? "...Lilikuwa jambo la kipekee. Ilitupa changamoto na utofauti mkubwa, ambao sin’tokawia kulirudia tena.

Kama nilivyokueleza awali kila siku tuliyokuwa vijijini ilikuwa kama wadhifa fulani. Maana tulitaka kuwa sehemu mahsusi ya jumuiya...wenyeji walitukaribisha, walituhusisha katika mambo yao...tulikaa na familia zao, tunashukuru sana kwa hilo. Walifungua milango yao. 

Wakatukaribisha. Mara nyingi ilibidi kujifinya, na kujiuliza je kweli, Mungu wangu niko kweli Afrika? Na hisia hiyo ya kutoamini maastajabu haikunitoka kwa miezi yote sita niliyokuwa Tanzania! Ni uzoefu ulionibadili sana. Nadhani wanavijiji wengi walikuwa na wasiwasi kwamba sisi Wazungu tulikuwa wasafi au tungeshindwa kuishi maisha yao. Ilibidi wahimizwe kuwa hakuna noma yeyote..."10-Evelina na wenzake wakiwa na timu ya wanafunzi vijijini- Picha ya Evelina Moceviciute 2015 
  Evelina na wenzake wakiwa na timu ya wanafunzi Watanzania vijijini - Picha ya Evelina Moceviciute 2015
Wanafunzi wanavijiji Lukata na Evelina na wenzake 
Wanafunzi wanavijiji Lukata na Wageni waliowafundisha taaluma ya biashara. Picha ya Evelina Moceviciute

MAPITIO YA MAGAZETI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI NCHINI

$
0
0
SIMU.TV: Mazito zaidi yanaswa mshirika wa Lowasa. Kipimo cha MRI chaanza kazi Muhimbili baada ya ziara ya rais Magufuli; https://youtu.be/51sASpnLnzg

SIMU.TV: Kasi ya Dk.Magufuli yawatisha vigogo, Ban Ki.moon amkubali rais Magufuli; Ukawa waja na mbinu mpya; https://youtu.be/cWDnbpB4laM

SIMU.TV: Sitta, Nchimbi rasmi uspika,vigogo watwishwa mzigo wa Zanzibar. NEC yatangaza tarehe ya uchaguzi Zanzibar; https://youtu.be/9G3Q3FvBxPE

SIMU.TV: Sura mpya zatajwa Msimbazi. Mamillioni ya Samatta yaichanganya Simba. Usajili yanga wafika patamu; https://youtu.be/w9cJdqhnprM

SIMU.TV: Hasira, hasira.shabiki wa Lowasa afyeka kidole chenye wino wa kupigia kura. Ni baada ya Lowasa kushindwa urais. Pata habari za kina katika magazeti ya leo; https://youtu.be/yEUOMNsSSfw

RC MAHIZA AITAKA NHIF KUTOA ELIMU ZAIDI KWA WANANCHI JUU YA UMUHIMU WA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF)

$
0
0
NA MWANDISHI WETU,TANGA.

MKUU WA Mkoa wa Tanga,Mwantumu Mahiza ameutaka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) mkoani hapa kuendelea kutoa elimu juu ya umuhimu wa wananchi kujiunga na mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili kuweza kuongeza wigo mpana wa wanachama ambao wataweza kunufaika na huduma zao.

Alitoa wito huo jana wakati akipokea mashuka 150 yaliyotolewa na mfuko huo vyenye thamani ya shilingi milioni tatu yaliyotolewa na Mfuko huo kwa ajili ya vituo vitatu vya afya vya Mkinga, Maramba na Lanzoni vilivyopo wilayani Mkinga ambavyo zilikuwa zikikabiliwa na changamoto ya uhaba wa mashuka.

Kwa upande wake, Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu alimueleza Mkuu huyo wa mkoa kuwa dhamira yao kubwa ni kuhakikisha wanasaidia huduma za afya kwenye maeneo yalikumbwa na changamoto mbalimbali ikiwemo uhaba wa mashuka.

Aliongeza kuwa mikakati yao ni kuongeza ufanisi mkubwa katika kuwahudumia wananchi waliojiunga na mfuko huo ili waweze kupata huduma za uhakika wakati wanapokuwa kwenye vituo vya afya ili kuepukana na usumbufu usiowa wa lazima
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mwantumu Mahiza akipokea mashuka 150 kutoka kwa Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoani Tanga,Ally Mwakababu kwa ajili ya vituo vitatu vya Afya,Maramba,Mkinga na Lanzoni vilivyopo wilayani Mkinga mkoani hapa,Picha na Oscar Assenga.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mwantumu Mahiza akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya afya (NHIF) mkoani Tanga ofisini kwake mara baada ya kupokea mashuka 150 kwa ajili ya vituo vitatu vya Afya,Maramba,Mkinga na Lanzoni vilivyopo wilayani Mkinga mkoani hapa kulia ni Meneja wa NHIF mkoa wa Tanga,Ally Mwakababu na kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Salum Chima na anayefuatia ni Afisa Matekelezo wa (NHIF) Miraji Msile.

Task Force Coordinator, Registry, ICC vistis Ministry of Foreign Affairs

$
0
0

Task Force Coordinator, Registry, ICC, Ms. Jelena Vukasinovic who is based in Kenya empasizes a point when she met for conversation with the Director of Legal Affairs Unit in the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation, Amb. Baraka Luvanda. Ms. Vukasinovic informed Amb. Luvanda that International Criminal Court (ICC) will conduct a Second Regional Seminar of Councel and Legal Profession in Arusha early next year.

Amb. Luvanda (R) makes an interruption point at the going on conversation with the ICC Officials. Left in the photo is Mr. Gerhard Van Rooyen, Head of Protection Sub-Unit Chef - ICC.

Conversation is in progress.
Photos by Reginald Philp
Viewing all 110173 articles
Browse latest View live




Latest Images