PROPERTY FOR SALE
A multistory brand new house registered in favor of Mr. Daniel Timothy Matiku, located along the road at Njiro 7 kilometers south of the City Centre of Arusha Tanzania is available for sale and has the...
View ArticleANDROID WAJA NA APPLICATION YA KUPERUZI HABARI ZA TANZANIA
Apprux application inapenda kuwatangazia kupatikana kwa android application buree yenye uwezo wa kukusaidia kuperuzi kwenye vichwa vya habari vya baadhi ya blogs, website na magazeti ya Tanzania, pia...
View ArticleVOTING FOR NEW SEVEN NATURAL WONDERS OF AFRICA ENDS ON DECEMBER 31, 2012
Tanzania Tourist Board (TTB) wishes to inform Tanzanians and the general public that the competition to vote for entries into the list of SEVEN NATURAL WONDERS OF AFRICA, conducted via the Website,...
View ArticleKUMBUKUMBU YA MIAKA 3 TANGU KUFARIKI KWA SIMBA WA VITA (MZEE RASHID MFAUME...
Ni miaka mitatu sasa tangu mzee wetu mpendwa Rashid Mfaume Kawawa (Simba wa Vita) ulipotutoka. Bado tuna majonzi kila tunapokumbuka hasa kwa mambo mema uliyotufundisha. Mungu ailaze mahala pema peponi...
View ArticleMSTAHIKI MEYA JERRY SILAA AKABIDHI ZAWADI ZA MWAKA MPYA KWA KITUO CHA...
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akikabidhi Mbuzi kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Tushikamane Children Care Trust Fund Bw. Gratho Messy Mbele (wa kwanza kulia) na Mkuu wa Shule ya...
View ArticleAJALI MBAYA JIJIBI DAR LEO
Kaka Michuzi ajali hii mbaya imetokea lao Tarehe 31/12/2012 mida ya saa 10:20 jioni maeneo ya TOANGOMA..Ajali ilihusisha gari aina ya Toyota Surf pamoja na Min-Canter ambapo zote zilikuwa zinatokea...
View ArticleRAIS KIKWETE APONGEZWA KWA MAFANIKIO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba leo Desemba 31, 2012 wakati wa kupiga picha baada ya kuzindua matokeo ya sensa ya watun na makazi katika viwanja vya...
View ArticleSalamu Za Mwaka Mpya Kutoka Mjengwablog
Ndugu zangu, Imekuwa ni utamaduni wangu kutuma salamu za Mwaka Mpya kwa wanakijiji wa Mjengwablog, marafiki zangu kwenye FB na wengine walio ndani na nje ya mitandao ya kijamii.Nimefanya hivyo tangu...
View ArticleWACHEZAJI 22 WAITWA KAMBINI TAIFA STARS
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen ametaja wachezaji 22 watakaoingia kambini Januari 6 mwaka huu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mechi za kirafiki ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mechi ya...
View ArticleLIBENEKE LA KANDANDA NA Shukrani zake kwa GLOBU YA JAMII
Timu nzima ya Kandanda.co.tz inapenda kutoa Shukrani za Dhati kwa Michuzi Media Group, kwa kuwa blogu zenu zinaongoza kwa kutuletea watembeleaji katika tovuti yetu ya www.kandanda.co.tz kwa upande wa...
View ArticleBONANZA LA NNE LA VIKUNDI VYA MAZOEZI LAFANYIKA ZANZIBAR
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk watatu kutoka kulia akiongoza Vikundi mbalimbali vya Mazoezi katika Bonanza la Nne kuelekea Uwanja wa Aman Mjini Zanzibar kulia yake ni...
View ArticleRais Kikwete alipozindua Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi jijini Dar
Bango linaloonyesha Idadi ya watu wote Watanzania, baada ya kuhesabiwa katika zoezi la kuhesabu Sensa lililoanza mwezi Agosti mwaka huu na kufikia tamati hii leo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleKocha Mpya wa Simba awasili jijini Dar tayari kwa kuinoa timu hiyo
Katibu wa Simba, Evodius Mtawala akimwongoza kocha mpya wa klabu hiyo, mfaransa Patrick Liewing mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es salaam akitokea...
View ArticleTwanga Pepeta walivyoukaribisha Mwaka Mpya wa 2013
Luiza Mbutu (kushoto) na mtangazaji wa TBC (katikati) na shabiki wa Twanga, kwa pamoja wakifungua shampeni kuashiria kuukaribisha mwaka mpya wa 2013, na kuuaga mwaka 2012 wakati wa onyesho maalum la...
View Article