DHARAU HAZITOSAIDIA KUTATUA MGOGORO WA GESI
Baada ya majibizano ya hapa na pale kuendelea kwa muda mrefu baina ya Serikali, Wanaharakati na Wananchi wa Mikoa ya Kusini sasa inaonekana mgogoro huo kukua zaidi siku hadi siku. Ililipotiwa hapo...
View ArticleMinister Membe to brief APRM meeting on governance status
By Hassan Abbas, Addis Ababa The Tanzanian Minister of Foreign Affairs and International Cooperation, Bernard Membe is on Friday expected to brief governance experts from all over the African region on...
View ArticleDR FENELLA AKUTANA NA UJUMBE WA KILI MARATHON,PIA APOKEA UJUMBE KUTOKA KOREA
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fennela Mukangara akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Executive Solution,Agrey Mareale na Mkurugenzi wa Uhusiano na Jamii wa...
View ArticleDK. SHEIN AHUDHULIA SIKU YA KILELE CHA WIKI YA UWEZESHAJI UKUMBI WA SALAMA...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akimkabidhi Fatma Abdalla Issa,wa Kikundi cha "Tanaweza Coop " Ole Kaskazini Pemba,Mfano wa Cheki ya Shilingi za...
View ArticleSimba yashindwa kutamba kwa Black Leopard leo,yalala kwa bao 1-0
Mshambuliaji wa Timu ya Simba,Masoud Kaheza akijaribu kutaka kuwatoka Mabeki wa timu ta Black Leopard ya nchini Afrika ya Kusini,wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa jioni ya kwenye uwanja wa Taifa...
View ArticleThe United States Ambassador Alfonso E. Lenhardt with course members of...
On 22 January 2013, The United States Ambassador Alfonso E. Lenhardt (center) pose for a group photo with course members of National Defense College. The National Defense College Commandant, Lt. Gen....
View ArticleClouds Media Group yaukaribisha mwaka kwa hafla ya kukata na shoka usiku huu
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Clouds Media Group,Bwa.Joseph Kusaga akiwa sambamba na mke wake,ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa kampuni bingwa ya burudani hapa nchini,ya Prime Time Promotions...
View ArticleKamati ya Bunge ya Maliasili na Mazingira yakutana na Watendaji wa Ofisi ya...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akitoa Maelezo ya Matumizi ya Bajeti ya Nusu Mwaka wa Fedha 2012/2013 Mbele ya Kamati ya Bunge ya Maliasili na Mazingira Kwenye Ofisi...
View ArticleMWAKIFWAMBA AZUNGUMZIA TAMASHA LA WASANII DAR LIVE JUMAMOSI HII
Rais Shirikisho la Filamu Tanzania (TFF), Simon Mwakifwamba akiongea mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani). Msanii Vitalis Maembe akionyesha mfano atakavyokamua siku hiyo. Dude akitoa kionjo...
View ArticleTASWA kufanya mdahalo na Wagombea wa nafasi za Juu TFF,Februari 15
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kimepanga kufanyika mdahalo kwa wagombea wa nafasi za juu za uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Februari 15 mwaka huu jijini Dar es...
View ArticleMABALOZI JOB LUSINDE NA IBRAHIM KADUMA WATOA MAONI YA KATIBA MPYA
Waziri mstaafu na Mwanasiasa mkongwe nchini, Balozi Job Lusinde akitoka nje ya ukumbi wa mikutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,alhamisi januari 24, 2013 ambapo alikutana na wajumbe wa Tume hiyo...
View ArticleSOPHIA SIMBA AMFUNDA DIWANI WA CHADEMA KATA YA NYANDIRA
MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake Taifa ( UWT), Sophia Simba (aliesimama), ambaye pia ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,ameshangazwa na kitendo cha Diwani wa Kata ya Nyandira kupitia...
View ArticlePresident Kikwete and Tony Blair attend meeting on Mobilising Private Sector...
President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete (right) speaks during a World Economic Forum session on “Mobilizing Private Sector Investment in African Energy,” held at World Food Programme Tent in Davos,...
View ArticleMUALIKO WA MAULID NABII Toronto,Canada
Assalam Alaykum:Nachukua fursa hii adhimu kuwataarifu ndugu katika Uislamu kwa niaba ya Madrasatul Al-Amin iliyokuweko katika Jiji la Toronto Canada katika anuani ifuatayo:256 Eddystone AveNorth York,...
View ArticleArticle 2
SERENGETI FREIGHT FORWARDERS LTDWAZEE WA KAZI TUMESHUSHA BEI ZA MAKONTENA!40'HC TO DAR/MOMBASA NOW £1,95020' CONTAINER TO DAR/MOMBASA £1,350THIS IS MORE THAN £200 DISCOUNT!HII BEI NI KWA MAERSK LINE,...
View ArticleWAZIRI ABOUD AZUNGUMZA NA KAMPUNI INAYO SHUGHULIKIA UJENZI NA UCHUMI WA NJE...
Waziri wa Nchi ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Muhamed akizungumza na ujumbe wa Kampuni inayo shuhulikia Ujenzi na Uchumi wa nje(ANHU)Group co,LTD ya China kulia yake ni Makamo wa Rais wa...
View ArticleDKT. SHEIN AONGOZA WAUMINI WA KIISLAM KWENYE MAULID YA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maulid EL Nabii Zanzibar Sheikh Khamis Haji Khamis,alipowasili katika viwanja...
View Articlenews alert: vurugu zaendelea mtwara
Habari zilizotufikia punde zinasema vurugu zinaendelea mjini Mtwara ambapo leo wananchi wamechomamoto mahakama ya Mwanzo na kuvunja vioo vya Nyumba ya Mhe. Hawa Ghasia Waziri wa Tamisemi na ya Mhe....
View ArticleUsed Desktop Computers, Printers, Badge Printers, Office Furniture for sale...
1. HP Color LaserJet 2550L printer - $3002. HP LaserJet 1022 printer (Black and White) - $2503. HP LaserJet 4250DTN printer (prints in Black only) -$4004. Minolta CS Pro 4000/5000 (printsin Black...
View Article