Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 121394 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJALIWA AWASILIMIA WANANCHI WA MJI MDOGO WA KATORO MKOANI GEITA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa Mji Mdogo wa Katoro mkoani Geita, Novemba 30, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA .

UONGOZI wa Bodi na Menejimenti ya Baraza la Kilimo Tanzania unasikitika kutangaza kifo cha Mwakilishi wake katika Wilaya ya Wangi’ng’ombe Mkoani Njombe Bw. John Wihallah aliyefariki Dunia katika ajali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA SMZ BALOZI SEIF AL I IDD APONGEZA MAFANIKIO YA TASAF.

Na. Estom Sanga- Zanzibar. Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Balozi Seif Ali Idd amesema utekelezaji wa shughuli za Maendeleo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF kisiwani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Madaktari Ocean Road timizeni wajibu wenu Dkt.Mpoki

Na.WAMJW, Dar es Salaam Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya amewataka Madaktari wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road kutimiza wajibu wao katika kuwahudumia wagonjwa wanaofika hospitalini...

View Article

Introducing "Mwanadamu" by Pastor Ronald Laulau

Recorded at Nanobeatz Tanzania From Mwanadamu Album It is a Song About Man's Relationship with God

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI MAPINGAMIZI YA SERIKALI KWENYE KESI YA MBOWE...

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamiiMAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali mapingamizi yaliyowasilishwa na upande wa Serikali na kukubali kusikiliza rufaa ya Mwenyekiti wa Chadema Freeman...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNICEF Tanzania encourages role of youth in development

United Nation Children's Fund (UNICEF) Representative Ms. Maniza Zaman UNICEF Tanzania has encouraged Tanzania to double her efforts in encouraging her young citizens of today to play an even more...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI NA UHURU KENYATA KUZINDUA KITUO CHA FORODHA CHA PAMOJA KESHO

Na Vero Ignatus, ArushaRAIS  Dkt John Magufuli na Rais Uhuru Kenyata  kesho wanatarajia kuzinduwa kituo cha Forodha cha pamoja Namanga One Stop Bonder Point.Aidha Disemba 2,  mwaka huu Rais John...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA UJUMBE WA WASHIRIKA WA MAENDELEO SEKTA YA...

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Meneja Mkaazi wa Growing Africa’s Agriculture (AGRA) wakati wa mazungumzo na Ujumbe wa Washirika wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAOFISA SITA WIZARA YA ARDHI WASIMAMISHWA KAZI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Washiriki Master Tanzania kutambulishwa Forty Forty Tabata leo

WASHIRIKI wa Shindano la Master Tanzania 2018/19, wanatarajiwa kutambulishwa leo Forty Forty Club, iliyopo Tabata Bima, jijini Dar es Salaam.Akizungumza na gazeti hili jana, Mratibu wa shindano hilo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA BALOZI AMINA SALUM ALI AZUNGUMZA NA WAANDISHI...

Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Balozi Amina Salum Ali akizungumza na Waandhishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali kuhusiana na Maadhimisho ya kutimia miaka 50 toka kuundwa kwa Shirika la ZSTC 1968...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Gulio la TCRA kuelimisha umma juu ya matumizi bora ya huduma za mawasiliano...

Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) imesema kuwa wananchi wanatakiwa kutumia Mawasiliano kwa maendeleo. Hayo ameyasema Mkuu wa Kitengo cha Watumiaji wa Mawasiliano wa TCRA Thadayo Ringo wakati wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUHUDI ZA HKMU ZAPONGEZWA, WASHAURIWA KUONGEZA IDADI YA WADAHILIWA

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiKONGAMANO la kwanza la kitaaluma la Chuo kikuu cha kumbukumbu ya Hubert Kairuki limefanyika leo kwa kuwakutanisha wataalamu na baadhi ya wanafunzi waliosoma katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASILIMIA 85 YA WANAWAKE MKOANI MARA WANAJIFUNGUA KATIKA VITUO VYA AFYA.

Na WAMJW - MARA.Asilimia 85 ya Wanawake Mkoani Mara wanajifungua kwenye vituo vya Afya, hali iliyosaidia kupunguza idadi kubwa ya vifo vya mama na mtoto wakati wa kujifungua.Hayo yamesemwa na Waziri wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI INAFANYA MAPITIO YA LESENI ZA UCHIMBAJI-MAJALIWA

*Zitakazobainika kutofanya kazi kwa muda mrefu itazichukua WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali inafanya mapitio ya leseni zote za uchimbaji wa madini na zile ambazo zitabainika kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE KUTOKA GIRL GUIDES...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Wajumbe kutoka Tanzania Girl Guides Association ambapo pamoja na mambo mengine...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI MKUTANO MKUU WA 20 WA WAKUU WA NCHI WA JUMUIYA YA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa 20 wa Wakuu wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASSIRA ATUMIA MAHAFALI CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KUTOA UJUMBE...

Na Said Mwishehe, Blogu ya jamiiCHUO cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam  kimefanya mahafali yake ya 13 ya chuo hicho ambapo jumla ya wahitimu 1578 wamehitimu ngazi mbalimbali za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MAKONDA KUPAMBA SHEREHE ZA MIAKA 18 YA MAGIC FM

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, anatarajiwa kuzipamba sherehe za kutimiza miaka 18 tangu kuanzishwa kwa kituo cha Redio cha Magic FM kesho.Akizungumza na waandishi wa habari mkuu wa vipindi...

View Article
Browsing all 121394 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>