YANGA YAJIKITA KILELENI BAADA YA USHINDI WA 3-0 DHIDI YA JKT TANZANIA
Na Agness Francis, blogu ya Jamii. VIJANA wa Jangwani Yanga SC wameibuka na ushindi baada ya kuwatandika mafande wa JKT mabao 3-0 katika mchezo uliochezwa leo katika dimba la Taifa Jijini Dar es Ligi...
View ArticleWAZIRI ANGELA KAIRUKI, AZINDUA KITABU CHA MIAKA 10 CHA SIMULIZI ZA LUKUNDO
Waziri wa Madini Angela Kairuki Akikata Utepe Kuzindua Kitabu Cha Simulizi ya za Lukundo Kilichoandikwa na Mama Fatma Kange,Anayeshuhudia ni Mkuu wa Wilaya ya Same Rose Staki Pamoja na Salehe Njaa mume...
View ArticleSERIKALI YA NORWAY YARIDHISHWA NA UKARABATI WA VITUO VYA KUZALISHA UMEME NCHINI
SERIKALI ya Norway imefurahishwa na jitihada zilizofanywa na serikali nchini katika kusimamia fedha walizotoa mwaka 1995 kugharamia miradi ya ukarabati wa vituo vya kuzalisha umeme vilivyopo hapa...
View ArticleMABULA AZITAKA MAMLAKA ZINAZOHUSIKA NA MAJI PAMOJA NA UMEME KUFIKISHA HUDUMA...
Na.Alex Sonna,DodomaWaziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi imezitaka mamlaka zinazohusika na maji pamoja na umeme kufikisha huduma hizo mapema iwezekanavyo katika mji wa Serikali Ihumwa jijini...
View ArticleSerikali Yaandaa Mtaala Utakaotumika Kuwanoa Wanasheria Wapya
Chuo Cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) Chadhamiria Kuwajengea Uwezo waajiriwa wapya Serikalini wa Kada ya Sheria ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa weledi. Akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu...
View ArticleDKT. NDUGULILE ASIKITISHWA NA UTENDAJI KAZI SEKTA YA AFYA NA MAENDELEO YA...
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile amesikitishwa na utendaji kazi usioridhisha katika Sekta ya Afya na Maendeleo ya Jamii kwa mkoa wa Tanga...
View ArticleNDITIYE: TAKUKURU FUTUATILIENI UJENZI WA GATI YA BANDARI YA LINDI
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye ameilekeza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kufuatilia na kuchunguza thamani ya fedha zilizotumika kujenga gati ya...
View ArticleWAZIRI LUGOLA AWATAKA MAJAMBAZI WAJISALIMISHE PAMOJA NA SILAHA ZAO, POLISI...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewataka majambazi popote walipo nchini kujisalimisha pamoja na silaha zao wakati Polisi wakiendelea na msako mkali mpaka jambazi wa mwisho anatiwa...
View ArticlePETRONILA SIRINYA AJISHINDIA BAJAJI YA SHINDA ZAIDI NA SPORTPESA
Timu Shinda Zaidi na SportPesa imebahatika kumpata mshindi mwigine mwanamama akiwa ni mwanamke watatu kujishindia Bajaji kutoka jiji la Dar es Salaam, Goba.Katika droo ya 64 Petronila Sirinya ambaye...
View ArticleMojabet yatangaza kudhamini fainali za Bongo Star Search
KAMPUNI ya Mojabet inayojishughulisha na mchezo wa kubahatisha kupitia mmoja ya michezo yake ya Boompesa leo imetangaza kudhamini fainali za Bongo Star Search (BSS) ambazo zinatarajiwa kufanyika tarehe...
View ArticleSERIKALI KUWANUFAISHA WACHIMBAJI WADOGO-MAJALIWA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imeweka mikakati mizuri kuhakikisha wananchi hususani wachimbaji wadogo wadogo wananufaika na uwepo wa rasilimali hiyo.Hivyo, Waziri Mkuu amewashauri...
View ArticleBILIONI 4 KULIPWA KILA SIKU KWA WAKULIMA WA KOROSHO-MHE HASUNGA
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-MtwaraSerikali imetangaza kuongeza kasi ya malipo ya wakulima wa Korosho ili kufikia kiasi cha shilingi Bilioni nne (4) kila siku kwani kufanya hivyo zoezi la malipo...
View ArticleSPIKA WA BARAZA LA SENETI LA BURUNDI AMTEMBELEA SPIKA NDUGAI
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Spika wa Baraza la Seneti la Burundi Mhe. Reverien Ndikuriyo (katikati) alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Balozi wa Burundi...
View ArticleDkt. Mahiga akutana na Viongozi kutoka Norway, Denmark, Venezuela na China
Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga wa pili kutoka kushoto ukiwa katika mazungumzo na Waziri wa Maendeleo ya...
View ArticleWAZIRI MKUU: TUTABORESHA MASLAHI YA WATUMISHI WOTE WA UMMA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kuboresha maslahi ya watumishi wote wa umma wakiwemo wa kada ya afya kupitia Bodi ya Mishahara na Motisha baada ya kukamilisha uhakiki wa...
View ArticleBeki wa Ivory Coast afanyiwa vipimo vya afya ya moyo tayari kusajiliwa timu...
Fundi Sanifu wa Moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Saada Salum akimwekea kifaa cha kupima kiwango cha afya ya moyo ili kuhimili mchezo awapo uwanjani beki wa Ivory Coast...
View ArticleSerikali ya Misri yawasilisha andiko la kwanza la nia ya kuwekeza nchini
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel amefanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Misri hapa nchini Bibi. Nevine El-Saeed pamoja na kupokea andiko la awali...
View ArticleWIZARA YA MALIASILI NA UTALII YATENGA MAMILIONI KUWEZESHA UFUGAJI NYUKI KISASA
Na Lusungu Helela-GeitaWizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF) imetenga kiasi cha Sh700milioni kwa ajili ya kuwawezesha wananchi kufuga nyuki kwa njia ya kisasa kwa...
View ArticleWAZIRI MKUU AAGIZA ALIYEKUWA MHASIBU MBOGWE ASIMAMISHWE KAZI
*Ni kutokana na tuhuma za kuhusika na ubadhilifu wa sh. milioni 19 za CHFWAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel amsimamishe kazi aliyekuwa Mhasibu wa...
View Article