Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110193 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATENDAJI KATA HALMASHAURI YA MJI NJOMBE WAPATIWA MKOPO WA PIKIPIKI

Hyasinta KissimaHalmashauri ya Mji Njombe imekusudia kutatua changamoto ya upungufu wa vitendea kazi kwa watendaji wa Kata katika Halmashauri hiyo kwa kuwakopesha pikipiki.Akizungumza wakati wa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya Exim yatoa Mil 10 kufanikisha maadhimisho siku ya takwimu duniani.

 Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasialiano wa Benki ya Exim Bw Stanley Kafu  (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango Dr Philip Mpango ( wa tatu kulia), Mkurugenzi Mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA YAKWAMA KUSIKILIZA KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI ALIYEKUWA...

Na Karama Kenyunko,blogu ya jamiiMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imekwama kuendelea na usikilizwaji wa kesi ya utakatishaji fedha na kumiliki mali zisizolingana na kipato chake inayomkabili aliyekuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC TABORA AAGIZA POLISI KUFANYA DORIA MAENEO YA SHULE ZA MSINGI ILI KUDHIBITI...

NA TTGANYA VINCENT,RS TABORASERIKALI ya Mkoa wa Tabora imeamua kuweka ulinzi katika shule za Msingi za Manispaa ya Tabora nyakati za masomo ili kuzuia kusije kukatolekea kwa vitendo vyovyote vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYAKAZI WATANO NEMC WAPATA DHAMANA KESI YA UHUJUMU UCHUMI

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamiiWAFANYAKAZI watano wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wamefanikiwa kupata dhamana baada ya Mahakama Kuu Kitengo cha Uhujumu Uchumi kuridhia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AWASILI MERERANI TAYARI KWA ZIARA YA SIKU 5

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili Mererani wilayani Simanyiro mkoani Manyara kwa ziara ya siku 5.Makamu wa Rais amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRC YAJIVUNIA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA RELI NCHINI , WASIFU JITIHADA ZA SERIKALI

Na Khadija Seif,Globu ya jamiiSHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limesema linajivunia kuboresha miundombinu ya reli nchini ikiwa ni mkakati wa kuunga mkono jitihada za Serikali ya Awamu ya tano chini ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maelfu wajitokeza kuchunguzwa magonjwa yasioambukiza Muhimbili-Mloganzila

Na Neema EdwinMaelfu ya watu wamejitokeza kupima afya zao katika Hospitali ya Taifa Muhimbili tawi la Mloganzila iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAKUKURU YAWASHIKILIA VIGOGO WATANO MAKETE KWA TUHUMA ZA UPOTEVU WA FEDHA...

Na Amiri Kilagalila ,Njombe TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) mkoani Njombe inawashikilia watumishi watano wa Halmashauri ya Makete akiwemo Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Francis...

View Article


SIMBA SC KUITOA KIMASOMASO TANZANIA KWENYE MICHUANO YA AFRIKA...

View Article

MICHUZI TV: Polisi Mbeya watoa Somo Kwa Madereva wa Serikali..

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mchezo mpya wa Supa Tano wazinduliwa Tanzania

 • Kwa shilingi 1,000 tu mchezaji anaweza kushinda hadi 10,000,000/- kila baada ya dakika 10Kampuni ya The Network inayosimamia michezo ya namba nchini Tanzania leo imezindua mchezo wa namba ujulikanao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAFUNZI UDOM AKWAMA NAULI, AOMBA MSAADA WA KUMPELEKA CHUONI

Na Yeremias Ngerangera, NamtumboMwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa chuo  kikuu cha Dodoma ( UDOM)kitivo cha elimu amekwama nauli ya kufika chuoni  baada ya wazazi  wake kutamka bayana kuwa hawana uwezo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAHABARI WA RELI TV BEN MWANANTALA NA SUZAN MAMKWE WAMEREMETA

 Mwandishi machacahri wa wa Shirika la Reli Tanzania Ben  Mwanantala akiwa na mkewe Suzan Mamkwe baada ya kufunga.ndoa katika  kanisa la Mwenge Parokia ya Mwenge jijini Dar es salaan na kufuatiwa na...

View Article

DC MURO AZISAKA MILIONI 400

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Jerry Muro Kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wilayani Arumeru linamsaka aliyekuwa mweka hazina ( Muhasibu ) wa halmashauri ya meru Ndg. Emmanueli Joram na Michael...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mwakyembe akutana na Uongozi wa MISA –TAN kujadili maendeleo katika...

 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na Uongozi wa Taasisi ya Habari ya MISA –TAN kuhusu maendeleo ya sekta ya Habari leo Jijini Dodoma. Mwenyekiti wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFAHAMU MICHAEL KEARNEY KIJANA ALIYEMALIZA CHUO AKIWA NA MIAKA 10 PEKEE

MICHAEL Kearney raia wa Marekani ndiye kijana pekee aliyevunja rekodi ya kumaliza chuo akiwa na umri mdogo kabisaa wa miaka 10 na kuwa mwalimu wa chuo kikuu akiwa bado kijana.Michael alizaliwa Januari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTI MREFU AFRIKA HUU HAPA

KASKAZINI Mashariki mwa hifadhi ya Mlima Kilimanjaro kuna mti mrefu kuliko yote Afrika. Mti huo wenye kilometa 81.5 unapatikana katika moja ya bonde la mlima huo.Kulingana na utafiti uliofanywa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI NDALICHAKO AZINDUA MWONGOZO NA MASHINDANO YA UBUNIFU JIJINI DODOMA

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako leo amezindua mwongozo na mashindano ya ubunifu kitaifa mkoani Dodoma.Akizungumza wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi Waziri Ndalichako...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. MWANJELWA AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WATUMISHI WA OFISI YAKE ILI KUBORESHA...

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary M. Mwanjelwa (Mb) ameahidi kushirikiana na watumishi wa ofisi yake kupanga mikakati endelevu itakayowezesha...

View Article
Browsing all 110193 articles
Browse latest View live




Latest Images