Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110193 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri wa Nishati afanya mazungumzo na washirika wa maendeleo

Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani amekutana na washirika wa maendeleo wanaofadhili miradi ya nishati ili kujadiliana nao kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo miradi wanayoifadhili na miradi mipya...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAFUNZI UDOM AKWAMA NAULI, AOMBA MSAADA WA KUMPELEKA CHUONI

Na Yeremias Ngerangera, NamtumboMwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa chuo  kikuu cha Dodoma ( UDOM)kitivo cha elimu amekwama nauli ya kufika chuoni  baada ya wazazi  wake kutamka bayana kuwa hawana uwezo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WANASHUHUDIA MAAJABU MAKUBWA NDANI YA MIAKA MITATU YA RAIS DKT.JOHN...

Na Said Mwishehe, DodomaWAKATI Serikali ya Awamu ya Tano chini ya uongozi mahiri wa Rais Rais Dk.John Magufuli ikiwa imetimiza miaka mitatu, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"UCHOVU NI SABABU INAYOPELEKEA AJALI ZA BARABARANI" -- DKT. MPOKI

Na WAMJW, Dar es Salaam.KATIBU Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya amesema kuwa moja ya sababu za ajali barabarani, ni uchovu wa madereva.Dkt....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UGENI KUTOKA BENKI...

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na ugeni kutoka Benki ya NMB ulioongozwa na Ofisa Mkuu wa Mikopo wa Benki hiyo, Ndg. Tom Borghlos (wa pili kushoto) walipomtembelea leo tarehe 14...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUMEAMUA KOROSHO YOTE IBANGULIWE NCHINI-MHE HASUNGA

Na Mathias Canal-Wizara ya kilimo, MtwaraWaziri wa kilimo Mhe Japhet Hasunga amesema kuwa wizara yake itatekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt John Pombe Magufuli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GEREZA LUDEWA KUPATIWA TREKTA ILI KUONGEZA UZALISHAJI WA CHAKULA CHA WAFUNGWA

Na Lucas Mboje, LudewaKAMISHNA Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike ameahidi kulipatia trekta moja Gereza la Kilimo Ludewa ili kuongeza uzalishaji wa chakula cha wafungwa.Kamishna Jenerali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2019/20 KUZINGATIA MAONI YA WABUNGE

Na Saidina Msangi na Farida Ramadhani-WFM.Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) amesema kuwa Serikali itazingatia maoni na ushauri wa wabunge wote katika Maandalizi ya Mpango na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKURUGENZI WATAKIWA KUZINGATIA AFUA ZA LISHE KATIKA BAJETI ZA HALMASHAURI...

Na Stella Kalinga, Simiyu.Kuelekea katika kipindi cha maandalizi ya  bajeti ya mwaka 2019/2020 wito umetolewa kwa  Wakurugenzi wa Halmashauri mkoani Simiyu na maeneo mengine kote nchini kuyapa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vijana, wanawake na walemavu wala neema Manispaa ya Sumbawanga

Halmashauri ya manispaa ya Sumbawanga imetoa shilingi milioni 70.5 kwa vikundi 21 vya vijana, wanawake na walemavu ikiwa ni utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi ya Mwaka 2004...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARABARA ZA KISASA KUONGEZEKA NCHINI

Imeelezwa kuwa ujenzi na usimamizi bora wa barabara za kisasa katika miji mikuu utachochea kukua kwa haraka kwa uchumi na kuvutia biashara za bidhaa na utalii hapa nchini.Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AMALIZA ZIARA MKOANI KILIMANJARO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi na Watendaji wa mkoa wa Kilimanjaro kufanya kazi kwa kushirikiana, kuheshimiana na kupendana.Makamu wa Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANGAZO LA MAONESHO YA TATU YA BIDHAA ZA VIWANDA VYA TANZANIA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAHAMIAJI HARAMU 110 WAKAMATWA SHINYANGA...43 WARUDISHWA KWAO

Idara ya Uhamiaji mkoani Shinyanga imekamata wahamiaji haramu 110 wakiwemo raia wa kigeni 103 na Watanzania saba kwa kuishi nchini Tanzania kinyume cha sheria.Hayo yamebainishwa leo Jumatano Novemba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MNADA WA HADHARA MALI ZA EUROPEAN UNION, UNICEF, FAMILY HEALTH INTERNATIONAL,...

UNIVERSAL AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na EUROPEAN UNION, UNICEF, FHI360, WORLD BANK NA BAM INTERNATIONAL watauza kwa mnada wa hadhara Fanicha za ofisini, vifaa vya maofisini, magari, genereta...

View Article


SAKATA LA KOROSHO: WAKAZI WA LINDI WAONGEA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEYA IRINGA AWASHANGAZA MADIWANI AENDESHA BARAZA KWA DAKIKA 32

KATIKA  hali  isiyoya kawaida   kikao  cha  baraza la madiwani  wa  Halmashauri ya  Manispaa ya  Iringa ambacho  kwa wiki  iliyopita  madiwani  wa chama  cha mapinduzi (CCM)  walisusia  kikao   hicho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADIWANI TABORA WATAKA OCD KWENDA KUJIBU TUHUMA ZA MGAMBO KUPIA WANANCHI

Na Tiganya Vincent, TaboraBARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Tabora limetaka Mkuu wa Polisi Wilaya ya Tabora aitwe kwa ajili ya kujibu tuhuma zinawakabili baadhi ya askari wake na migambo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya TPB yasaidia vifaa Taswa SC

Na Mwandishi wetuBenki ya TPB imeendelea kuisadia  klabu ya  Waandishi wa habari za michezo  nchini (Taswa SC) baada ya kuikabidhi vifaa vya michezo ambavyo vitatumiwa na timu hiyo katika michezo yake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMANDA MUSLIM SASA KUWANYAKUA MADEREVA WA SERIKALI WASIOFUATA SHERIA ZA...

*Asema inasikitisha watumishi wa umma kupoteza maisha kwa ajali*Awataka waache kukimbia mwendo kasi, kupita magari bila uangalifuNa Said Mwishehe,Globu ya jamiiKAMANDA wa Polisi Kikosi cha Usalama...

View Article
Browsing all 110193 articles
Browse latest View live




Latest Images