Wachimbaji Wadogo watakiwa kuhakikisha leseni kutokuwa chanzo cha migogoro
Na Rhoda James – Bukombe Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko amewataka wachimbaji wadogo nchini kuhakikisha kuwa leseni za uchimbaji Madini zinazotolewa na Wizara kupitia Tume ya Madini ikiwemo...
View ArticleUWT PWANI YAMPA SALUTE RAIS .DK MAGUFULI KWA UTEKELEZAJI NA KASI YA MAENDELEO...
NA MWAMVUA MWINYI, PWANI .JUMUIYA ya wanawake ya Chama Cha Mapinduzi (UWT) mkoani Pwani, imempa big up ,Rais Dk. John Magufuli kwa kasi yake ya utekelezaji katika sekta mbalimbali, ikiwemo miradi ya...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA NA MATUKIO BUNGENI JIJINI DODOMA LEO
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa jimbo la Gairo Mh. Ahmed Shabiby katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma mara baada ya bunge kuahirishwa kwa...
View ArticleSERIKALI YAFUNGUA FURSA UZALISHAJI WA MIFUKO MBADALA
Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiSERIKALI imesema kuwa katika kukabiliana na uhifadhi mazingira ni wakati muafaka kwa wadau kuwekeza katika uzalishaji wa mifuko mbadala ambayo haina madhara katika...
View ArticleBENKI YA AMANA,KAMPUNI YA TY SERVICES LTD WASAINI MKATABA KUWEZESHA MADEREVA...
BENKI ya Amana na Kampuni ya TY Services Limited inayoendesha mtandao wa Taxify nchini zimesaini mkataba wa kuwawezesha madereva 50 wa mtandao huo kumiliki magari. Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam...
View ArticleBENKI YA I & M IMETOA ZAWADI NONO KWA WATEJA WAKE 5 KATIKA KUELEKEA MSIMU WA...
Na Agness Francis,Globu ya Jamii. Benki ya I & M imetoa zawadi nono kwa wateja wake katika droo ya kwanza ya JIDABO na I & M bank chini ya usimazi kutoka bodi ya Taifa ya michezo ya...
View ArticleOBITUARY: PROF. ISARIA KIMAMBO
The Vice Chancellor, Prof. William A. L. Anangisye, regrets to announce the death of Professor Isaria Kimambo (1931 – 2018) who passed away on 2nd November 2018 at his residence in Makongo Juu, Dar es...
View ArticleKMC WAMTUPIA VIRAGO ABDULHALIM HUMUD KWA UTOVU WA NIDHAMU
Kaimu Katibu Msaidizi wa timu ya mpira wa miguu Manispaa ya Kinondoni (KMC) Walter Harrison akizungumza na wadau pamoja na wanahabari jijini Dar es salaam kuhusu kufukuzwa kwa mchezaji wao...
View ArticleWATUHUMIWA 14 WA WIZI WA MAGARI, SILAHA AINA SHOTGUN NA BASTOLA WATIWA MBARONI
Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, LIBERATUS SABAS-DCP akizungumza na waandishi wa habari akizungumziwa kukamatwa kwa watuhumiwa 15 wa uhalifu wa wizi wa magari, silaha na mlipuko...
View ArticleDIASPORA CANADA (ZACADIA )YAKABIDHI WHEEL CHAIR IDARA YA WATU WENYE ULEMAVU...
KAIMU Mkurugenzi Idara ya Diaspora Zanzibar Ndg Hassan Khatib Hassan,akimkabidhi msaada wa wheel chair Mkurugenzi wa Idara ya Watu Wenye Ulemavu Zanzibar Bi. Abeda Abdalla Rashid, vivilivotolewa na...
View ArticleTADB ‘yatupa’ jembe la mkono kwa kuwakopesha matrekta wakulima wa pamba
Benki ya Maendeleo ya Kilimo nchini (TADB) imetoa matrekta 24 yenye thamani ya zaidi ya TZS 1.5 bilioni kwa Vyama vya Ushirika vya Msingi vya Masoko (AMCOS) 24 vinavyolima zao la pamba katika mikoa ya...
View ArticleUONGOZI WA BENKI YA CRDB WAMTEMBELEA KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James (kulia) akizungumza na Viongozi wa Benki ya CRDB waliofika ofisini kwake leo, kwa lengo la kumtambulisha Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki hiyo,...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AZINDUA KAMPENI YA JIONGEZE TUWAVUSHE SALAMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa kila Mkuu wa Mkoa aifanye afya ya uzazi na mtoto kuwa ajenda ya kudumu katika vikao vya ushauri vya...
View ArticleSIMIYU YAZINDUA MFUMO WA MSHITIRI MMOJA KATIKA DAWA NA VIFAA TIBA , JAZIA
Na Stella Kalinga, SimiyuKatibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini amezindua rasmi mfumo wa ununuzi wa dawa na vifaa tiba kupitia kwa mshitiri mmoja wa mkoa ujulikanao kama JAZIA, uliobuniwa...
View ArticleKILIO CHA BARABARA PANGANI HISTORIA MPYA IMEANDIKWA-JUMAA AWESO
Anaandika Mh.Jumaa Hamidu Aweso .“Ndugu zangu ,nina furaha sana huenda zaidi ya siku zote ukitoa siku niliopata ridhaa ya kuaminiwa na wana Pangani kua Mbunge wao.Asanteni sana, Kitu kinachoifanya...
View ArticleWANACHAMA WA YANGA WAKATAA KUSIMAMIWA UCHAGUZI WAO NA TFF, WASEMA WANAYO...
*Wawaoma BMT, TFF kuheshimu maamuzi ya mkutano mkuu wa Yanga wa kumtambua Yusuf Manji kama Mwenyekiti wao.*kuhusu uchaguzi, Mwenyekiti wa Matawi aitwa kamati ya maadili keshoNa Zainab Nyamka, Globu ya...
View Articlenjia pekee ya kulipa wema kwa wananchi ni viongozi wake kufanya kazi kwa...
NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR.KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) ndugu Humphrey Polepole amesema njia pekee ya CCM kulipa wema kwa wananchi ni viongozi wake kufanya kazi kwa bidii na ubunifu ili...
View Article