Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110202 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA NMB KUONGEZA MARA MBILI KIWANGO CHA MIKOPO KWA KAMPUNI NDOGO NA ZA KATI

BENKI ya NMB imesema itaongeza kiwango cha mikopo inayoitoa kwa kampuni ndogo na za kati mara mbili zaidi na kufikia Shilingi trilioni tatu kwa miaka mitatu ijayo. Hayo yalisemwa na Mkurugenzi Mtengaji...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

NBC yapongezwa kwa kudhamini maonyesho ya mifuko ya uwezeshaji mjini Mbeya

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila (wa pili kushoto) akikabidhi cheti cha shukrani kwa Meneja wa Benki ya NBC Kanda ya Kusini, Salema Kileo kutokana na udhamini wa benki hiyo katika maonyesho ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Abbasi na Ujumbe wake watembelea Magazeti ya China, Atoa Wito Kuhusu...

Na Beatrice Lyimo- MAELEZO, CHINA Mkurugenzi wa Idara ya Habari- MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi Jumatano Oktoba 24, 2018 ametembelea magazeti ya People's Daily Online na China...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP SIRRO AWATAKA WANANCHI WA UVINZA MKOANI KIGOMA KUENDELEA KUTOA TAARIFA...

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Uvinza Mhe. Mwanamvua Mlindoko, wakati alipowasilia wilayani Uvinza Tarafa ya Nguruka mkoani Kigoma Jana 24/10/2018, kwa lengo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIKA KUHAKIKISHA VODACOM INAWAFIKIA WATEJA WAKE,YAFUNGUA DUKA WILAYANI...

Mkuu wa wilaya ya Hai, Bw. Lengai Ole Sabaya akizindua rasmi duka la Vodacom Tanzania jana wilayani hapo ikiwa ni mpango wa kuhahakikisha wanafikia wateja wao wote, popote walipo. Kando yake ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE MBUNGE PETER MSIGWA APATA WAKILI WA KUMTETEA

Na Karama Kenyunko, globu ya jamii.Hatimaye Mbunge wa Iringa mjini, Peter Msigwa anayekabiliwa na kesi ya uchochezi pamoja na viongizi wenzake nane wa Chadema, leo amepata wakili wa kumtetea dhidi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AWATAKA WAKAZI WANAOPISHA MRADI BANDARI MPYA BAGAMOYO KUVUTA...

NA MWAMVUA MWINYI, PWANI WAKAZI wa kijiji cha Pande, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani ambao wamehamishwa kupisha mradi wa bandari mpya ya Bagamoyo wameiomba serikali kuwasaidia kulipwa fidia na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtaka atoa wito kwa NSSF kuhamasisha zaidi wajasiriamali wadogo wadogo...

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Anthony Mtaka akizungumza na wafanyakazi wa NSSF alipotembelea banda hilo katika maonesho ya SIDO mkoani Simiyu.(wa pili kushoto ni Afisa matekelezo wa NSSF Simiyu Mr...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAANDISHI WA HABARI ZA MAZINGIRA WAPIGWA MSASA KUHUSU UHIFADHI WA MAZINGIRA...

 Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira nchini(JET) John Chikomo akifafanua jambo kwenye semina ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari kuhusu sekta ya uhifadhi wa mazingira...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa rais atembelea mradi wa ujenzi wa tenki la maji la Bagamoyo leo

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiMAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu ametembelea mradi wa ujenzi wa  tenki la maji la Bagamoyo lililojengwa na Mamlaka ya Majisafi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya Exim Tanzania yajipanga kusaidia wakulima wa korosho mkoani Mtwara...

BENKI ya Exim Tanzania imejipanga kusaidia wakulima wa korosho mkoani Mtwara kwa uwekezaji wa shilingi milioni 200 ili kuongeza uzalishaji wakati wa msimu wa korosho wa 2018.Sekta ya ulimaji wa korosho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNESCO kufunza elimu ya dijiti kwa wanafunzi 200

SHIRIKA la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limepanga kufunza wanafunzi 200 kutoka shule sita nchini namna ya kutengeneza mfumo wa alama zinazotumiwa katika maandishi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUCHIKA AMTEMBELEA MAKAMU WA RAIS MSTAAFU DKT. GARIB BILAL

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATENDAJI WAKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI WAENDELEA NA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE...

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu (katikati), akimfafanulia jambo Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dkt. Arnold Kihaule, wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JET YAWAJENGEA UWEZO WAANDISHI KUHUSU UHIFADHI WA WANYAMAPORI

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiCHAMA cha Waandishi wa Habari za Mazingira nchini(JET)kimeamua kuwajengea uelewa waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari kuhusu uhifadhi wa mazingira na wanyamapori...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanaotoa Vitisho kwa Walimu Wapewa Angalizo

Katibu, Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Walimu, Winifrida Rutaindurwa amewashauri watendaji wanaojikita katika kutoa vitisho kwa walimu badala ya kutafuta mbinu bora za kuwasaidia kuacha kufanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MAJALIWA APOKEA RIPOTI YA KAMATI YA KUCHUNGUZA AJALI YA KIVUKO...

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea ripoti ya uchunguzi wa  ajali ya kivuko cha MV Nyerere kutoka kwa kamati iliyoundwa na Serikali kwa ajili ya kuchunguza ajali hiyo.Amepokea ripoti hiyo leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT TIZEBA ATEMBELEA MAONESHO YA SIDO ASISITIZA UMUHIMU WA VIWANDA VIDOGO NCHINI

Na mathias Canal-WK, Bariadi-SimiyuWaziri wa kilimo Mhandisi Dkt Charles Tizeba (Mb) leo Alhamisi Octoba 2018 amewataka wajasiriamali kote nchini kuchangamkia fursa ya kutembelea katika Maonesho ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT SHEIN .AKUTANA NA MRATIBU WA UN

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Mratibu wa Umoja wa Mataifa (UN) hapa Zanzibar Bibi.Dorothy Temu-Usiri (katikati) alipofika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania na Ubelgiji Kushirikiana Sekta ya Uwekezaji

Na  Paschal Dotto-MAELEZO Serikali kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara imezitaka sekta binafsi na makampuni kuchangamkia fursa za uwekezaji na biashara ili kuweza kuimarisha mitaji yao pamoja na...

View Article
Browsing all 110202 articles
Browse latest View live


Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>