MSIMU WA FENESI
Mafenesi yakiwa juu ya mti. Mafenesi yakiwa kando ya Barabara ya Kilwa kwaajili ya kusafirishwa katika kijiji cha Kimanzi chana leo Wilaya Mkuranga mkoa wa Pwani. Mfanyabiashara wa mafenesi...
View ArticleNDITIYE AFUNGUA MKUTANO WA PILI WA TEHEMA, KAMPUNI YA BCX YAWA KIVUTIO KWA WADAU
Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiNaibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasilian0-Uchukuzi na Mawasiliamo Atashasta Nditiye amezindua mkutano wa siku 3 wa wanatehama ili kujadili masuala ya tehama na...
View ArticleMAHAKAMA YAAMURU PEDESHEE NDAMA MTOTO WA NG'OMBE AKAMATWE
Na Karama Kenyunko, Glogu ya jamiiMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru kukamatwa kwa Mfanyabiashara, Shabani Hussein maarufu kama Pedeshee Ndama mtoto ya Ng'ombe, baada yakushindwa kufika...
View ArticleKIGAMBONI INTERNATIONAL MARATHONI KUFANYIKA DESEMBA 2 MWAKA HUU
Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiKATIKA jitihada za kuijengea Jamii uelewa na hamasa juu ya umuhimu wa kutunza afya na Kufanya Mazoezi, Kampuni ya E World (Events World) kwa kushirikiana na wadau mbali...
View ArticleNORA MZERU KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUGUSHI CHETI CHA NDOA
Na Karama Kenyunko, Glogu ya jamiiALIYEKUWA Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Wilaya ya Ilala, Norah Waziri maarufu kama Nora Mzeru amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala akikabiliwa...
View ArticleBENKI YA TIB CORPORATE YASHIRIKI MAONYESHO YA SIDO YA KITAIFA MKOANI SIMIYU
BENKI ya TIB corporate imeshiriki katika maonyesho ya SIDO ya Kitaifa yaliyofanyika katika viwanja vya Nyakabindi wilayani Bariadi ktk mkoa wa Simiyu.Maonyesho hayo yalizinduliwa jana Oktoba 23 na...
View ArticleSWALA LA HUDUMA YA JAMII NI LAZIMA KWA WAMILIKI WOTE WA MIGODI NCHINI-BITEKO
Na Humphrey Shao , Globu ya JamiiNAIBU Waziri wa Madini, Dotto Butiku ameagiza wamiliki wote wa migodi nchini kuzingatia takwa la kutoa huduma kwa jamii katika sehemu ilipo migodi yao kuwa sio ni ombi...
View ArticlePICHA MBALIMBALI ZA USAFIRISHAJI WILAYANI MKURANGA
Mmoja waendesha Pikipiki Katika Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani akiwa amepakia Mzigo wa Mkaa kuzidi uwezo wa chombo chake akipita katika Barabara ya Kilwa kuelekea Dar es Salaam, hali inayohatarisha...
View ArticleMUHEZA WAMEELEWA KUWA NYUMBA NI CHOO-MPOTO
Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiMSANII wa Muziki wa Kughani na Kiongozi wa Mjomba Bendi, Mrisho Mpoto amesema kampeni ya Kitaifa ya Usafi wa Mazingira na uhamasishaji wa ujenzi wa Vyoo bora iliyoanza...
View ArticleUNICEF KUISAIDIA SERIKALI KUFANYA TAFITI ZA MAENDELEO YA MTOTO
Na: WFM – DodomaShirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto ( UNICEF), wameonesha nia ya kuisaidia Serikali ya Tanzania kufanya tafiti mbalimbali kuhusu maendeleo ya mtoto ili kukabiliana na...
View ArticleIdadi wa wachangiaji wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF)waongezeka
Na.WAMJW,Bungeni,DodomaIdadi ya wanachama wachangiaji wa mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya imeongezeka kutoka wanachama 164,708 waliokuwa wameandikishwa mwaka 2001/2002 hadi wanachama 873,012 mwezi...
View ArticleKAMISHNA WA MAADILI AWATAKA VIONGOZI WA BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI...
Kamishna wa Maadili Mhe. Harold Nsekela amewataka viongozi wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kujiepusha kupokea zawadi wakati wanapotekeleza majukumu yao. Wito huo aliutoa wakati...
View ArticleVIBARUA VYA MADEREVA WA SERIKALINI HATARINI
Na.Alex Sonna,DodomaKufuatia ongezeko la magari yanayoendeshwa na madereva wa Serikali kupata ajali, Baraza la Taifa la Usalama Barabarani Tanzania limeibuka na kutoa tamko la kufuatilia na...
View ArticleSAMIA -TUTAFUATILIA WAFANYABIASHARA WANAOINGIZA BIDHAA FEKI NA KUUZA KWA...
NA MWAMVUA MWINYI, BAGAMOYO MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema serikali itafuatilia baadhi ya wafanyabiashara wanaodaiwa kuingiza bidhaa feki na kuuuza kwa...
View ArticleTASWIRAZZ MBALIMBALI ZA MTANANGE WA TANZANIA PRISON NA AFRICAN LYON...
Mshambuliaji wa Prisons Jeremia Juma akiwa anaambaambaa na mpira wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) dhidi ya African Lyon uliomalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu ya 0-0 kwenye Uwanja...
View ArticleTAMASHA KUBWA LA MADINI KUTIMIZA MIAKA 50 YA UGUNDUZI WA TANZANITE KUFANYIKA...
Ahmed Mahmoud ArushaTaasisi ya mfuko wa mgunduzi wa madini ya Tanzanite inatarajia kufanya Tamasha na maonyesho ya madini ya Tanzanite lengo likiwa ni kumuenzi mgunduzi wa madini hayo Mzee Jumanne...
View ArticleWAZIRI AWESO AELEKEZA TIMU YA WATALAAM WA MAJI WA WIZARA KUKAGUA MIRADI YA...
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ameelekeza timu ya wataalam wa maji kutoka Wizara ya Maji kukagua miradi yote ya maji katika wilaya ya Mbulu mkoani Manyara na kuainisha changamoto za miradi...
View Article
More Pages to Explore .....