Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110192 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM vs JKT TANZANIA KESHO UWANJA WA MEJA JENERALI ISAMUHYO MBWENI

BAADA ya kucheza mechi nne nyumbani, Azam  itakuwa ugenini kuvaana na JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) utakaofanyika Kesho kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni, Dar...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Matumizi ya gesi kuzalisha umeme yaokoa Dola za Marekani Bilioni 10.29

Na Teresia Mhagama, DodomaImeelezwa kuwa, matumizi ya gesi asilia katika kuzalisha umeme yameokoa fedha za kigeni kiasi cha Dola za Marekani bilioni 10.29 ambazo zingetumika kununua mafuta nje ya nchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIA WA USWISI AHUKUMIWA KULIPA FAINI YA MILIONI 34 AMA JELA MIAKA 20

Na Karama Kenyunko, Glogu ya jamiiMKURUGENZI wa Fairme NGO, Rene Staheli (62) ambaye pia ni raia wa Uswis leo Oktoba 23, 2018 amehukumiwa kulipa faini ya Sh Sh. Milioni 34 ama kutumikia kifungo cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI JAFO AWATWISHA MZIGO MEYA, MKURUGENZI MANISPAA YA ILEMELA

Na Baltazar Mashaka, Mwanza HALMASHAURI ya Manipaa ya Ilemela imeagizwa kukusanya na kusimamia mapato ili kusukuma maendeleo kwa maslahi ya wananchi.Agizo hilo lilitolewa na Waziri wa Nchi,  Ofisi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Matumizi ya gesi kuzalisha umeme yaokoa Dola za Marekani Bilioni 10.29

Na Teresia Mhagama, DodomaIMEELEZWA kuwa, matumizi ya gesi asilia katika kuzalisha umeme yameokoa fedha za kigeni kiasi cha Dola za Marekani bilioni 10.29 ambazo zingetumika kununua mafuta nje ya nchi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TEMBO WAHARIBU MAZAO YA WAKULIMA SEGWA HUKO FUKAYOSI

Na Mwamvua Mwinyi, FUKAYOSI BAADHI ya wakulima kitongoji cha Segwa, kata ya Fukayosi Bagamoyo mkoani Pwani, kinakabiliwa na tatizo la uvamizi wa tembo ambao wameharibu mazao yao kwenye hekari kumi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAAINISHA DAWA MUHIMU ZINAZOPATIKANA MSD

WAMJW, BUNGENI DODOMA SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imeainisha dawa aina 135 kama dawa muhimu na za kipaumbele cha wizara kwa lengo la kuhakikisha kuwa zinapatikana nyakati zote katika bohari zote za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AITAKA SIDO KUBUNI TEKNOLOJIA RAFIKI

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameliagiza Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO)lijielekezekatika kubuni teknolojia na mitambo rafiki inayolenga kutatua changamoto za wajasiriamali kulingana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ujerumani Yampongeza Rais Magufuli kwa Kupambana na Rushwa – Balozi Waechter

Na Judith Mhina – MAELEZO Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Dkt Detlef Waechter amempongeza Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli kwa kufanikiwa kupambana na rushwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKULIMA SKIMU YA UYOLE WAOMBA KUTEMBELEWA NA WAKALA WA VIPIMO

Wakulima, katika skimu ndogo ya kilimo cha mbogamboga ya Iganjo Iliyopo Iliyopo Uyole nje kidogo ya jiji la Mbeya, wameomba wataalam kutoka wakala wa vipimo kuwatembelea ili kuweza kusaidia tatizo la...

View Article

Fumanizi Bongo vs Nigeria.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Invitation to attend "a night with Mzungu Kichaa" at HYATT KILIMANJARO HOTELI...

What: "A night with Mzungu Kichaa"When: Thursday 25th of October 18.30 - 21.30Where: Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro - Level8 rooftopWhy: Because it will be epic

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWILI WA ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA MAGOMENI MHE DKT.JULIAN BUJUGO AAGWA LEO

Akiongoza shughuli hiyo ya kuaga mwili wa aliekua Diwani Kata ya Magomeni Manispaa ya Kinondoni Dkt.Julian Bujugo  iliyohudhuriwa pia na viongozi wa vyama na Serkali,  Mstahiki Meya wa Manispaa ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIKI YA MAONYESHO YA VIWANDA MKOA WA PWANI KUANZA OKTOBA 29, BENKI YA CRDB...

 Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Eng. Evarist Ndikiro (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutangaza siku ya kuanza kwa Maonesho ya Viwanda Mkoa wa Pwani ambayo yatafunguliwa rasmi tarehe 29...

View Article

BBC DIRA YA DUNIA JUMANNE 23.10.2018

View Article


VOA SWAHILI: Duniani Leo October 23, 2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTIAJI SAINI MKATABA WA MGAWANYO WA UZALISHAJI WA MAFUTA NA GESI ASILIA (PSA)...

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Mtawala wa Ras Al Khaimah Shaikh   Saud bin Saqr  Al  Qasimi wakati alipofanya ziara ya kuitembela...

View Article


TAARIFA YA HABARI YA ITV SAA MBILI USIKU OKTOBA 23, 2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKAGUZI WA MIRADI YA BUNGE INAYOTEKELEZWA NA SUMA JKT

Waziri wa ulinzi na jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Hussein Mwinyi ameridhishwa na hatua za utekelezaji wa miradi mitatu ya ujenzi wa Ofisi ya Bunge inayotekelezwa na Shirika la Uzalishaji la Jeshi hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATANO OKTOBA 24,2018

KUSOMA MAGAZETI YA LEO  BOFYA HAPA>>>>>

View Article
Browsing all 110192 articles
Browse latest View live




Latest Images