Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110192 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FIVE HOUSES FOR SALE IN ONE TITLED PLOT.

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHIRIKIANO WA TAASISI ZA DINI NA SERIKALI NI MUHIMU-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ushirikiano mzuri baina ya taasisi mbalimbali za dini nchini na Serikali ni jambo la muhimu katika kuboresha na kuimarisha amani.Ameyasema hayo Jumatatu, Oktoba 22,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AWESO AAGIZA WATALAAM WA MAJI NA WAKANDARASI WA MIRADI YA MAJI YA TSAMAS NA...

Naibu Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ameelekeza Watalaam wa maji walioshiriki katika kusimamia ujenzi wa miradi ya maji ya Tsamas na mradi wa maji Darakuta-Minjingu pamoja na Wakandarasi waliopewa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MWINYI AKAGUA MIRADI YA BUNGE INAYOTEKELEZWA NA SUMA JKT

Waziri wa ulinzi na jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Hussein Mwinyi ameridhishwa na hatua za utekelezaji wa miradi mitatu ya ujenzi wa Ofisi ya Bunge inayotekelezwa na Shirika la Uzalishaji la Jeshi hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKOSEFU WA UWAJIBIKAJI NA UWAZI CHANZO CHA MIGOGORO AZAKI

Ukosefu wa uwazi na uwajibikaji katika  shughuli za Asasi za Kiraia Tanzania  unaathiri uwezo wa nchi kutambua kiwango cha michango na misaada inayotolewa na wadau wa maendeleo na matokeo yake katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ujerumani Yampongeza Rais Magufuli Kupambana na Rushwa

Na Judith Mhina - MAELEZOBalozi wa Ujerumani nchini Tanzania Dkt Detlef Waechter amempongeza Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli kwa kufanikiwa kupambana na rushwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ADA ZA SHULE NA BODABODA KUTOLEWA KWA MARA YA KWANZA KUPITIA MWALIMU...

Na Leandra Gabriel, Blogu ya JamiiMWALIMU Commercial Bank imefanya droo yake ya kwanza ya kampeni ya "Weka Akiba na Ushinde"  iliyoanza rasmi Septemba 10 mwaka huu na itaendelea mpaka Novemba 30 mwaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA NNE DKT. KIKWETE IKULU...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na  Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara alipowasili leo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 23,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Legal Services Facility yashiriki kuadhimisha wiki ya Asasi za Kiraia Dodoma

 Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt John Jingu ambaye pia ni mgeni rasmi katika ufunguzi wa wiki ya Azaki ya kiraia akipata maelezo juu  kutoka kwa Meneja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI WA MUHEZA WAITIKIA WITO KWA KUJENGA VYOO BORA

Na Humphrey Shao, Muheza TangaMSANII wa Muziki wa Kughani , Mrisho Mpoto alimaharufu kama Mjomba amesema kuwa kampeni ya Nyumba ni Choo inayoendelea katika Wilaya ya Muheza imeweza kuja na Matokeo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MTENDAJI WA MIGODI YA PANGEA,NORTH MARA, BULYANHULU KIZIMBANI...

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.MKURUGENZI mtendaji  migodi wa Pangea, North Mara na Bulyanhulu, ASA Mbulaja Mwaipopo, leo Novemba 23.2018 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na...

View Article

BREAKING NEWZZZZZ: NECTA YATANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA

KUTAZAMA MATOKEO YA DARASA LA SABA BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAWAKALA WA NMB KANDA 7 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA KIBENKI KUBORESHA BIASHARA ZAO

BENKI ya NMB imetoa mafunzo ya kibenki kwa mawakala wake kutoka Kanda saba nchini ili kuboresha huduma kwa wateja na kukuza biashara zao. Mafunzo hayo yaliotolewa kwa mawakala wa NMB, ambao wanasaidia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MMILIKI WA MABASI YA PRINCES MURO AFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI...

Na Karama Kenyunko, Glogu ya Jamii.MFANYABIASHARA na mmiliki wa mabasi ya Princes Muro, Majid Abdallah maarufu kama Kimaro (51) leo Oktoba 23.2018  amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT MAFUMIKO AWAASA WADAU WA KEMIKALI KUSIMAMIA USALAMA WA KEMIKALI

MKEMIA Mkuu wa Serikali, Dkt Fidelice Mafumiko leo amefungua semina ya wadau wa uhifadhi, udhibiti na usimamizi wa kemikali hatarishi hapa nchini.Akizungumza na wadau hao jijini Dar es Salaam leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI ZA BUNGE ZAFANYA VIKAO JIJINI DODOMA

 Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma leo. Wajumbe hao wakiongoozwa na Mwenyekiti Mhe. Naghenjwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Safari ya kufikisha asali ya Tanzania kimataifa yaiva

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania ipo kwenye mazungumzo na Kampuni ya Follow the Honey Tanzania inayojishughulisha na uzalishaji wa asali nchini ili kuchagiza uzalishaji wa asali nchini na kukidhi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINDA WA KIKAPU JESCA KUELEKEA SENEGAL KWA MAJARIBIO YA NBA ACADEMY

NAODHA wa timu ya Taifa ya Mpira wa Kikapu chini ya Miaka 18 Jesca Ngisaise anatarajia kusafiri kesho alfajiri  kuelekea Senegal kwenye majaribio.Jesca amekuwa zao zuri la vijana katika mchezo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIWANI KATA YA MAJI CHUMVI TABATA APONGEZWA KWA JUHUDI ZA KUSIMAMIA MAENDELEO

Na Khadija Seif, Globu ya JamiiAFISA Mahusiano Halmashauri Wilaya ya Ilala Tabu Shaibu amepongeza juhudi za Diwani wa kata ya Kisukulu kwa kukarabati miundo mbinu bila ya kusubiri serikali.Tabu ametoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DCP LIBERATUS SABAS AZUNGUMZA NA WANAVIJIJI MKOA WA MTWARA, AKAGUA VIPENYO...

 Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas akitoa Elimu kwa wanakijiji wa Chikong’o, Wilayani Tandahimba, Mkoa wa Mtwara juu ya kukabiliana na wageni...

View Article
Browsing all 110192 articles
Browse latest View live




Latest Images