Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110192 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATAIFA ZAIDI YA 75 YASHIRIKI KONGAMANO LA MAFUTA NA GESI, SERIKALI YATOA NENO

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiSERIKALI imesema imejipanga vema kuhakikisha sekta ya nishati na hasa ya mafuta na gesi inawanufaisha Watanzania wote na kwamba nchi imefanya maandalizi makubwa kwa ajili...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

TADB, TUME YA UMWAGILIAJI WAJIPANGA KUCHAGIZA KILIMO CHA UMWAGILIAJI

Katika kutekeleza kwa vitendo jukumu la kusaidia Mapinduzi ya Kilimo kutoka   kilimo cha kujikimu kwenda cha kibiashara Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imeingia makubaliano na Tume ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUFUA UMEME WA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi waandamizi wa serikali wanaosimamia utekelezaji wa mradi wa kufua umeme katika Mto Rufiji wa Stiegler's Gorge wakisimama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LUGOLA AIBUKIA KITUO CHA POLISI KATORO, AWAHOJI WATUHUMIWA MAKOSA YAO WAKIWA...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza na wananchi nje ya Kituo cha Polisi Katoro, Mkoani Geita, ambao walifika kituoni hapo kuripoti matukio mbalimbali. Lugola akiwa njiani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI JAFO ATOA SIKU MBILI KWA WATENDAJI WA HALMASHAURI YA BAGAMOYO KUJIBU...

Waziri wan chi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI )Selemani Jafo akizungumza na baadhi ya madereva na makondakta wanaofanya kazi zao katika stendi ya mabasi ya Wilayani...

View Article


Tazama video fupi kuhusu ujenzi wa SGR TANZANIA Kipande cha Kwanza cha Reli...

View Article

WAZIRI MKUU AWATAKA WANANCHI KUWA WATULIVU KIPINDI HIKI CHA MAJONZI

View Article

HABARI ZA UMOJA WA MATAIFA KUTOKA NEW YORK, MAREKANI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Senior Officials of SADC Ministries for ICT and Information meet in Namibia...

The Communications Technology (ICT) and Public Information from the Southern African Development Community (SADC) Member States are meeting on 24 – 25 September 2018, in Windhoek, Namibia.  The SADC...

View Article


BBC DIRA YA DUNIA JUMATATU 24.09.2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI WA DUNIA WATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKANA NA MAAFA YA MV NYERERE

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeendelea kupokea salamu za rambirambi kutoka kwa marais, mawaziri wakuu wa mataifa mbalimbali duniani kwenda kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

African Court Judges mourn victims of ill-fated MV Nyerere ferry

The African Court Judges observed a minute’s silence before the start of their Ninth Extra-Ordinary Session  in Arusha in the memory of over 220 Tanzanians who drowned in the ill-fated MV Nyerere ferry...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UONGOZI WILAYA YA SAME WARIDHISHWA NA MRADI WA KILIMO HIFADHI UNAVYOTEKELEZWA...

UONGOZI wa Halimashauri ya Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro umeonyesha kuridhishwa kwake na namna Mradi wa Kilimo Hifadhi unaotekelezwa wilayani humo na Baraza la Kilimo Tanzania (ACT) chini ya Mradi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKULIMA WADOGO WA MKONGE WAIPINGA KAMPUNI YA KATANI MBELE YA WAZIRI WA...

Na Mathias Canal-WK, TangaWakulima wadogo wa zao la mkonge Wilayani Korogwe mkoa wa Tanga, wameiomba Serikali kuweka utaratibu wa kuanzisha soko huria kwa ajili ya ununuzi wa zao hilo ili malengo...

View Article

Introducing VIDEO Ya WIMBO Mpya Wa Akil The Brain "Mashallah"

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEJA JENERALI MASANJA AMEVIPONGEZA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA MKOANI TABORA...

Na Tiganya VincentMkuu wa Utumishi Jesheni Meja Jenerali  Blasius Kalima Masanja amevipongeza vyombo vya ulinzi na usalama na viongozi wa Serikali Mkoani Tabora kwa kufanya kazi zao kwa ushirikiano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA WAGOMBEA UBUNGE KATIKA JIMBO LA LIWALE NA...

Tume ya Taifa ya Uchaguzi  ilitangaza tarehe 13 Septemba 2018 kuwa siku ya uteuzi wa wagombea Ubunge  katika jimbo la Liwale Mkoani Lindi  na tarehe 21 Septemba 2018  kuwa siku ya uteuzi kwa wagombea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI WAENDELEA NA KIKAO CHA BARAZA HILO ZANZIBAR

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Haji Omar Kheiri akifafanua baadhi ya maswala yalioulizwa ndani ya kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LUGOLA ATAKA ASKARI POLISI, UHAMIAJI WASIOKUA WAAMINIFU VIZUIZINI KUDHIBITIWA

Na Felix Mwagara, MOHA-KakonkoWAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, ameitaka Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Kigoma kuhakikisha wanawadhibiti baadhi ya askari Polisi na Uhamiaji ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VYUO VIKUU SABA VYAZUILIWA KUDAHILI WANAFUNZI WAPYA

*Vingine vyaamriwa kusitisha utoaji wa mafunzoNa Avila Kakingo,Globu ya JamiiVYUO Vikuu saba nchini vimezuiliwa kudahili wanafunzi wapya kwa ngazi zote za masomo katika programu zote.Hayo yamesemwa leo...

View Article
Browsing all 110192 articles
Browse latest View live




Latest Images