Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110192 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli avunja Bodi ya TEMESA

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI MBEYA YAMSHIKILIA MWANAFUNZI KWA TUHUMA ZA KUTUPA MTOTO CHOONI

 KUTUPA MTOTO – JIJINI MBEYA. JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mwanamke mmoja ambaye amefahamika kwa jina la INES MTUNDU [19] Mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari SEBAMA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGALU ATHIBITISHA GATI LA NYAMISATI HALIHAMISHWI,LINATARAJIWA KUGHARIMU BIL.14

NA MWAMVUA MWINYI, KIBITI .NAIBU Waziri wa Nishati ,Subira Mgalu amethibitisha kuwa serikali inaendelea kujenga gati la Nyamisati, Kibiti, mkoani Pwani na haina mpango wa kulihamisha ambapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWZ ALERT:MBUNGE WA MTAMA NAPE NNAUYE ANASURIKA KIFO BAADA YA GARI ALIYOKUWA...

Na Ripota Wetu,Michuzi BlogMBUNGE wa Mtama Nape Nnauye(CCM) amenusurika kifo baada ya gari aliyokuwa akisafiria kupata ajali. Nape amepata ajali hiyo leo asubuhi katika Kijiji cha Kibutuka akiwa njiani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JAMATATU SEPTEMBA 24, 2018

BOFYA HAPA KUSOMA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 24,2018

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWILI WA MAREHEMU WAFUKULIWA BAADA YA MUMEWE KUKIRI KUMUUA NA KUMFUKIA

NA MWAMVUA MWINYI,MKURANGAMWILI wa marehemu Celina Sulubu, mkazi wa Lubambawe wilayani Mkuranga,mkoani Pwani umefukuliwa kwa taratibu za kisheria baada ya mumewe Selemani Hija Usumba kukiri kumuua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA...

 Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dkt. Ali Mohamed Shein pamoja na Mjumbe wa Kamati Kuu, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHULE YA QUEEN’S KUJENGA MAABARA YA SAYANSI KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI...

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii MKUU wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema amesema kuanzishwa kwa maabara ya sayansi kwa ngazi ya shule za msingi kutasaidia upatikanaji wa wataalamu wa fani hiyo nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKAGUA SHUGHULI ZA UOKOAJI MV NYERERE

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya watu walionusurika  katika  ajali ya kivuko cha MV Nyerere wakati alipotembelea Kituo cha Afya cha Bwisya  kisiwani humo Septemba 24, 2018....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ELIMU YA MSAMAHA WA KODI YAWAFIKIA WAFANYABIASHARA MANYARA

Na Veronica Kazimoto Manyara.MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa elimu ya Msamaha wa Riba na Adhabu ya Malimbikizo ya Madeni ya Kodi kwa wafanyabiashara, washauri wa wafanyabiashara na wakaguzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SALAMU ZA POLE

View Article

DKT. RWAKATARE ACHAGIZA UCHUMI WA VIWANDA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HESLB yajipanga kuchota mbinu kutoka kwa wadau Lilongwe

Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Bw. Abdul-Razaq BadruNa Omega Ngole, Lilongwe, TAASISI za kiserikali zinazotoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu Afrika zinakutana kwa siku nne kuanzia kesho (Jumatatu,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTANGAZAJI WA CLOUDS SHAFII DAUDA AFIKISHWA KORTINI,APEWA DHAMANA

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamiiMTANGAZAJI wa Clouds na mmiliki wa mtandao wa Shafii Dauda,  Shafii Dauda Kajuna na Benedict Kadege  wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chuo Kikuu Mzumbe Chatakiwa Kutumia Matokeo ya Tafiti Mbalimbali Katika Sekta...

Na Beatrice LyimoNaibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amekitaka Chuo Kikuu Mzumbe kutumia matokeo ya tafiti mbalimbali katika sekta ya afya kuleta...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC SINGIDA DKT. REHEMA NCHIMBI AWAASA MADAKTARI KUTENDA HAKI

NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidMKUU wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi amewataka Madaktari wanaopatiwa mafunzo ya jinsi ya kufanya tathmini kwa mfanyakazi aliyeumia au kuugua mahala pa kazi, kutenda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOUDY BROWN APATA DHAMANA MAHAKAMANI, ARUDISHWA KITUO CHA POLISI

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.MTANGAZAJI wa Clouds,  Soudy Peter  Kadio 'Brown' amepandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kutumia maudhui mtandaoni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MAKONDA ASAINI MKATABA WA LISHE ILI KUTOKOMEZA ASILIMIA 14.6 ZA UDUMAVU...

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiMKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amesaini mkataba na wakuu wa Wilaya zote tano za jiji la Dar es salaam katika kuhakikisha suala la afya na ukuaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU ATANGAZA TUME YA KUCHUNGUZA AJALI YA MV.NYERERE ILIYOSABABISHA...

 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametangaza tume ya kuchunguza ajali ya kivuko cha MV Nyerere yenye wajumbe saba ambayo itaongozwa na Jenerali mstaafu, George Waitara.Akitangaza majina hayo kwenye kijiji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MC LUVANDA APANDISHWA KIZIMBANI KUJIBU TUHUMA TATU

Mtuhumiwa Anthony Luvanda maarufu kama MC Luvanda akitoka katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akiwa amejifunika usoni leo jijini Dar es Salaam.Na Karama Kenyunko,blogu ya Jamii.MSHEHERESHAJI maarufu...

View Article
Browsing all 110192 articles
Browse latest View live




Latest Images