Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110202 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamishna Mboje atembelea banda la Magereza nane nane Simiyu

 Kamishna wa Huduma za Parole,Viwanda, Huduma za jamii na Programu za Urekebishaji Af. Augustine Mboje  Sangalali(suruali nyeupe) akisalimiana na Mkuu wa Kilimo,Mifugo na Utunzaji wa Mazingira,...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

VODACOM YAWARAHISHIA WATANZANIA KUFANYA MALIPO KATIKA TAASISI ZA SERIKALI...

  Mkuu wa Kitengo cha Mwendelezo wa Biashara ya M-Pesa, Vodacom Tanzania Plc,Polycarp Ndekana (Kulia ) akiongea kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati wa uzinduzuzi wa huduma mpya na ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALICHOZUNGUMZA DC WA NAMTUMBO MARA TU BAADA YA KUAPISHWA

Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Sophia Kizigo

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Kaguta Museveni kuwasili kesho kwa ziara ya...

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni atafanya ziara ya kikazi ya siku moja hapa nchini tarehe 09 Agosti 2018.Lengo la ziara hiyo ni kuimarisha ushirikiano na ujirani mwema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CCM TARIME ACHANGIA VIFAA VYA VYENYE THAMANI YA SHILINGI...

Na Frankius Cleophace Tarime.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Tarime Marwa Daud Ngicho amechagia Vifaa mbalimbali katika shule ya Msingi Mturu iliyopo Kata ya Turwa Mjini Tarime Mkoani Mara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MPINA ATOA SIKU SABA KWA MAKATIBU WAKUU WA KILIMO NA MIFUGO

Na John MapepeleWaziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ametoa siku saba kwa makatibu wakuu wa Kilimo na Mifugo kuwasilisha wizarani kwake taarifa ya kwanini bei ya mbegu za mahindi na mtama pamoja na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WASHAURIWA KUTUMIA MCHICHA NAFAKA

WATANZANIA hususani watoto na akina mama wajawazito wametakiwa kutumia zaidi mchicha nafaka kama chakula kitakachowaongezea viini lishe muhimu kwa afya ya miili yao. Wito huo umetolewa mjini Arusha...

View Article

Introducing "Sikutegemea" Official audio by Sampamba

View Article


Introducing "FINE GIRL" by Kingsure Ft. Mee Brown & Mapachi

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Introducing "TOGOLA" by Nitho

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC ARUMERU AWAFARIJI WANANCHI WA KATA YA MBUGUNI ILIYOKUMBWA NA MAFURIKO

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mh Jerry Muro amefanya ziara kata ya Mbuguni,iliyokumbwa na changamoto ya mafuriko Aprili Mwaka huu, ambapo amewatembelea wananchi waliokumbwa na mafuriko hayo na kuwafariji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTIBWA, KMC KUITAMBULISHA REHA FC.

Matokeo mazuri ya kila jambo yanahitaji maandalizi timamu na ndivyo tunavyofanya kuelekea msimu mpya wa ligi daraja la kwanza.Wakati maandalizi yakiwa yamenoga jana tumetangaza tarehe rasmi ya...

View Article

NEC YAIJIBU CHADEMA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA BUYUNGU

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KALEMANI AWASIMAMISHA KAZI WATENDAJI TANESCO KWA KUSHINDWA KUWASHA...

Na Leandra Gabriel, blogu ya jamiiWAZIRI wa Nishati Dkt.Medard Kalemani amefanya ziara katika Wilaya ya Mkuranga katika kukagua utekelezaji wa utoaji wa huduma ya umeme kwa wananchi na hakuridhishwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI UMMY AKABIDHI MADAWATI 40 SHULE YA SEKONDARI CHUMBAGENI JIJINI TANGA

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia Watoto na Wazee Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) leo amekabidhia madawati 40 na viti katika shule ya sekondari ya Chumbageni Jijini...

View Article


Bodi ya nyama Tanzania na Abachem Engineering

View Article

KIPINDI MAALUM CHA RAIS DKT.JOHN MAGUFULI ALIPOKUTANA NA VIONGOZI WA CCT NA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA POSTA YATOA MSAADA WA MAGODORO NA MASHUKA SHULE YA SEKONDARI MLALE...

 Meneja Mahusiano wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Bi. Noves Moses  akimkabidhi msaada wa magodoro na mashuka Mbunge wa Jimbo la Ileje Mkoani Songwe Janeth Mbene (wapili kushoto) wenye thamani ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIBUDA AWAGEUZIA KIBAO VYAMA VYA SIASA KUHUSU LUGHA WANAZOTUMIA KUMSHAURI RAIS

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii *Awaambia zama zimebadilika …hii ni Awamu ya TanoMWENYEKITI wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini John Shibuda amewashauri viongozi wa vyama vya siasa kuwa makini na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

'WANAUME KUOGOPA KUPIMA TEZI DUME KISA AIBU NI UJINGA' HAYA YABAINIKA...

NA. GSENGOtVKukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku, Kushindwa kuzuia mkojo, yaani ukichelewa kidogo unaweza kukutoka bila breki, Maumivu wakati wa kukojoa, Kuishiwa nguvu za kiume, Kupungua kwa...

View Article
Browsing all 110202 articles
Browse latest View live




Latest Images