Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110173 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MECHI YA NIGERIA, ARGENTINA KUAMUA NANI KATI YAO KUSONGA MBELE KOMBE LA DUNIA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii KIKOSI cha timu ya Nigeria kitakuwa na kibarua kizito dhidi ya timu ya Argentina ambapo mchezo wao mwisho wa makundi utakuwa wa kuamua nani aende hatua...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BENGENI JIJINI DODOMA

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwanamuziki Mkongwe Mzee Makassy  na wasanii wenzake katika Viwanja vya Bunge , Juni 25/2018 .Kulia ni Mbunge wa Viti maalumu Martha Mlata Waziri Mkuu...

View Article

HAKI ELIMU YAIPONGEZA SERIKALI KATIKA MPANGO WA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

View Article

VOA Swahili: Zulia Jekundu June 22th 2018

View Article

HABARI ZA UMOJA WA MATAIFA KUTOKA NEW YORK

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MAREHEMU AMINA CHIFUPA MIAKA 11 BAADAYE

"Habari zilizopatikana na kuthibitishwa na mume wake Mohamed Mpakanjia zinasema kwamba Mhe. Amina  Chifupa- Mpakanjia ambaye alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Jeshi ya Lugalo jijini Dar es Salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Dkt. Asha Rose Migiro azindua Jumuiya Kuu ya Watanzania nchini...

 Jumamosi tarehe 23 Juni, 2018 Mhe. Asha-Rose Migiro, Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za uzinduzi wa Jumuiya Mwamvuli ya Watanzania waishio nchini Uingereza na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EXIM BANK TANZANIA LIMITED KUTUNISHA MFUKO WA MIKOPO KWA SME HAPA NCHINI

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Exim Tanzania, Bw Jaffari Matundu akipeana mkono na Marleen Jansen, Afisa Mkuu wa Uwekezaji, wa benki ya Maendeleo ya Uholanzi – FMO baada ya kusaini mkataba wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKULIMA WAFURAHIA MFUMO ,UFUTA KUUZWATSH. 2815 KWA KILO

Na Ally Ruambo, Kilwa MasokoWakulima wa zao la ufuta Wilayani Kilwa wameipongeza Halmashauri ya Wilaya Kilwa na Mkoa wa Lindi kwa ujumla kwa kuanzisha mfumo mpya wa Mnada katika ununuzi wa zao hilo....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

mkutano wa 15 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Uchukuzi, Mawasiliano na...

Mkutano huu unaofanyika kila mwaka, mwaka huu pamoja na mambo mengine utapokea na kujadili taarifa za utelelezaji wa mapendekezo, maagizo na maamuzi mbalimbali yaliyofikiwa na kuamuliwa katika mikutano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK. SHEIN AZINDUZIA MFUMO WA USAJILI WA MTANDAO WA KOMPYUTA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa Mfumo wa Usajili kwa kutimia Mtandao wa Kompyuta kwa taasisi za Biashara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CERA YAJA NA BIDHAA BORA ZA KUPENDEZESHA NYUMBA

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii  ya mafundi ujenzi 800 wa jijini Dar es Salaam wamepatiwa mafunzo maalum yakuwajengea uwezo wa kujua namna sahihi ya kufunga na kutumia vifaa vya kisasa vya ujenzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UGENI KUTOKA MTANDAO WA MASHIRIKA YA...

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mwakilishi Mkazi wa Mtandao wa Mashirika ya Maendeleo ya Agha Khan Tanzania, Balozi Amin Kurji alipomtembelea leo tarehe 25 Juni, 2018 Ofisini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATOA TAADHARI KWA WANANCHI JUU YA UWEPO WA UGONJWA WA CHIKUNGUNYA...

Na WAMJW - DSMSerikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa tahadhari kwa wananchi juu ya kuingia kwa ugonjwa wa Chikungunya nchini baada ya watu wanne waliotokea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dot TZ registry (TZNIC) yadhamini mkutano wa ICT Arusha

Mhandisi wa Mifumo ya dot TZ kutoka Tanzania Network Information Centre (TZNIC), Bw. Raymond Linus akiongea na wataalamu wa ICT na waandishi wa habari kuhusu umuhimu wa kuwa na kikoa cha .tz (.tz...

View Article


BBC DIRA YA DUNIA JUMATATU 25.06.2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZTEI YA LEO JUMANNE JUNI 26, 2018

Kusoma zaidi BOFYA HAPA

View Article


SERIKALI YATOA UFAFANUZI SAKATA LA KOROSHO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA FEDHA ATOA WITO KWA HALMASHAURI ZOTE NCHINI.

Na Shushu Joel, SimiyuNAIBU waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji ametoa wito kwa Halamshauri zote nchini kubuni miradi ya kimkakati ya itakayoziongezea mapato badala ya kuendelea kutegemea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WAIPIGIA MAGOTI SERIKALI KUTAFUTA UFUMBUZI WA MGOGORO ULIODUMU KWA...

Na Frankius Cleophace, TarimeWANANCHI wa Kijiji cha Kebweye katika Kata ya Nyakonga wamewatupia lawama wananchi wa Kijiji cha Kyoruba kata ya Pemba kwa madai kuwa wamevamia eneo lililodaiwa kuwa na...

View Article
Browsing all 110173 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>