Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110025 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VYUO MBALIMBALI HAPA NCHINI VYATAKIWA KUHAMASISHA WATOTO WA KIKE KUPENDA...

Na Pamela Mollel,ArushaVyuo mbalimbali nchini vimetakiwa kuhamasisha wanafunzi wa kike kupenda kusoma masomo ya sayansi kuanzia ngazi za chini ili kuondoa changamoto ya uhaba wa wanasayansi wa kike...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI UMMY ATEMBELEA TAASISI YA SARATANI YA OCEAN ROAD,AWATAKA WAKAMILISHE...

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe.Ummy Mwalimu (Mb), amefanya ziara ya kikazi katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road ili kukagua utoaji wa huduma za Matibabu katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AONGOZA MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA KUPAMBANA NA DAWA ZA...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipeperusha bendera aliyokabidhiwa na wananchi waliofanya matembezi ya kutoa elimu kwa wananchi yaliyofanyika kwa siku tatu mkoani Iringa wakati wa maadhimisho ya kitaifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI URUSI WATOA SOMO KWA WAMILIKI WA KAMPUNI YA UTALII...

BALOZI wa Tanzania nchini Urusi, Meja Jenerali Simon Mumwi leo ameendesha semina kwa wamiliki wa kampuni za uandazi wa ziara za  watalii (Tour Operators) jijini Moscow ili kuwapa ufahamu wa vivutio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFISI YA ROCK CITY MARATHON MWANZA YAZINDULIWA

Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Bi. Merry Tesha (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ofisi ya Kanda ya Ziwa ya mbio za Rock City Marathon zilizopo kwenye la jengo la Rock City Mall jijini Mwanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uwezo wa Wataalam Kupandikiza Figo Waimarishwa Muhimbili

Katika kipindi cha miezi minane Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefanikiwa kupandikiza figo wagonjwa 10 kwa mafanikio makubwa ambapo katika kambi ya tatu ya upandikizaji figo, upasuaji umefanywa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MNADHIMU MKUU JWTZ AWAONYA ASKARI WAPYA KUTOJIINGIZA KATIKA SIASA

MNADHIMU Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Yacoub Mohamed amewaonya askari wapya wa jeshi hilo kutojiingiza katika masuala ya siasa.Aidha hakusita kuwapa tahadhari zaidi kwamba atakayebainika atachuliwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI IMETOA MAFUNZO MAALUM KWA WAHANDISHI

Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imetoa Mafunzo maalum kwa wahandisi watakaosimamia ujenzi wa miundombinu ya umwagiliaji kwenye skimu kumi na sita(16) zitakazojengwa mwaka ujao wa fedha, 2018/2019 kutoka...

View Article


MISS MBEYA YARUDI KIVINGINE.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC TABORA AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA KWA WATENDAJI WALIOSABABISHA KUWEPO HOJA...

NA TIGANYA VINCENT,RS TABORAMkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ameuagiza Katibu Tawala Mkoa (RAS) kuwachukuliwa hatua Wakuu wa Idara wote waliosababisha kuibuka kwa hoja za ukaguzi wa Hesabu za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UGENI KUTOKA LIWALE MKOANI LINDI

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akisalimiana na Mbunge wa Liwale Mhe. Zuberi kuchauka (kulia) na Ndg. Jivunie Mbunda (aliebebwa) ambae ni mlemavu wa kimo kutoka Liwale Mkoani Lindi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEDDIE KAGERE ATUA SIMBA KWA DAU LA MILIONI 120

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Mabingwa wa ligi kuu Tanzania BaraKlabu ya Simba imefanikiwa kunasa saini ya mshambuliaji wa Gor Mahia FC Meddie Kagere kwa donge nono kuja kuwatumikia wanamsimbazi hao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. KIGWANGALLA AFUNGUA WARSHA YA KITAIFA YA WADAU WANAOPINGA VITENDO VYA...

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akifungua warsha ya siku moja ya wadau wa kitaifa wa kupinga vitendo vya uhalifu dhidi ya wanyamapori na misitu nchini jijini Dodoma leo Juni 26,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU MILIONI 125 WAKO HATARINI KUATHIRIWA NA KEMIKALI AINA YA ‘ASBESTOS”

Na EmanuelMadafa,Mbeya.Imeelezwa kuwa watu wapatao milioni 270 wanahusika na ajali za kemikali maeneo ya kazi na watu milioni 160 wanasumbuliwa na magonjwa yanayotokana na madhara ya kemikali Duniani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI MIGIRO AZINDUA RASMI JUMUIYA YA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA-ATUK

Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Dkt. Asha-Rose Migiro,  alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za uzinduzi wa Jumuiya Mwamvuli ya Watanzania waishio nchini Uingereza na Ireland ya Kaskazini iitwayo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DOKTA PHILIP MPANGO AHITIMISHA MJADALA WA BAJETI BUNGENI JIJINI DODOMA

 Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akihitimisha hoja ya mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka 2018/19, Bungeni, Dodoma, ambapo ameahidi kusimamia mapato na matumizi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTANZANIA ANAYEISHI UJERUMANI AANDAA MAFUNZO YA DANSI IJUMAA HII

Na Zainab Nyamka,Globu ya Jamii.Watanzania wenye vipaji wametakiwa kutumia fursa mbalimbali zinazojitokeza na wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika mafunzo ya kucheza yatakayoendeshwa na Mtanzania...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA ZISIPOKOMESHWA ATHARI KUBWA KUONGEZEKA

Biashara ya dawa za kulevya zisipokomeshwa na kuachwa ikaendelea nchini, athari zaidi  ikiwemo kuingiliwa kwa misingi ya kiutawala na wafanyabiashara wa dawa hizo kwa manufaa yao wao wenyewe binafsi...

View Article

BBC DIRA YA DUNIA JUMANNE 26.06.2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bilioni 77 za Mradi wa Tscp zatekeleza Agizo Rais JPM Jijini Dodoma.

Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI.  Mradi wa Mpango Miji Mkakati ‘Tanzania Strategic Cities Project’ maarufu kama Tscp unaosimamiwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI umetekeleza Agizo la Rais Dkt. John Pombe...

View Article
Browsing all 110025 articles
Browse latest View live




Latest Images