Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TOC FC MABINGWA WAPYA LIGI YA AWESO CUP 2018 PANGANI

TIMU ya TOC FC juzi walitawazwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi ya wilaya ya Pangani maarufu kama Aweso Cup baada ya kuifunga Ushirika FC mabao 4-3 kwenye mchezo wa fainali uliochezwa kwenye viwanja vya...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YAWEKA MSIMAMO MKALI KWENYE ITIFAKI YA UTALII NA USIMAMIZI WA...

Na Hamza Temba-ArushaItifaki ya Utalii na Usimamizi wa Wanyamapori katika Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC) imezua mjadala mzito na mabishano makali katika Mkutano wa Nane wa Kisekta wa Baraza la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AWAPIGA MSASA ARU KUHUSU WAJIBU WA KUTOA TAARIFA KWA...

MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Evaristo Liwa akizungumza machache wakati wa ufunguzi wa semina ya viongozi na wafanyakazi wa ARU iliyoendeshwa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI MAVUNDE ABARIKI SAFARI YA WAPANDAJI WA MLIMA KILIMANJARO KUTOKA...

ZAIDI ya Sh Bilioni 20 zimekusanywa kutoka kwa mashirika 40 yasiyo ya kiserikali pamoja na taasisi mbalimbali za serikali kwa ajili ya kusaidia katika kampeni za kupambana dhidi ya Virusi vya Ukimwi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWALIM COMMERCIAL BANK Plc YATANUA WIGO KWA KUZINDUA HUDUMA YA MWALIMU BANK...

BENKI ya Mwalimu Commercial Bank Plc (MCB) imetanua wigo wake kwa kuzindua huduma ya Mwalimu Bank Wakala itakayowawezesha Watanzania na wateja wa benki hiyo kupata huduma za benki hiyo kuwa karibu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAMUZIKI WA INJILI WAWASHA MOTO IBADANI JIJINI DODOMA

Na Dotto Mwaibale, Dodoma.WAIMBAJI wa Nyimbo za injili ambao ni wanachama wa Umoja wa Muziki Tanzania (TAMUFO), leo wameshiriki ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu Anglikana Jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI ATAKA WANAO HUJUMU SHIRIKA LA RELI WACHUKULIWE HATUA

Na EmanuelMadafa,MbeyaNaibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye amewaagiza askari polisi kitengo cha reli kuwakamata watu wanaotuhumiwa kupiga mawe treni pindi zinapopita...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PANAMA YACHEZEA KICHAPO CHA MABAO 6-1 KUTOKA KWA ENGLAND, SENEGAL NA JAPANA...

Na Ripota Wetu,Globu ya jamiiMICHUANO ya Kombe la Dunia imeendelea tena leo nchini Urusi huku Timu ya Taifa England ikiishushia kichapo Timu ya Taifa ya Panama mabao 6-1 huku Senegela na Japan wakitoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dawa za kulevya kilo 38 zaangamizwa

Na Miza Kona, Maelezo-Zanzibar Kamati ya Kuangamiza Dawa za kulevya Zanzibar, imeangamiza kilo 38 za mihadarati aina heroini na vidonge vya valium ambazo zilikamatwa kuanzia mwaka 2010.Zoezi la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YAZUNGUMZIA MIKAKATI YA SERIKALI KUANDAA MAZINGIRA...

Na Emmanuel Masaka,Globu ya jamiiNAIBU Waziri wa Mfugo na Uvuvi atembelea shamba la AKM Glitters Company Ltd lililopo Dar es salaam eneo la Mbopo na Mbezi Beach, ambapo lengo la ziara yake ni kuangalia...

View Article

Uzinduzi wa huduma bandari ya Mwanza Kusini hadi Portbell Uganda

View Article

CCM YENDESHA MAFUNZO YA KIMKAKATI ZANZIBAR

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASHINDI 10 WA PROMOSHENI YA BIA YA KILIMANJARO WAONDOKA DAR KWENDA URUSI...

 Bia rasmi ya Tanzania katika msimu huu wa kombe la dunia ya Kilimanjaro Lager,ya kampuni ya TBL,imefanikisha ndoto za watanzania 10,ambao wamejishindia safari ya kugharamiwa safari ya kwenda nchini...

View Article


VOA Swahili: Ronaldo Vs Messi, Russia 2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Utafiti wa miaka 6 wa uwezeshaji kiuchumi kama sehemu ya uzazi wa mpango...

Na Mwandishi wetuTAASISI ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF) kwa kushirikiana na Shule ya Uchumi ya Norway (NHH) umekamilisha utafiti uliochukua miaka sita uliopelemba kama uwezeshaji wasichana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MAREHEMU AMINA CHIFUPA MIAKA 11 BAADAYE

"Habari zilizopatikana na kuthibitishwa na mume wake Mohamed Mpakanjia zinasema kwamba Mhe. Amina  Chifupa- Mpakanjia ambaye alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Jeshi ya Lugalo jijini Dar es Salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Senior Government Officials from Six African Countries to participate in the...

25 June, 2018Zanzibar – The Chief Secretary of the Revolutionary Government of Zanzibar, Dr. Abdulhamid Yahya Mzee will officiate a six-day regional negotiation skills training for 35 senior Government...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBL kuiona Liverpool live EPL baada ya kutwaa kombe la Standard Chartered 2018

Na Mwandishi wetuTimu ya soka ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imetwaa kombe la benki ya Standard Chartered baada ya kuitandika kwa mikwaju ya penalti  2-1 timu ya Mwananchi Communications Limited .Kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATATU JUNI 25, 2018

Kusoma zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA MBALIMBALI ZA WASHABIKI KATIKA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA NCHINI URUSI

 Mwanalibeneke wa Globu ya Jamii na Mtaa kwa Mtaa, Othmna Michuzi akiwa pamoja na baadhi ya mashabiki wa timu ya Mexico na Urusi, wakati wakiwa kwenye treni kuelekea kwenye uwanja wa Spartak, uliopo...

View Article
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live




Latest Images