Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110089 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPOGORO AWATUNUKU VYETI WAHITIMU 281 SENETI YA VYUO NA VYUO VIKUU NA KUVUNA...

Naibu katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg.Rodrick Mpogolo akimkabidhi cheti cha pongezi Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi ndg.Kenani kiongosi katika sherehe ya Mahafali ya Seneti ya Vyuo na...

View Article



SIKU YA WAJANE DUNIANI 2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sami aridhishwa na vipaji ataka juhudi zaidi za kujituma kwa wachezaji binafsi

Na mwandishi wetuVETERANI wa timu ya soka ya Uingereza ya Liverpool, Sami Hyypia amewataka vijana Watanzania kuongeza bidii katika kuhakikisha kwamba wanafikia hatua za juu za uchezaji soka hivyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MITANDAO ISITUMIKE KUKWAMISHA SHUGHULI ZA SERIKALI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza mifumo ya utoaji huduma Serikali kwa njia ya mitandao isitumike kukwamisha shughuli za Serikali au mipango ya utoaji huduma kwa wananchi.Amesema watakaobainika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZFDA WATEKETEZA TANI 20 ZA MAZIWA YALIYOHARIBIKA

Na Ramadhani Ali – Maelezo Zanzibar 23.6.2018Wakala wa Chakula Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDA) imewakumbusha Wafanyabiashara wanaoingiza bidhaa za Chakula kutoka nje kuhakikisha wanafuata miongozo,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI AONGOZA HAFLA YA UZINDUZI MAALUM YA UJENZI WA VYOO BORA KWA...

pika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na wageni waalikwa waliofika katika uzinduzi wa hafla Maalum ya Ujenzi wa Vyoo Bora kwa Maendeleo ya Mtoto wa kike nchini ya Kuchangisha fedha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASILIMIA 7 HADI 16 YA WANAWAKE WOTE DUNIANI NI WAJANE

Na Anthony Ishengoma WAMJW.Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Umoja wa Mataifa unaonesha kuwa kati ya asilimia 7 na 16 ya wanawake wote duniani ni Wajane.  Jamii imetakiwa kuendeleza mipango na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO KATIKA PICHA MATEMBEZI YA SIKOSELI VIWANJA VYA MWEMBAYANGA

Picha ya pamoja ikiongozwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiwa na watoto wenye sikoseli baada ya matembezi yaliyofanyika mapema leo katika viwanja vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE KWA KUSHIRIKIANA NA WAUME ZENU ANDIKENI WOSIA KABLA MAUTI HAIJAWAKUTA

Na.Vero Ignatus Arusha.Imeelezwa kuwa kuandaa wosia mapema kabla ya kifo inasaidia kuepuka mogogoro ya mirathi ambayo imekuwa ikiwakumba wajane.Hayo yamesemwa na Naibu meya wa jiji la Arusha Viola...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASHINDI WA KAMPENI YA MATUMIZI YA "TEMBOCARDVISA" WA BENKI YA CRDB WAUNGANA...

 Washindi wa Promosheni ya Shuhudia Kombe la Dunia na TemboCardVisa ya Benki ya CRDB, Nuru Nassor Kisome (katikati) na Danford Martin Muyango (wa pili kulia) wakiwa na washabiki wa timu ya Mexico...

View Article

MICHUZI TV KATIKA KOMBE LA DUNIA JIJINI MOSCOW: SHANGWE ZA MASHABIKI KUELEKEA...

View Article

MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA DUNIANI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKONDA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA AFRICANA KINZUDI

Na Emmanuel Masala, Globu ya jamii MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameweka jiwe la msingi kuashiria kuanza kwa ujenzi wa Barabara ya Africana Kinzudi yenye urefu wa kilometer 3.3 ambayo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JUNI 24, 2018

Kusoma zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI SHONZA AZINDUA ONESHO LA ADORABLE WEDDING TRADE FAIR 2018 JIJINI...

Uzinduzi rasmi wa onesho la Adorableweddingtradefair2018  umefanyika  jana jumamosi ndani ya ukumbi wa King Solomon,Namanga jijini  Dar,ambapo Mgeni rasmi alikuwa  ni Naibu waziri wa Habari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI AONGOZA HARAMBEE YA UZINDUZI MAALUM YA UJENZI WA VYOO BORA KWA...

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na wageni waalikwa waliofika katika uzinduzi wa hafla Maalum ya Ujenzi wa Vyoo Bora kwa Maendeleo ya Mtoto wa kike nchini ya Kuchangisha fedha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA MTAA MJINI TARIME AVAMIWA,APIGWA MAPANGA, APORWA FEDHA

Na Frankius Cleophace TarimeMWENYEKITI wa Mtaa wa Mtaa wa Bugosi Kata ya Nyamisangura Mjini Tarime mkoani Mara Zacharia Ghati amevamiwa akiwa njiani na watu wanaodhaniwa kuwa vibaka na kumshambulia kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Prof. Kamuzora Akagua Ujenzi wa chumba kitakacho toa huduma za Mfumo...

 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu) akiweka saini kwenye kitabu cha wageni wakati wa ziara fupi kukagua ujenzi wa chumba kitakachokuwa kinatoa huduma za Mfumo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA TANZANIA NCHINI AFRIKA KUSINI AKUTANISHA WATANZANIA WAISHIO HUKO,...

Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Mhe. Sylvester Mwakinyuke Ambokile Jumamosi Juni 23, 2018 amekutana na kufanya mazungumzo na Watanzania wanaoishi nchini humo, na kuwaongoza katika kuunda umoja...

View Article

MICHUZI TV: WATANZANIA WATAKIWA KUTOBAKI NYUMA KUSHUHUDIA MICHUANO YA KOMBE...

View Article
Browsing all 110089 articles
Browse latest View live




Latest Images