Waziri Dkt. Augustine Mahiga ziarani Norway
Mhe. Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, akipokea taarifa ya kazi kutoka kwa Balozi wa Tanzania nchini Norway mwenye makazi yake Stockholm Sweden, Mhe....
View ArticleIN LOVING MEMORY OF THE LATE MZEE MATTHEW GORDON KAYUZA
It is exactly one year today since the morning of 21st of June 2017 when you were called by God to depart from this world at The H.H. Agakhan Hospital, Dar Es Salaam. To us (your wife, Children and...
View ArticleMTAZAMO WA WADAU KUHUSIANA NA Infinix HOT 6
Baada ya ujio wa Infinix HOT 6 na kufanya vizuri sokoni kutoka na muonekano na uwezo wake lakini pia wadau wameweza kuongelea upande wake wa pili na kuweza kuyawasilisha kama ifuatavyo. Infinix HOT 6...
View ArticlePASS YATAMBULISHA FURSA MPYA YA MIKOPO KWA WADAU WA SEKTA YA KILIMO NCHINI.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii .Taasisi ya kusaidia sekta binafsi ya kilimo nchini (PASS) imeingia makubaliano na Mfuko wa uwekezaji wa biashara na kilimo Afrika (AATIF) kusaidia wadau wa sekta ya...
View ArticleWAZEE WA MILA MARA WAENDELEA KUPINGA UKEKETAJI KWA MTOTO WA KIKE.
Na Frankius Cleophace, BUTIAMAWazee wa Mila Muungano wa koo 12 kabila la Wakurya kwa kushirikiana na Shirika la ATFGM Masanga Tarime, wameendelea kutoa Elimu ya Kupinga suala la Ukeketaji kwa Mtoto wa...
View ArticleMMILIKI WA IPTL ARUHUSIWA KUZUNGUMZA NA MKEWE MAHAKAMANI
Na Karama Kenyunko, Globu ya jamiiMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeruhusu mmiliki wa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL, Harbinder Seth kuongea na mke wake mahakamani hapo baada ya kutukumuona kwa muda...
View ArticleWAZIRI WA FEDHA AWASILISHA BAJETI YA SERIKALI YA ZANZIBAR
Waziri wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Khalid Salum Mohammed akionesha mkoba wenye Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/2019 wakati alipowasili katika viwanja vya...
View ArticleWAKIMBIZI KIGOMA WAMETAKIWA KUREJEA KATIKA NCHI ZAO
Na Rhoda Ezekiel Kigoma.WAKIMBIZI mkoani Kigoma wametakiwa kurejea nchini kwao, ili waanze kujishughulisha na masuala ya maendeleo kwani kwa sasa nchi zao ziko salama na amani imerejea.Hayo yamesemwa...
View ArticleNAIBU WAZIRI NDITIYE AITAKA TAA KULIPA FIDIA
Mkurugenzi Uendelezaji Miliki wa Shirika la Nyumba (NHC), Hakimeni Mlekio, akieleza hatua ya upanuzi wa jengo la abiria katika kiwanja cha ndege cha Dodoma kwa Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano,...
View ArticleWashiriki Washinda Vikombe, Fedha Maonesho ya Utumishi wa Umma Muhimbili
Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Charles Majinge akikabidhi zawadi ya kikombe kwa Idara ya upasuaji ambayo imekuwa mshindi wa kwanza kwenye Maonesho ya Wiki ya Utumishi...
View ArticleWAGONJWA 11 KATI YA 20 WAFANYIWA UPASUAJI WA MOYO KATIKA TAASISI YA MOYO...
Jumla ya wagonjwa 11 wamefanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua katika kambi maalum ya matibabu ya moyo ya siku sita inayofanywa na madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu wa...
View ArticleUSAID and Coca-Cola Partner to Improve Water Access for 70,000 Tanzanians
*Rural Water System to benefit remote areas through solar-powered projectThe United States Agency for International Development (USAID) and The Coca Cola Foundation (TCCF), through their Water and...
View ArticleVeteran wa Liverpool atua Dar kwa mwaliko wa Standard Chartered
Na Mwandishi WetuSami Hyypia veteran wa timu ya Liverpool yupo nchini kwa mwaliko wa benki ya Standard Chartered.Mchezaji huyo mwenye haiba ya aina yake aliwasili nchini Jumanne, kuhudhuria michuano ya...
View ArticleMKAPA AVUNJA UKIMYA WANAOSUBIRI KUMWAGIWA FEDHA KWA AJILI YA MAENDELEO
*Asema heshima ya nchi ni kujitegemeaNa Said Mwishehe,Globu ya jamiiRAIS Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa amesema hakuna Mtu wa kutumwagia fedha kwa ajili ya maendeleo yetu, bali...
View Article'KUNA ONGEZEKO KUBWA LA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA'
Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiSERIKALI imesema kumekuwa na ongezeko kubwa la magonjwa yasiyoambukiza kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni hali inayotishia afya ya mama na mtoto wakati wa kijifungua...
View ArticleNSSF YAVUNA WANACHAMA ELFU80 KAMPENI YA 'ZAMU YAKO'
KAMPENI ya kitaifa ya kuhamasisha watu binafsi pamoja na walioko kwenye sekta isiyorasmi kujiunga na mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF) ya 'zamu yako', imeanza kutoa matokeo chanya baada ya zaidi ya watu...
View Article
More Pages to Explore .....