Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110171 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DONGOBESH FC YANYAKUWA UBINGWA WA KURUGENZI CUP 2018 MBULU DHIDI YA REMA 1000 FC

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi akimkabidhi kombe kapteni wa timu ya Dongobesh FC ya Dongobesh Iddi Podoksi mara baada ya timu hiyo kuibuka na ushindi wa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI MAVUNDE APONGEZA MIPANGO YA MJASARIAMALI KIJANA BI HADIJA JABIR...

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi ,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa GBRI Co. Ltd Bi Hadija Jabiri kwa mafanikio makubwa aliyopata kupitia kilimo cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UFALME WA UINGEREZA UMEINGILIWA?

Francis Daudi, Melukote Town!Jana dunia ilisimama kupisha ndoa ya kifalme, Mwana Mfalme Henry Charles Albert David ‘Prince Harry’ mwenye miaka 33 alimuoa mwigizaji wa Marekani, Bi Meghan Markle mwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA CHINA ATETA NA DK MENGI, AAHIDI KUSAIDIA MABADILIKO

CHINA imetaka watanzania kutumia fursa ya kuwa na maji mengi na ardhi ya kutosha kufanya shughuli za kilimo na kuzalisha mazao mengi ambayo wanaweza kuyauza nchini humo na pia kuyatumia kama malighafi...

View Article

IBADA YA KUMTAWAZA ASKOFU DKT. MAIMBO .W. MNDOLWA KUWA ASKOFU MKUU WA KANISA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASAIDIZI WA MAKAMU WA RAIS WATOA FUTARI KWA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA...

Wasaidizi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wametoa futari kwa kituo cha watoto Yatima cha Rahman kilichopo Chang’ombe Dodoma. Kituo hicho chenye watoto 120 ambao kati ya hao 75 ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANDISHI MATHIAS CANAL APEWA TUZO YA HESHIMA NA ASASI YA WAZALENDO NA...

Mwandishi wa habari na mchambuzi wa mambo mbalimbali nchini Tanzania Ndg Mathias Canal (Kushoto) akikabidhiwa tuzo ya cheti cha heshima kwa mchango wa utendaji katika jamii na Ndg Mohamed shabani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri afanya ziara kiwanda cha HUACHENG kinachojihusisha na uchinjaji...

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Kangi Lugola ametoa muda wa miezi sita kwa kiwanda cha HUACHENG kinachojihusisha na uchinjaji na usafirishaji wa nyama ya Punda Mkoni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBUKUMBU

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

REHEMA FOUNDATION YAKABIDHI MRADI WA MAJI SHULE YA SEKONDARI ZOGOWALE

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Zogowale ,mjini Kibaha Mkoani Pwani ,wakishangilia kupata huduma ya maji shuleni hapo ,baada ya kujengewa kisima cha kupampu kilichogharimu zaidi ya sh.mil.11...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT KALEMANI AZINDUA USAMBAZAJI WA GESI ASILIA MAJUMBANI

Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kisare Matiku Makori wakiwasha jiko lililofungwa gesi asilia tayari kwa matumizi ya nyumbani katika eneo la Mikocheni mtaa wa TPDC...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taasisi ya Mo Dewji yatoa msaada kwa watoto wenye saratani

Taasisi ya Mo Dewji imetoa msaada kwa watoto wanaopatiwa matibabu ya magonjwa ya saratani katika kituo cha Tumaini la Maisha katika hospitali ya Taifa Muhimbili, Jijini Dar es Salaam. Msaada ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CANADA, CUBA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Balozi Mpya   wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Canada pia akiiwakilisha...

View Article


LIVE BUNGENI: WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, MHE. DKT. HAMISI KIGWANGALLA...

View Article

SERIKALI HAITAJIUSISHA NA UPANGAJI WA ADA KWA SHULE BINAFSI-NAIBU WAZIRI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU, MHE. JAJI WARIOBA...

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Jaji. Joseph Sinde Warioba (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOZAMBIQUE AND GREAT LAKES AFRICA ENERGY SIGN MoU FOR POWER GENERATION

The Government of Mozambique has signed a Memorandum of Understanding (MoU) with Great Lakes Africa Energy (GLAE) to generate electric power using natural gas for domestic use at an estimated value of...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA MRADI WA UUNGANISHWAJI WA UMEME WA GRIDI YA...

WAZIRI Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amewahakikishia watanzania wote kuwa Serikali itafikisha umeme kila kona na kila kijiji.Waziri Mkuu aliyasema hayo mara baada ya kuzindua mradi wa uunganishwaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha thelathini na tatu cha mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma. Naibu Waziri-TAMISEMI Mhe.Josephat...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAHIMIZA HALMASHAURI KUBUNI MIRADI YA KIMKAKATI ILI KUJIONGEZEA MAPATO

Serikali imeeleza kuwa Uchukuaji wa baadhi ya vyanzo vya mapato katika halmashauri ulifanyika kwa mujibu wa Sheria ya Bajeti iliyoridhiwa na Bunge ya mwaka 2015 kifungu namba 58 ikiwa na lengo la...

View Article
Browsing all 110171 articles
Browse latest View live




Latest Images