Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA MKUU WA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM)

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Prof. Tadeo Satta (katikati) alieongozana na Dkt. Kadida Mashaushi (kulia) tarehe 17 Aprili, 2018...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASAUNI AWATAKA WANANCHI KUWEKA FEDHA BENKI, AZIOMBA TAASISI ZA KIFEDHA ZA...

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika Mkutano wa Tano wa Taasisi za Fedha za Kiislamu Afrika uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Kilimanjaro...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKE WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI AFARIKI DUNIA

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiBARBARA Bush mke wa Rais wa 41 wa Marekani George Herbert Bush na mama wa George W. Bush Rais wa 43 wa Marekani amefariki dunia jana April 17 akiwa na miaka 92, ofisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS MHE SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA WATANZANIA NA WAINGEREZA...

Picha na Habari za Freddy Macha Ulikuwa mkutano mfupi uliokusudia kutoa shukrani kwa wafadhili na Watanzania London wanaosaidia nyumbani. Fadhila hupitia Jumuiya ya Waingereza na Watanzania  (BTS) na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA AMKA KIJANA, TUIJENGE IRINGA YETU LAFANA MJINI IRINGA

Mkuu wa wilaya ya Iringa Mhe. Richard Kasesela akimtambulisha mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Amina Masenza (mwenye ushungi) huku mwenyekiti wa Uzalendo Kwanza, Steve Nyerere akifuatilia kwa karibu wakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya Azania yaahidi kusaidia kutimia uchumi wa viwanda

Na Mwandishi Wetu, DarBENKI ya Azania imeahidi kushirikiana na Serikali ya Awamu ya Tano katika kuhakikisha uchumi wa viwanda unafanikiwa kwa kuwezesha wajasiriamali wadogo na wakubwa kutimiza malengo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CRDB Bank kupeleka wateja wake 24 kushuhudia fainali za kombe la Dunia, Urusi

Benki ya CRDB leo imetangaza kuanza rasmi kwa kampeni ijulikanayo kama “Furahia kandanda murua nchini Urusi” #TwenzetuRussia, itakayowawezesha watumiaji wa kadi za malipo za TemboCard Visa za Benki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RUVU SHOOTING WAAHIDI KUMPAPASA KILA ATAKAYEKUJA MBELE YAO

Na Zainab Nyamka,Globu ya jamiiBAADA ya ushindi mfululizo wa kikosi cha Ruvu Shooting na kuanza kujikita katika nafasi za juu, Msemaji wa klabu hiyo Masau Bwire ameweka wazi huo ni mwanzo tu kwani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA WANAWAKE WA COMMONWELTH MJINI LONDON

Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano jana jioni alikuwa ni miongoni mwa Jopo lililojadili kuhusu sera za kumwinua mwanamke kiuchumi wakati wa mkutano wa Jukwaa la Wanawake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI MARUFUKU KURUKA NYUMBA WAKATI WA KUWAUNGANISHIA UMEME WA REA WANANCHI-...

-Wekeni hata kwenye nyumba za nyasiNa  Tiganya VincentSERIKALI imesema ni marufuku kwa Wakandarasi na Wataalamu kuruka nyumba wakati wa uunganishaji wa umeme kwa wananchi kupitia  Mradi kabambe wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA ZA MICHEZO KUTOKA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF).

KUZIONA SIMBA SIMBA NA YANGA ELFU 7Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara(VPL) msimu wa 2017/2018 kati ya Simba na Yanga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ikulu yaiadhibu RAS Iringa kwa kuwachapa magoli 49-8

Na Bahati Mollel-TAA, IringaTIMU ya Ofisi ya Rais Ikulu imewachapa bila huruma wenyeji RAS Iringa kwa kuwafunga magoli 49-8 katika mchezo wa netiboli wa michuano ya Kombe la Mei Mosi uliofanyika kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA...

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji (MB) akimsikiliza Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM),  Prof. Tadeo Satta pamoja na Uongozi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM)(haupo pichani)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKOSI KAMILI CHA YANGA DHIDI YA WELAYTA DICHA

KIKOSI cha Yanga kinashuka leo dimbani katika mchezo wa kombe la Shirikisho barani Afrika wakiwa ugenini dhidi ya timu ya Welayta Dicha kutoka Ethiopia.Yanga inayoshuka dimbani wakiwa na ushindi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPRU YAPATA MTENDAJI MPYA

Na John Mapepele, DodomaWaziri wa Mifugo na Uvuvi, Mheshimiwa Luhaga Joelson Mpina amemteua John David Komakoma kukaimu nafasi ya Mtendaji Mkuu wa Hifadhi ya Bahari na Maeneo Tengefu nchini (MPRU)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA KIMATAIFA LA WATER MISSION TANZANIA LAFANIKISHA MRADI WA MAJI SAFI...

Kiongozi wa mbio za mwenge,Charles Kabeho akifungua bomba kuashiria uzinduzi wa mradi wa maji wa Kasanda iliofadhiliwa na Water Mission Tanzania.  Shamrashamra za uzinduzi wa mradi Kiongozi wa mbio za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA JUKWAA LA WANAWAKE

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan, jana jioni alikuwa ni miongoni mwa Jopo lililojadili kuhusu sera za kumwinua mwanamke kiuchumi wakati wa mkutano wa Jukwaa la Wanawake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUDUMA ZA MAJI ZAIMARIKA,TEKNOLOJIA KUONDOA MATUMIZI YA MKAA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM WAAMUA KUMJIBU ZITTO KUHUSU TRIL 1.5/- ,WAMTAKA AACHE TABIA YA KUPOTOSHA...

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiCHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kupitia Katibu wake wa Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole kimesema Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe(ACT-Wazalendo) ni mpotoshaji mkubwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI ATOA MKONO WA POLE KWA FAMILIA YA MRISHO GAMBO

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili mtaa wa Muheza Kariakoo jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia ya Mzee Mashaka Gambo kwa kufiwa na mkewe ambaye pia ni...

View Article
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live




Latest Images