Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANISPAA YA UBUNGO YAINGIA MKATABA NA BENKI YA CRDB KUTOA MIKOPO YA VIJANA NA...

 Meya wa Manispaa ya Ubungo,Boniface Jacob akizungumza kabla ya kutiliana Saini Mkataba na Benki ya CRDB Juu ya Mikopo ya kina Mama na Vijana wa Halmashauri ya Ubungo . Meya wa Manispaa ya...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAJESHI JWTZ WATUNUKIWA NISHANI ZA UMOJA WA MATAIFA SUDAN

​Na Luteni Selemani SemunyuAskari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Kikosi cha 11 wametakiwa kujivunia mafanikio yaliyopatikana kufuatia  utumishi wao uliotukuka kwa kipindi cha Mwaka Mmoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Muhimbili Yapandikiza Figo Wagonjwa Wanne

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefanikiwa kupandikizia figo wagonjwa wa nne ikiwa ni mara ya pili kutoa matibabu hayo ya ubingwa wa juu nchini.Upasuaji huo umefanywa na wataalam wa Muhimbili kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STAND UNITED YATAKA FEDHA ZAKE ZILIZOKATWA NA TFF, YATISHIA KUJITOA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Uongozi wa Stand United umetishia kujitoa katika mashindano ya Azam Sports HD Federation Cup baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini TFF kuwakata mapato yao.Hatua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapteni mstaafu George Mkuchika akisisitiza kuhusu sheria inayotumika kutoa likizo kwa watumishi katika sekta ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli amteua Prof. Idris Kikula kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Madini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Idris Suleiman Kikula kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Madini.Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANDISHI WA HABARI PASCAL MAYALA AFIKISHWA MBELE YA KAMATI YA MAADILI YA BUNGE

Mwandishi wa kujitegemea, Ndg. Pascal Mayala (kushoto) akihojiwa na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge mjini Dodoma kwa kuandika habari yenye maudhui ya kudharau Bunge...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF. TIBAIJUKA’S IRRESPONSIBLE REACTION TO THE CURRENT DAR-ES-SALAM FLOOD...

BY MOHAMED MATOPEYesterday, I read an article from a social media site written by former Minister of land and urban development, Mama Professor  Tibaijuka. After going through the article, I was...

View Article


ILI UWE MWALIMU MKUU LAZIMA SHULE YAKO IFAHURISHWE KUANZIA ASILIMIA 60 HADI 90

Katibu tawala mkoa wa Ruvuma HASSAN BENDEYEKO amesema ili mwalimu katika shule husika ateuliwe mkuwa mwalimu mkuu ni lazima awe amefaurisha wanafunzi kwa asilimia 60 hadi 90 hii itasaidi kwa mkoa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Sarah Cooke, ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Aprili 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE NGOMA AFRICA BAND BASED IN GERMANY: MOST INFLUENTIAL BAND OF ALL TIME

    THE NGOMA AFRICA BAND  The Golden Voice of East Africa Soulful Vocals,hypnotic guitars and driving Rhythm of BONGO DANCE ready to Thrill fans at major festivals in GermanyIt's the first African...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI WA TANZANIA VINARA UANDISHI WA INSHA EAC NA SADC.

Wanafunzi wa shule za Sekondari hapa nchini wameibuka washindi wa Tuzo za uandishi wa Insha zinazotolewa na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika ( SADC).Akiongea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Timu ya Tanzania kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola nchini Australia...

 Kiongozi wa Msafara wa wachezaji waliyokwenda katika Mashindano ya Jumuiya ya Madola nchini Australia ambaye Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU MSTAAFU HAZINA RAMADHAN MUSSA KHIJJAH AZIKWA DAR ES SALAAM LEO

KATIBU Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James, ameongoza waombolezaji na baadhi ya watumishi wa Wizara hiyo kumzika Katibu Mkuu Mstaafu na Mlipaji Mkuu wakati wa Serikali ya Awamu ya  Nne,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP akabidhiwa ripoti ya uchunguzi wa kuwekwa mawe na mchanga katika korosho

 Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama akishuhudia Waziri wa Kilimo Dkt. Charles Tizeba akimkabidhi IGP Simon Sirro  ripoti ya uchunguzi wa kuwekwa mawe na mchanga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akktana na Mwenyekiti wa Chama cha Wasioona...

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Wasioona Tanzania (TLB), Robert Bundala, nje ya jengo la utawala bungeni mjini Dodoma  leo Aprili 18, 2018. Wa pili kushoto ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wadau wa dawa na vifaa tiba nchini watakiwa kuchangamkia fursa

Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI.Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Josephat Kandege amewataka wauzaji, waagizaji, wasambazaji na wadau wote wa dawa pamoja na Vifaa Tiba Nchini kuchangamkia fursa...

View Article


WANAFUNZI WA KIKE VAENI MAGAUNI MANNE KWA MPANGILIO ILI MFIKISHE NDOTO ZENU -...

Wanafunzi wakike mkoani Ruvuma wametakiwa kuzingatia masomo yao ipaswavyo kwa kufuata utaratibu wa kuvaa magauni manne ili aweze kufanikisha malengo ya ndoto zao. Hayo yamebainishwa na mkuu wa mkoa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERT: Rais Magufuli amteua Prof. Idris Kikula kuwa Mwenyekiti wa Tume...

KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULUJAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIASimu: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tzTovuti : www.ikulu.go.tz              Faksi: 255-22-2113425OFISI YA RAIS,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AJULIA HALI WAGONJWA WALIOLAZWA KATIKA TAASISI YA MOYO YA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara Dkt. Juma Ngasongwa walipotembelea Taasisi ya...

View Article
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live




Latest Images