Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110182 articles
Browse latest View live

WATU 29 WAFARIKI KWA AJALI ZA BARABARANI KWA KIPINDI CHA MIEZI MITATU.MKOANI...

Watu zaidi ya 29 wamepoteza maisha huku 42 wakiwa wamepata majeraha mbalimbali kutokana na ajali zilizotokea mkoani wa Ruvuma kwa kipindi cha miezi mitatu kwa mwaka 2018. Huku sababu kubwa za ajali...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WWF YAZINDUA MRADI WA KUHIFADHI MAZINGIRA-MTWARA

Na Joseph Mpangala-Mtwara Shirika la Kuhifadhi mazingira duniani WWF imezindua Mradi wa Kuleta mabadiliko katika usimamizi na Uendelezaji wa Maliasiri za misitu,wanyapori na bahari kwa kushirikisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKALA SHERIA: POLISI HAWARUHUSIWI KUCHUKUA KESI ZA KUDAIANA HELA

Na Bashir Yakub.Yapo mambo tunatakiwa kuyazungumza mara kwa mara ili watu wayaelewe. Moja ya mambo hayo ni hili la watu kudaiana hela hadi kufikishana polisi. Mtu binafsi, Saccos au taasisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AKEMEA UPOTOSHAJI KUHUSU MUUNGANO

*Awataka waulinde, aonya sukari isiwe sababu WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania waulinde Muungano baina ya Tanzania Bara na Zanzibar na akawaonya wasitumie...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA KISUTU YATAKA KILA CHOMBO KIHESHIMIWE

Na Karama Kenyunko, Globu ya jamiiMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema kila chombo kinapaswa kufanya kazi zake kwa kuheshimiana na haipendezi kila mara zitolewe amri ambazo hazitekelezwi.Hakimu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO YA OFISI YA WAZIRI MKUU BAADA YA BUNGE KUPITISHA BAJETI YA OFISI HIYO

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akipongezana na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI TANZANIA.

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. Richard Mabonero (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.Spika wa Bunge Mhe. Job...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIGI KUU WANAWAKE BARA HATUA YA NANE BORA KUENDELEA APRILI 21

Na Zainab Nyamka, Globu ya  jamiiLIGI Kuu ya Wanawake Tanzania Bara hatua ya Nane bora inatarajia kuendelea Jumapili Aprili 21 kwenye viwanja tofauti.Hatua hiyo ya Nane bora ambayo ilisimama kupisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA YAIVUTIA KASI MBEYA CITY, WAENDELEA NA MAZOEZI

Na Zainab Nyamka, Globu ya jamiiKIKOSI cha Simba kimeendelea na mazoezi yake katika Uwanja wa Boko Veterani kujiandaa na mchezo wao dhidi ya Mbeya hapo kesho.Mchezo huo utakaopigwa Uwanja wa Taifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA KISUTU YASOGEZA MBELE TAREHE YA KUSOMWA MAELEZO YA AWALI VIGOGO TFF

Na Karama Kenyunko, Globu ya jamiiMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imesogeza mbele tarehe ya  kuwasomea maelezo ya awali (PH ) ya vigogo watatu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) hadi Aprili...

View Article

WAKULIMA WA KOROSHO TANDAHIMBA WAIDAI KAMPUNI YA JOPHULO LIMITED ZAIDI YA...

Wakulima wa zao la korosho wilaya ya Tandahimba na Newala mkoani Mtwara wamelalamikia kitendo cha kampuni ya JOPHULO LIMITED kutowalipa fedha zao zenye thamani zaidi ya Shilingi bilioni 3 tangu...

View Article

YANAYOFANYIKA BANDARI DAR YAWAKUNA WANAFUNZI IFM

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC SHINYANGA AWATAKA WAKAZI MKOA WA TABORA KUTUNZA , KULINDA MISITU ASILI

Na Tiganya VincentMKUU wa Mkoa wa Shinyanga Zainabu Telack amewataka wakazi wa Mkoa wa Tabora kutunza na kulinda mistu ya asili na miti inayopandwa sasa hivi ili ikuyafanya mazingira kuwa endelevu kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YATAJA KIKOSI KITAKACHOANZA DHIDI YA SINGIDA UNITED LEO

Zainab Nyamka, Globu ya jamiiKIKOSI cha Young Africans kitakachoanza dhidi ya Singida United katika mechi ya Ligi Kuu Bara inayochezewa leo Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mlinda mlango ni  Youthe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI MKOANI GEITA WAJITOKEZA KWA WINGI KUPATA ELIMU YA MLIPAKODI

Na Veronica KazimotoWafanyabiashara na wananchi wa Mkoa wa Geita wamejitokeza kwa wingi kupata elimu ya mlipakodi inayoambatana na usajili wa Namba ya Utambulisho wa Mlipakodi (TIN) pamoja na kupatiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA TECNO TANZANIA YAMPA UBALOZI GABO

Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiMUGIZAJI wa filamu za kibongo nchini Salim  Ahmed a.k.a Gabo, ametangazwa kuwa balozi wa simu mpya ya mkononi kutoka Kampuni ya Tecno Tanzania iliyopewa jina la Tecno...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli ateua Mwenyekiti wa Bodi ya NBAA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Yapunguza Idadi Ya Hati Chafu

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Juma Assad amesema Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli inaendelea vizuri na uwekaji wa mahesabu uliopelekea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MAKONDA KUTOA KADI ZA BIMA YA AFYA KWA WATOTO WALIOTELEKEZWA.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amesema kinamama wote waliofika ofisini kwake wakiwa na watoto kwa ajili ya kupatiwa msaada wa kisheria baada ya kutelekezwa atawapatia kadi za Bima ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADE IN TANZANIA WEEK IN KENYA

MADE IN TANZANIA WEEK IN KENYA The Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation through its Embassy in Nairobi, Kenya and in collaboration with the Ministry of Industry, Trade and...

View Article
Browsing all 110182 articles
Browse latest View live




Latest Images