Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SPIKA WA EALA, BALOZI MDOGO WA MAREKANI...

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi mdogo wa Marekani nchini Tanzania, Dkt. Inmi Patterson (kulia) pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM KUCHEZWA APRILI 20 NA 21

Hatua ya nusu fainali ya kombe la Shirikisho la Azam(ASFC) inatarajia kuchezwa Aprili 20 na Aprili 21,2018.Nusu fainali ya Kwanza itachezwa Ijumaa Aprili 20,2018 ikiwakutanisha Stand United ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JIJI LA DAR LAKABIDHIWA MPANGO WA KUONDOA MSONGAMANO

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiSHIRIKA la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) kupitia timu yake ya wataalam wa miundombini wamekabidhi mpango mkakati wa miundombinu ya usafiri kwa lengo la kuondoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UBUNIFU: MAKEKE AJA NA VAZI LA UNGO LINALOTAMBULIKA KWA JINA LA "LUPAHERO"

 LUPAHEROBaada ya uzoefu mkubwa katika matumizi ya mapishi jikoni, ungo umejizolea umaarufu mkubwa baada ya kuingizwa rasmi katika tasnia yasm sanaa na hususani katika ubunifu wa mavazi na kupewa jina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK MAGUFULI KUZINDUA RASMI TAASISI YA JAKAYA MRISHO KIKWETE (JMKF) KESHO IKULU

Na Ripota Wetu, Globu ya jamiiRAIS Dk. John Magufuli kesho anatarajia kuzindua rasmi  Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete inayofahamika kwa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika Ukumbi wa Mikutno...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TECNO CAMON X NA X PRO ZATAMBULISHWA RASMI

 Makamu wa Rais wa TRANSSION HOLDING ambayo ni kampuni mama ya TECNO, Andy VAN  (Katikati)akizungumza na wakati wa uzinduzi wa simu mpya ya Tecno ambayo ni Tecno CAMON X yenye 20MP SELFIE,mfumo mpya wa...

View Article

In Loving Memory

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CONSUMER EXPO 2018

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MICHUANO YA COPA COCA-COLA UMISSETA YAPOKELEWA KWA SHANGWE MKOANI TANGA

Wanafunzi kutoka shule mbalimbali wakifuatilia matukio ya uzinduzi.Na Mwandishi Wetu. Mashindano ya shule za sekondari ya Copa Umisseta yanayoendelea ngazi ya mikoa, yamezinduliwa mkoani Tanga, katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BBC News Africa appoints Larry Madowo as Business Editor

Larry Madowo joins the BBC from Wednesday 11th April, leading its new Business Unit. The appointment is part of the BBC World Service’s continuing expansion in TV and Digital Video content for...

View Article

WAZIRI MKUU AKEMEA UPOTOSHAJI KUHUSU MUUNGANO, aonya sukari isiwe sababu

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania waulinde Muungano baina ya Tanzania Bara na Zanzibar na akawaonya wasitumie Bunge hilo kuupotosha. Ametoa kauli hiyo leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maafisa wa Sekretarieti ya maadili watembelea Klabu ya Maadili wa Shule ya...

 Mwenyekiti wa Klabu ya Maadili wa Shule ya Msingi Chang’ombe iliyoko Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma, Ndg. Yohana Sambila akifanya utambulisho kwa Maafisa wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJENZI WA UKUTA MERERANI WAOKOA MAMILIONI - MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kukamilika kwa ujenzi wa ukuta kuzunguka mgodi wa Mirerani kutasaidia kuongeza mapato ya Serikali ikiwa ni pamoja na kudhibiti vitendo vya wizi na utoroshaji wa...

View Article


BONGO MOVIE KUIBUA VIPAJI VIPYA NA KUHUBIRI AMANI, UPENDO NA UZALENDO TANZANIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASAF YAENDELEA KUWANUFAISHA WANANCHI MKOANI SIMIYU

Na Stella Kalinga, Simiyu.Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Awamu ya tatu umeendelea kunufaisha wananchi  wakiwemo wakazi wa kijiji cha  Nkoma wilaya ya Itilima  na  Nyakabindi    wilaya ya  Bariadi...

View Article


KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KICHUYA KUMKABIDHI MSHINDI WA BAJAJI MAFINGA

Mkazi wa Iringa, Mafinga Ndugu Mathias Edward (25) ambaye pia ni mshindi wa bajaji kupitia promosheni inayoendeshwa na kampuni ya michezo ya kubashiri SportPesa wakishirikiana na kampuni ya mtandao wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUSTANI YA KISASA MANISPAA YA SONGEA KUNZA KUTUMIKA MWEZI MEI MWAKA HU

MRADI wa bustani ya kisasa ya Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma umekamilika ,unatarajia kuanza kufanyakazi mwishoni mwa mwezi Mei mwaka huu.Akizungumza na Ruvuma TV Afisa habari wa Manispaa Albano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATAKAO KAMATWA KWA KUJIHUSISHA BIASHARA YA MAGENDO HAWATABAKI SALAMA

SERIKALI mkoani Tanga imesema kuwa haitakuwa na simile na wananchi watakaokamatwa kujihusisha na kuingiza bidhaa za magendo kupitia bandari bubu kwani wanachangia kuikosesha mapato serikali. Kauli hiyo...

View Article

"TUJIEPUSHE KUMSINGIZIA MUNGU AJALI TUNASABABISHA WENYEWE"-RC RUVUMA

mkuu wa mkoa wa RUVUMA CHRISTINA MNDEMA amewataka wamiliki wa vyombo vya moto kuacha tabia ya kutoa lawama badala yake wasimamie sheria za barabarani kwani ajali nyingi zinatokea ni uzembe wa madereva...

View Article
Browsing all 110000 articles
Browse latest View live




Latest Images