Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110176 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAWA NI KUACHA UHALIFU KUPUNGUZA MSONGAMANO MAGEREZANI-MWIGULU

Na Ripota Wetu, Globu ya jamiiWAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk.Mwigulu Nchemba ametoa rai kuwa ili kupunguza msongamano wa wafungwa magerezani ni vema jamii ikaacha kufanya matukio ya uhalifu...

View Article



WAZIRI MKUU AWATAKA MABALOZI KUTANGAZA VIVUTIO VYA UWEKEZAJI VILIVYOPO NCHINI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanafunzi wa Watanzania waingia Tuzo za Kimataifa za DStv Eutelsat Star

Jumatatu Aprili 9, 2018; Tanzania imepata wawakilishi wawili watakaoshiriki katika msimu wa saba wa tuzo maarufu barani Afrika kwa wanafunzi wapenzi wa masomo ya Sayansi na Teknolojia ijulikanayo kama...

View Article

MICHUZI TV: WAZIRI MKUU AWATAKA MABALOZI KUTANGAZA VIVUTIO VYA UWEKEZAJI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI SEIF AIPONGEZA KAMPUNI YA ZANRDEF

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliishukuru na kuipongeza Taasisi ya Kiraia ya Zanzibar Relief and Development Foundation { ZANRDEF} kwa uamuzi wake wa kusaidia huduma za msingi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI WA BONDE LA ZIWA RUKWA WAPATA SHILINGI MILIONI 16.5 KUKAMILISHA UJENZI...

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amekabidhi shilingi milioni 5 ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake aliyoitoa alipotembelea ujenzi wa kituo hicho cha polisi tarehe 13.11.2017 na wananchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA UBA YAENDELEZA UJIRANI MWEMA KUPITIA MICHEZO

 Mchezo kati ya Timu ya Wafanyakazi wa Benki ya United Bank of Africa (UBA) Tanzania na taasisi mbalimbali kutoka nchini Uganda zilizopo nchini ukiendelea kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Ushindini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMU YA WATAALAM WA UJENZI KUTOKA NCHINI CHINA YAKAGUA ENEO LA UJENZI WA CHUO...

Serikali ya Watu wa China imetuma timu ya Wataalam wa Usanifu wa Majengo na ujenzi, kukagua na kujiridhisha na eneo lililotengwa na Serikali ya Mkoa wa Kagera kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha Kisasa cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIC READY TO FACILITATE COMPANIES WISHING TO INVEST IN PRODUCTION OF MEDICINE...

The Executive Director of Tanzania Investment Centre (TIC) Mr. Geofffey Mwambe was among the presenters during the meeting of pharmaceutical industry stakeholders from within and outside Tanzania who...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASSEMBLY TO SIT IN DODOMA

 …the Sitting is a first for the regional Assembly in the designate capitalEast African Legislative Assembly, Dodoma, 9th April, 2018: The East Africa Legislative Assembly (EALA) has commenced its...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS ZANZIBAR ATEMBELEA BANDA LA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA...

Makamu wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi  ametembelea banda la maonyesho la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA).TCAA ni miongoni mwa taasisi na kampuni zinazoshiriki mkutano wa Saba (7)...

View Article

TAMKO LA SERIKALI KUHUSU WATUMISHI WALIOONDOLEWA KWENYE MFUMO WA MALIPO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

kesi inayowakabili vigogo wawili wa madini ya almasi yapigwa kalenda

Na Karama Kenyunko, blogu ya Jamii.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Aprili 9, 2018 imeelezwa kuwa, jalaa la kesi inayowakabili vigogo wawili wa uthaminishaji wa madini ya almasi wa serikali,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AONGOZA VIONGOZI WA CCM MAOMBOLEZO YA WINNIE MADIKIZELA MANDELA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Kanali Mstaafu Abdurahman Kinana akisaini kitabu cha maombolezo kwenyeOfisi za Ubalozi wa Afrika Kusini kufuatia kifo cha Mwanaharakati na mke wa zamani wa Rais wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU NISHATI, AKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua ( kulia) akiongoza kikao kilichokutanisha wadau wa maendeleo na Wizara ya Nishati katika Ofisi za Wizara ya Nishati jijini Dar es Salaam tarehe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA GEITA AWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KWA WINGI KWENYE KAMPENI YA...

Na Veronica Kazimoto-GeitaWito umetolewa kwa wafanyabiashara na wananchi wa Mkoa wa Geita kujitokeza kwa wingi katika Kampeni Maalum ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi kwa ajili ya kuwasilisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAADHIMISHO YA 70 YA SIKU YA AFYA DUNIANI 2018 MKOA WA KASKAZINI UNGUJA...

  WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed akiangalia huduma mbalimbali zilizokua zikitolewa kituoni hapo. MWAKILISHI wa Shirika la Afya Ulimwenguni WHO Dkt Ghirmay Andemichael akizungumza katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wasanii watakiwa kuwa makini wanapo saini Mikataba.

Na Agness Francis, Globu ya Jamii.Wasanii wa nyanja zote  wakumbushwa kuzingatia na kuwa makini kuzitambua aina 7 za sheria katika zoezi zima la kusaini mikataba mbalimbali katika kazi zao hapa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO YATIMA YAFANYIKA ZANZIBAR

Na Salum Vuai, MAELEZOMAKAMU wa Rais Samia Suluhu Hassan, amesema jamii ina wajibu wa kuwalea na kuwatunza watoto yatima badala ya kuwakwepa, kuwanyanyasa na kuwadhulumu.Katika hutuba iliyosomwa kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA WADAU KATI YA SERIKALI, WAAJIRI, PAMOJA NA SEKTA BINAFSI KUHUSU...

Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu) kwa kushirikiana na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Taasisi ya Viwanda, Biashara na Kilimo Tanzania (TCCIA) pamoja na Taasisi ya...

View Article
Browsing all 110176 articles
Browse latest View live




Latest Images