Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109611 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali kuwashughulikia wanaovamia vyanzo vya maji

Na Robert Hokororo, Ofisi ya MkurugenziSerikali mkoani Shinyanga imesema itawashughulikia wanaovamia kufanya shughuli za kilimo na kunywesha mifugo kwenye vyanzo vya maji na kusababisha ongezeko la...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WA USAFIRI TABORA WATAKA MALORI NAYO YATUMIE “LOG BOOK” KUDHIBITI AJALI

NA TIGANYA VINCENT -RS TABORA KAMATI ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Tabora na Wadau wa Usafiri wamependekeza uanzishwaji wa matumizi ya vitabu(log book) kwa magari ya mizigo ili kudhibiti madereva...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA KANDA YA ZIWA ,SASA NI KANDA YA KATI TAMASHA LA PASAKA NDANI YA...

Baada ya kufanya tamasha la pasaka kanda ya ziwa (Mwanza na mkoa wa Simiyu) na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa,sasa zamu ya kanda ya kati Dodoma,makao makuu ya nchi.Akizungumza na Waandishi wa Habari...

View Article

HOTUBA YA RAIS.DKT JOHN POMBE MAGUFULI KWA WANANCHI WA ARUSHA KTK UWANJA WA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAWILI WAONDOKA NA BODABODA SHIKA NDINGA DAR ES SALAAM

Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiWakazi wawili wa Dar es salaam, wameibuka washindi shindano la shika ndinga lililoendeshwa na kituo cha Radio cha Efm.Washindi hao ni Ashura Ramadhani mkazi wa Bunju...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUMSIMIKA MHASHAMU ISAACK AMANI KUWA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na Maaskofu katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI KAIRUKI, AZUNGUMZIA MKUTANO JUKWAA LA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA CHINA

Na Ripota Wetu,Globu ya jamiiMKUTANO wa  Jukwaa la Biashara kati ya Tanzania na China unatarajia kuanza kufanyika Beijing nchini China.Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo na Remidius Emmanuel...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAGANGA TIBA ASILI NJOMBE WAIOMBA SERIKALI KUDHIBITI 'WAGANGA' MATAPELI

BAADHI ya Waganga wa Tiba asili mkoani Njombe wameiomba Serikali ya mkoa huo kuchukua hatua kali dhidi ya watu ambao wanajifanya waganga nakwenda kufanya utapeli kwa waganga kinyume cha Sheria ya Tiba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI JUMUIYA YA WAZAZI CCM TAIFA AHIMIZA VIJANA KUWA NA NIDHAMU

Na Elissa ShundaWAZAZI nchini wameombwa kudumisha nidhamu katika maisha wanayoishi ili vijana wao pia ambao ndiyo viongozi wajao katika ngazi mbalimbali waige mifano mizuri ya kitabia na kiuongozi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AKUTANA NA MABALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA NA URUSI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nchini Urusi na Rwanda kutumia fursa hiyo kwa kutangaza vivutio vilivyopo nchini ili kuwavutia wawekezaji kuja kuwekeza kwenye...

View Article

Introducing "Hali yangu" by Bibi Cheka Ft. DJ Tiffa

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA YA MISA YA KUMUOMBEA MZEE WILFREDY MWINGIRA NEW YORK CITY.

 Misa ya kumbukumbu ya marehemu Wilfredy Mwingira iliyifanyika siku ya Jumamosi April 7, 2018 katika kanisa Katoliki la Mt. Cecilia New York na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki akiwemo Balozi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC Tanganyika achangia milioni moja kuunga mkono Ujenzi shule ya Msingi Luhafwe

Mkuu wa wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi Salehe Mhando ametoa shilingi milioni moja katika kuunga mkono jitihada za wananchi wa Kijiji cha Luhafwe ambao wameanzisha ujenzi wa vyumba vya madarasa ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DA SILVA AANZA KUTUMIKIA KIFUNGO, KHAN ATOKA KWA DHAMANA

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiALIYEKUWA Rais wa Brazil Luiz Inancio Lula Da Silva (52)  maarufu kama Lula amejisalimisha katika jela la Curitiba kuanza kutumikia kifungo chake cha miaka 12 jela kwa...

View Article

HOTUBA YA RAIS DKT. JOHN MAGUFULI KWENYE IBADA YA KUMSIMIKA ASKOFU MKUU WA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WATOA MSAADA WA FEDHA, CHAKULA KUWEZESHA KAMBI YA KITAALUMA KWA...

Baadhi ya wanafunzi wasichana wa Kidato cha Sita kutoka shule 11 mkoani Simiyu wakifurahia jambo na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe Anthony Mtaka na Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Mhe.Dkt.Seif Shekalaghe(mwenye...

View Article

VIDEO - WAKAZI WA KISIWA CHA KOME MWANZA WAILILIA SERIKALI

Wakazi wa kisiwa cha Kome wilayani Sengerema mkoani Mwanza wameiomba serikali kuboresha huduma za afya kisiwani humo ikiwa ni pamoja na kuongezwa kwa watoa huduma kwenye kituo cha afya Kome kilichopo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Major Opportunities for Local Entrepreneurs in the East African Crude Oil...

By Hussein BoffuThe construction of the 1445-kilometer East African Crude Oil Pipeline (EACOP) project is another gold rush. The campsites have been built and some jobs related to studies and...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hafla ya Standard Chartered yabainisha viwanda 200 vya China kujengwa Tanzania

Na Mwandishi wetuCHINA katika kipindi cha miaka mitatu ijayo inatarajia kuwekeza katika viwanda 200 nchini Tanzania vitakavyokuwa na uwezo wa kuajiri moja kwa moja Watanzania laki mbili.Kwa sasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU SPIKA TULIA AWAASA WATANZANIA KUILINDA NA KUITUNZA AMANI YA NCHI...

Naibu Spika wa Bunge Mh. Dk. Tulia Ackson akikata utepe kuashiria uzinduzi wa albamu mpya ya Mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili. Rose Muhando ijulikanayo kwa jina la 'Usife Moyo'wakati wa kilele cha...

View Article
Browsing all 109611 articles
Browse latest View live




Latest Images