RC MAKONDA KUTOA MAJIBU MALALAMIKO YA WANANCHI, WANASHERIA KUYACHAMBUA
Na Said Mwishehe,Globu ya JamiiWANASHERIA zaidi ya 100 wameanza kupitia na kuchambua malalamiko mbalimbali ya wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa lengo la kuhakikisha yanapatiwa majibu.Hatua hiyo...
View ArticleMBUNGE MGIMWA KUBORESHA SEKTA YA ELIMU,AFYA JIMBONI KWAKE
Na Fredy Mgunda,Mufindi.MBUNGE wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Mahmoud Mgimwa ametoa msaada wa vifaa mbalimbali vya ujenzi vyenye thamani ya zaidi ya Sh Milioni 12 vitakavyotumika kuboresha miundombinu...
View ArticleSPORTPESA KUKARABATI NYUMBA YA MADAKTARI ZANZIBAR
Picha ya pamoja kati ya (Baadhi ya wawakilishi/Uongozi wa SportPesa Tanzania) na uongozi wa Kizimkazi mkunguni mara baada ya kuzindua na kukabidhiwa mradi wa kujenga nyumba ya madaktari pichani,...
View ArticleAWESO AHIDI NEEMA KWA WAKANDARASI WA MAJI WAAMINIFU
Naibu Waziri wa Maji na Umwangiliaji, Mheshimiwa Jumaa Aweso ameahidi serikali kupitia wizara ya Maji kulipa kwa wakati wakandarasi waaminifu wanaosimamia miradi ya Maji ili upatikanaji wa Maji uwe...
View ArticleMvua kubwa yaharibu Shule ya Msingi Kanyenye mkoani tabora
Mvua kubwa ikiambatana na upepo mkali iliyonyesha usiku wa jana mkoani Tabora imesababisha madhara makubwa kwa baadhi ya miundombinu pamoja na nyumba ikiwemo Shule ya Msingi Kanyenye ambayo paa lake...
View ArticleIGP SIRRO AWAONYA WANAOTUMIA MITANDAO VIBAYA
MKUU wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, amewaonya baadhi ya watu wanaohamasishana kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu kufanya maandamano bila kufuata utaratibu uliopo na kwamba kitendo hicho...
View ArticleMTUNZI WA NYIMBO YA "TANZANIA YETU NI NCHI YA KUPENDEZA" ANAHITAJI MSAADA WA...
Na Yusuph Mussa, KorogweMzee Stephen Hizza (pichani), mtunzi na muimbaji wa wimbo "TANZANIA YETU NI NCHI YA KUPENDEZA", ambao aliutunga na kuimba mwaka 1966 akiwa na bendi ya Atomic Jazz ya mkoani...
View ArticleMILIONI 64/-ZAHITAJIKA WAZEE WOTE MKURANGA WAPATE VITAMBULISHO VYA...
Na Emmanul,Globu ya jamiiSHILINGI milioni 64 zinahitajika ili wazee wote wilayani Mkuranga mkoani Pwani wapatiwe vitambulisho kwaajili ya matibabu.Hayo yamesemwa jana na Mbunge wa jimbo hilo ambaye pia...
View ArticleMO Dewji aahidi kuongeza idadi ya wanafunzi wanaopata ufadhili wa taasisi yake
Taasisi ya Mo Dewji imetangaza orodha ya wanafunzi 22 wa elimu ya juu waliopata ufadhili kutoka katika taasisi hiyo kwa mwaka wa masomo 2017/2018 kupitia mpango wa Mo Scholars.Wanafunzi hao ni Neema...
View ArticleWAHUDUMIENI WANANCHI BILA YA UBAGUZI-MAJALIWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma wawatumikie wananchi kwa uweledi na ustadi bila ya ubaguzi wa aina yoyote.Waziri Mkuu alitoa kauli hiyo jana (Jumatatu, Februari 26, 2018) wakati...
View ArticleRC MTAKA: FEDHA ZA WADAU WA AFYA ZILENGE KUJIBU MAHITAJI YA WANANCHI
Na Stella Kalinga, SimiyuMkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amewataka wadau na mashirika mbalimbali wanaofanya kazi na Mkoa huo katika sekta ya Afya kuelekeza fedha zao zaidi katika masuala...
View ArticleSERIKALI YAOMBWA KUONDOA KODI ZA PEMBEJEO ZA KILIMO
Na. Jumbe Ismailly SERIKALI imeombwa kuangalia uwezekano wa kuondoa kodi kwenye pembejeo za kilimo na mifugo ili kuwasaidia wakulima kuwa na uwezo wa kulima na kufuga kwa njia za kisasa na kuwawezesha...
View ArticleUPELELEZI KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA DOLA 150,000 BADO HAUJAKAMILIKA
Na Karama Kenyunko, Globu ya Jamii.MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa, upelelezi wa kesi ya utakatishaji fedha kiasi cha Dola za Marekani 150,000 inayomkabili Mhasibu wa Ubalozi wa Tanzania...
View ArticleDC SHINYANGA AFANYA MKUTANO KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI BUGAYAMBELELE
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga amewataka maafisa watendaji wa vijiji na kata kusoma taarifa za mapato na matumizi kwa wananchi pamoja na wenyeviti wa vitongoji,mitaa,vijiji na kata kufanya mikutano kwa...
View ArticleTENMET kushirikiana na Equality Now kupaza sauti za watoto
MTANDAO wa Elimu Tanzania (TenMeT) na taasisi ya Equality Now imekubaliana kufanyakazi kwa pamoja kuhakikisha inapaza sauti za watoto juu ya changamoto mbalimbali za ukatili zinazowakabili hasa watoto...
View ArticleWALIOHUJUMU RUZUKU YA UCHIMBAJI WATAKIWA KUIREJESHA
Serikali imetoa onyo kali kwa waliojinufaisha na kutumia ruzuku ya uchimbaji madini kinyume na makusudio yake ambao hadi sasa hawajarejesha licha ya kutakiwa kufanya hivyo. Naibu Waziri wa Madini, Doto...
View Article
More Pages to Explore .....