Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110171 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHOW YA MIC TATA KUTIKISA UKUMBI WA DAR LIVE MBAGALA

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiRADIO Uhuru imeandaa show  MIC TATA itakayowashirikisha wasanii mbalimbali nchini itakayofanyika Februari 24 katika ukumbi wa Dar Live Mbagala jijini Dar es...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADINI YA RUBY KUENDELEA KUWANUFAISHA WANANCHI LONGIDO

Na Veronica Simba – LoliondoSerikali imewaahidi wakazi wa Kata ya Mundarara katika Wilaya ya Longido kuwa itahakikisha madini ya Ruby ambayo yanapatikana katika eneo hilo yanaendelea kuwanufaisha na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya CRDB yaboresha maslahi ya wafanyakazi wake

Benki ya CRDB yasaini mkataba wa hali bora kwa wafanyakazi wake na Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Fedha, Biashara, Huduma na Ushauri (TUICO), katika hafla iliyofanyika katika hoteli ya Ramada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Attorney General Dr Adelardu Kilangi pays courtesy call on African Court in...

Tanzania’s Attorney General Dr Adelardu Kilangi admires the just-released first volume of the African Human Rights Yearbook at the African Court in Arusha, Tanzania, today 15th February 2018. Left is...

View Article

MICHUZI TV LIVE: MKUTANO WA KAMPENI ZA UBUNGE CCM JIMBO LA KINONDONI LEO...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AMUAPISHA LUTENI JENERALI YAKUBU HASSAN MOHAMED KUWA MNADHIMU...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimvalisha cheo kipya Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohamed ambapo awali alikuwa na cheo cha Meja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUKUMU KESI YA MASOGANGE KUTOLEWA FEBRUARI 21 MWAKA HUU

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Februari 21 mwaka huu, inatarajia kutoa hukumu katika kesi ya matumizi ya dawa za kulevya inayomkabili Video Qeen Agnes Gerald...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA MASHINDANO YAWAADHIBU KASEKE, DIHILE

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiKAMATI ya Mashindano ya TFF imewafungia Deus Kaseke na Shaban Dihile kwa makosa ya utovu wa nidhamu waliyoyafanya katika mchezo wao wa Kombe la Shirikisho la Azam...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

REHMTULAH: NIMEANZISHA KIWANDA NDANI YA MIAKA 10

Na Agness Francis, Globu ya jamii MBUNIFU wa mavazi nchini Ally Rehmtulah ameweka wazi mafanikio na changamoto alizopitia ndani ya miaka 10 katika   kuendeleza sanaa ya ubunifu hapa nchini.....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKALA VYUO VIKUU VYA NJE AIOMBA SERIKALI KUANGALIA MFUMO HATI YA KUSAFIRIA...

Na Ripota Wetu,Globu ya jamiiMKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Wakala  ya Vyuo Vikuu vya Nje ya Darwin, Joseph Makungu amesema mfumo mpya wa hati ya kusafiria unapaswa kuwangalia wanafunzi wanaokwenda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga afanya mazungumzo na Wabunge wa EALA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika MasharikiMhe. Balozi Dkt.Augustine Mahiga akizungumza na Wabungewa EALA (hawapo pichani)Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA)  leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAUZAJI WA PIKIPIKI WA WATAO MSAADA KWA MAJERUHI

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiKampuni ya King Lion imetoa msaada wa waendesha bodaboda  waliopata ajali na wamelazwa katika Hospitali Taifa ya MuhimbiliAkizungumza na waandishi wa habari baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJALIWA AZINDUA MADARASA SHULE YA SEKONDARI NYEHUNGE WILAYANI SENGEREMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua madarasa ya Kidato cha Tano na Sita katika Shule ya Secondari ya Nyehunge wilayani Sengerema Februari 15, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGODI WA ACACIA BULYANHULU WAENDELEA KUSHIRIKIANA NA JAMII MIRADI YA MAENDELEO

Mgodi wa dhahabu wa Acacia Bulyanhulu umezindua na kukabidhi maktaba iliyogharimu shilingi milioni 22.6 kwenye shule ya sekondari Bulyanhulu iliyopo katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWANDIKWA AKAGUA MIRADI YA UJENZI MKOANI TANGA

Diwani wa Kata ya Mombo, Halima Mussa akizungumza jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Elias Kwandikwa (wa pili kulia) wakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya sekta ya ujenzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA MAJENGO YA MAHAKAMA MKOANI MARA

Pichani ni muonekano wa jengo la Mahakama ya Mwanzo Robanda lililopo Serengeti wilayani Mugumu, jengo hili lilijengwa kwa nguvu za wananchi na kumaliziwa na Mahakama ya Tanzania lilikabidhiwa rasmi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN MGEMI RASMI KWENYE MAHAFALI YA 13 YA SUZA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Dk. Ali Mohamed Shein pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) akihutubia wakati wa hafla ya Mahafali ya 13 ya Chuo hicho yaliofanyika katika ukumbi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKAZI WA SOMBETINI MOHAMEDI HAMISI ANAOMBA MSAADA.

 Mohamed Hamisi ni mkazi wa Sombetini. Ana umri wa miaka 24. Ni mtoto wa marehemu Hamisi Faustine. Ni mlemavu wa miguu na mkono mmoja pia una shida. Hapendi kuomba, anapenda kujishughulisha. Kwa sasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIA WA KIGENI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA BAADA YA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA

Na Dixon Busagaga,Moshi.MAHAKAMA Kuu ya Tanzania ,Kanda ya Moshi ,imemuhukumu kifungo cha maisha jela ,Christina  Biskasevskaja (26) raia wa nchi ya Lithuania baada ya kupatikana na hatia ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSCL KUDHIBITI MAPATO KIELEKTRONIKI

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, ameitaka kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) kuhakikisha inafunga kamera katika maeneo mbalimbali ya ukaguzi ili kudhibiti vitendo vya...

View Article
Browsing all 110171 articles
Browse latest View live




Latest Images