Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109977 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DMF, MAKJUICE WAWAPA FARAJA WAZAZI WA WATOTO NJITI HOSPITALI YA MWANANYAMALA...

 Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti), Doris Mollel (wa tatu kulia) akimkabidhi mmoja wa wauguzi wa zamu wa Wadi ya Watoto Njiti katika...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE CCM WAMIMINIKA KUMUOMBEA KURA MTULIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiCHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kupitia viongozi wake wa ngazi mbalimbali wameendelea kunadi sera za maendeleo na kumuombea kura mgombea wao wa ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAA YAPEWA WIKI 2 KUKUSANYA MADENI YOTE

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari, kuhusu mipango ya Serikali ya kuendeleza kiwanja cha Ndege Mwanza kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI WA CHALINZE WATAABIKA NA UKOSEFU WA MAJI SALAMA

Madiwani wa halmashauri ya Chalinze ,Bagamoyo Mkoani Pwani ,wakifuatilia kikao cha bajeti cha baraza la madiwani huko Lugoba. Mwenyekiti wa halmashauri ya Chalinze ,Bagamoyo Mkoani Pwani ,ambae pia ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maisha Magic Bongo kufadhili Harusi ya aina yake, Ni ya washindi wa shindano...

Wakazi wawili wa jiji la Dar es Salaam ambao ni wachumba Solomon Mwaigwisa na Magreth Richard wameibuka washindi wa shindano la Harusi ya Ndoto Yako lililokuwa likiendeshwa na chaneli ya Maisha Magic...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIONGOZI WA UPINZANI NCHINI ZIMBABWE AFARIKI DUNIA

Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Zimbabwe na aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Morgan Tsvangirai amefariki dunia nchini Afrika kusini.Kwa mujibu wa kiongozi Mwandamizi wa chama cha MDC, Tsvangirai mwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAPIGA DILI,WALA RUSHWA HAWATAKIWI CCM

MWENYENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya kiwalani Mathias Kahinga Amesema katika kipindicho chote cha uongozi wake wapigaji, wala rushwa, pamoja na wapiga dili hawana nafasi kwenye utawala wake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KALEMANI AMWASHIA MOTO MKANDARASI ANAYESAMBAZA UMEME VIJIJI

Na Joel Maduka ,ChatoWaziri wa Nishati,Dkt Medard Kalemani amemwagiza mkandarasi shirika la White City Internationala mbaye anasambaza umeme wa rea awamu ya tatu kwenye Vijiji na kata za Iparamasa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hatimaye Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma aachia ngazi

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amejiuzulu baada ya shinikizo nyingi kutoka kwa chama chake. Kapitia hotuba yake iliyopeperushwa kwa njia ya televisheni alisema anajiuzulu mara moja lakini akaongeza...

View Article


tangazaji michezo redioni umeniimarisha- Jane John

View Article

BBC DIRA YA DUNIA JUMATANO FEBRUARY 14, 2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI FEBRUARI 15, 2018

Kwa magazeti yote BOFYA HAPA

View Article

INTRODUCING "AWAMU YA TANO UWANJANI" BY NGOMA AFRICA BAND

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHOW YA MIC TATA KURINDIMA DAR LIVE FEBRUARI 24,2018.

Uhuru FM kwa kushirikiana na ukumbi wa Dar Live inakuletea show ya Muziki  ijulilikanayo kwa jina la MIC TATA litakalokutanisha miamba wa Muziki hapa  nchini litakalofanyika katika ukumbi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMIYU YAJIPANGA KIMKAKATI KUONGEZA KIWANGO CHA UFAULU KWENYE ELIMU

Na Stella Kalinga, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa SimiyuMkoa wa Simiyu umejipanga kimkakati katika  kuhakikisha unaongeza ufaulu kwenye Elimu na kuwa miongoni mwa mikoa inayofanya vizuri Kitaifa kutoka mahali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

StarTimes yanogesha Siku ya Wapendanao

 Kampuni ya Star Media (T) Ltd inayomiliki chapa ya StarTimes, jana katika Siku ya wapendanao iliwapatia fursa wateja wao kupata chakula cha jioni na wapenzi wao katika mgahawa wa kifahari wa Akemi,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAPAN YAKABIDHI MRADI WA SOKO LA SAMAKI LA KIMATAIFA KASENDA WILAYANI CHATO

Serikali ya watu wa Japan imekabidhi mradi wa Soko la Samaki la kimataifa kwa Halmashauri ya Wilaya ya Chato wenye thamani ya shilingi milioni 320 na kusaini makubaliano ya ukarabati wa barabara ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MWANZA KWA ZIARA YA KIKAZI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella baada ya kuwasili kwenye  uwanja wa ndege  wa Mwanza kuanza ziara ya kikazi mkoani humo Februari 15, 2018. (Picha na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YASHINDA TUZO YA TEKNOLOJIA KATIKA MKUTANO WA DUNIA WA SERIKALI...

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshinda Tuzo za Kilele cha Serikali duniani (World Government Summit Awards) katika kundi la Tuzo ya Teknolojia bora...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA JAPAN AKABIDHI SOKO LA KIMATAIFA LA SAMAKI KASENDA

Na,Joel Maduka,Chato. Balozi wa Japani nchini Tanzania Masaharu Yoshida kwa kushirikiana na serikali ya mkoa wa Geita amezindua rasmi soko la kimataifa la uuzaji samaki la kasenda lililojengwa kata ya...

View Article
Browsing all 109977 articles
Browse latest View live




Latest Images