News alert: Wakongwe watao wa Goju Ryu Karate-do Kupewaa Hadhi ya "Sensei"...
Mwakilishi wa chama cha Karate Jundokan Tanzania, Sensei Rumadha Fundi amewapa hadi ya ualimu wa sanaa ya kujilinda kwa mikono mitupu mtindo wa Goju Ryu Karate-Do cheo cha "Sensei" kwa wanafunzi...
View ArticleWAZIRI MKUCHIKA AMPONGEZA TENGA KWA KUTEULIWA KUWA MWENYEKITI WA BAMITA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala BoravMhe. George H. Mkuchika akimpongeza Sir Leodegar Chilla Tenga kwa kuteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Baraza la Michezo la...
View ArticleNAIBU SPIKA TULIA NA LUSINDE WAONGOZA WABUNGE KUMNADI MTULIA TANDALE
Mbunge wa Mtela ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM Livingstone Lusinde ‘Kibajaj’ akimnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo jimbo la Kinondoni Said Mtulia katika...
View ArticleAZAM FC WATUA BUKOBA, TAYARI KWA MCHEZO WAO NA KAGERA SUGAR KESHO JUMATATU.
Na Faustine Ruta, Bukoba.KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetua Mjini Bukoba asubuhi hii ikitokea Jijini Dar es salaam. Tayari kwa mchezo wao na Wenyeji wao Kagera Sugar kwenye...
View ArticleTRA YAKAMATA BIDHAA MBALIMBALI MPAKANI NAMANGA ZIKITOKEA NCHINI KENYA
Na Veronica KazimotoMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata na kutaifisha bidhaa mbalimbali ikiwa ni pamoja na tani moja ya sukari na chumvi, majani ya chai mifuko 18, mirungi kilogramu 16,...
View ArticleMeya Mwita aungana na wananchi jiji la Dar es Salaam kupima magonjwa ya...
MSTAHIKI Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita leo ameungana na wakazi wa jijini hapa katika kongamano la kupima Magonjwa ya Kisukari na Presha lililoandaliwa na Lions Clubs International kwa...
View ArticleChama cha AFP chafanya uchaguzi mkuu, chajipanga kushika dola 2020
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiMwenyekiti wa Chama cha Wakulima (AFP) ,Said Sudi Said amesema chama kimejipanga kushika dola katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka 2020 kutokana na mikakati...
View ArticleWelcome to Uzi Crafts where we teach sewing to kids, teenagers and adults
Greetings,I would like to invite you to our world of Sewing DIY (Do it Yourself) at UZI Crafts where we teach sewing to kids, teenagers and adults as a much needed life skill.You will find more...
View ArticleWANANCHI WASHUKURU SERIKALI UJENZI WA DARAJA LA MTO KILOMBERO
Wananchi wa wilaya ya Ulanga, Malinyi na Kilombero wameishukuru Serikali ya Awamu ya Tano kwa kutimiza ahadi waliyoitoa kwa wananchi hao ya kuwajengea daraja la mto kilombero ambalo lilikuwa kilio chao...
View ArticleROTALY CLUB YATOA MICHE YA MITI 4000 KWA SHULE 6 MANISPAA YA SONGEA
Viongozi wa Club ya Rotaly tawi la Songea moani Ruvuma wakiangalia kitalu kimojawapo cha miti kilichooteshwa na klub hiyo,ili miti iweze kusambazwa katika shule za msingi na sekondari katika manispaa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA WILAYANI MUFINDI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inajitahidi kujenga na kutanua vituo vya Afya ikiwa na lengo la kupunguza msongamano kwenye hospitali za...
View ArticleTANAPA YAKADIDHI MIRADI YENYE THAMANI YA SH,MILIONI 99 WILAYANI CHATO
Na,Joel Maduka,GeitaShirika la hifadhi ya Taifa (TANAPA) limedhamini ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa, ofisi ya walimu wa shule mpya ya sekondari ya Kikumbaitale iliyopo kata ya Kigongo pamoja na...
View ArticleWANANCHI WASHUKURU SERIKALI UJENZI WA DARAJA LA MTO KILOMBERO
Wananchi wa wilaya ya Ulanga, Malinyi na Kilombero wameishukuru Serikali ya Awamu ya Tano kwa kutimiza ahadi waliyoitoa kwa wananchi hao ya kuwajengea daraja la mto kilombero ambalo lilikuwa kilio chao...
View ArticleWAKAZI WA KIPUNGUNI KUPISHA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA...
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye, akizungumza katika mkutano na wananchi wa Kipunguni A na Mashariki, Dar es Salaam kuhusu ulipwaji wa fidia kwa wananchi hao, ili...
View ArticleWATANZANIA WAASWA KUWA WAZALENDO WA KWENYE ZOEZI LA UANDIKISHAJI VITAMBULISHO...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Dr. Mwiguli Lameck Nchemba awewataka watanzania kuwa wazalendo wa kweli kwenye Usajili wa Vitambulisho vya Taifa unaoendelea kwenye mikoa 19 ya Tanzania kwa...
View Article
More Pages to Explore .....