HOJA YA HAJA: ATHARI YA UTANDAWAZI NA SIASA YA TANZANIA NA MAENDELEO YAKE
Na Saleh Jabir, UKNikiwa mwanafunzi ninayesomea sayansi ya kijamii, naandika makala hii kwa msukumo wa hisia ya uzalendo kwa nchi yangu na kwa kutumia maono yangu na akademia ya kisayansi kuhusu mambo...
View ArticleMAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO MAJIMBO YA SIHA, KINONDONI NA KATA NANE...
Na Margareth ChambiriZikiwa zimebaki siku 6 kabla ya Uchaguzi Mdogo wa Majimbo ya Siha, Kinondoni na Kata 8 kufanyika, Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema maandalizi kwa ajili ya Uchaguzi huo yanaendelea...
View ArticleMbunge mstaafu wa Kilombero Mhe. Abdul Rajabu Mteketa apelekwa Muhimbili...
Mbunge mstaafu wa Kilombero Mhe. Abdul Rajabu Mteketa amepelekwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaa kwa matibabu, baada ya Jumamosi Februari 11, 2018 kuomba msaada wa kupatiwa matibabu...
View ArticleUNESCO KUADHIMISHA SIKU YA RADIO DUNIANI DODOMA
Shirika la UNESCO kwa kushirikiana na Mtandao wa Redio Jamii Tanzania (TADIO) wataaungana na Dunia nzima kuadhimisha Siku ya Redio Duniani. Maadhimisho hayo yatafanyika Dodoma mnamo Tarehe 13/ Februari...
View ArticleCCM YATOA SEMINA KWA VIONGOZI NA WANACHAMA KATA YA BONYOKWA
Katibu wa CCM Kata ya Bonyokwa, Mohamed Chende, akitoa hotuba yake wakati wa semina elekezi kwa viongozi wa CCM Kata ya Bonyokwa. Washiriki wa semina hiyo.Kada wa CCM, Ebeneza Emmanuel akitoa mada...
View ArticleUZALISHAJI WA PAMBA KUONGEZEKA MARA TANO
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella akipulizia dawa shamba la pamba wilayani Kwimba. Uzalishaji wa pamba nchini unatarajiwa kuongezeka mara tano msimu huu wa kilimo 2017/2018 kutokana na juhudi...
View ArticleMRADI ORIO MUARUBAINI TATIZO LA UMEME MKOANI KATAVI
NA SAMIA CHANDE, KATAVI.Mradi wa Orio uliotekelezwa kwa ushirikiano wa Serikali ya Uholanzi na Tanzania kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) umesaidia kujenga kituo cha kuzalisha umeme chenye...
View ArticleKAMPUNI TOOKU GARMENT YATOA MSAADA VIFAA VYA TEHEMA JESHI LA ZIMAMOTO NA...
Mkuu wa Kitengo cha Uchumi na Takwimu Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (ACF) Maria Kullaya amepokea msaada wa Kompyuta mpakato moja na Printa moja kutoka katika Kampuni ya Tanzania...
View ArticleTIGO YAWALETEA WATEJA WAKE 'NYAKA NYAKA'
Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo, Simon Karikari akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutangaza promosheni mpya inayokwenda kwa jina la Nyaka Nyaka ambayo itawawezesha wateja wa Tigo watakaonunua...
View ArticleKANALI NDAGALA AHIMIZA WAMILIKI SHULE BINAFSI KUTOA ELIMU ILIYO BORA
Na Rhoda Ezekiel Kigoma,MKUU wa Wilaya ya Kakonko, Kanali Hosea Ndagala amewataka wamiliki wa shule binafsi zinazoanzishwa wilayani humo kuhakikisha wanatoa elimu iliyo bora na kujikita katika masomo...
View ArticleWAZIRI JENISTA MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI WA KOREA KASKAZINI KIM YONG SU
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu) Mh. Jenista Mhagama akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya watu wa Korea Kaskazini Kim Yong Su alipomtembelea...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AZINDUA MRADI WA KUENDELEZA UTALII UKANDA WA KUSINI (REGROW)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imedhamiria kuleta mabadiliko ya dhati katika sekta ya utalii kwa kuhakikisha inatanua mtandao wa barabara na...
View ArticleWAKURUGENZI, WAKURUGENZI WASAIDIZI NA BAADHI YA WATUMISHI OFISI YA BUNGE...
Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge, Ndg. Nenelwa Wankanga akifungua semina ya Jinsi ya kukabiliana na Vihashiria hatarishi ndani ya Ofisi ya Bunge kwa Wakurugenzi, Wakurugenzi wasaidizi, Wakuu wa Vitengo...
View ArticleHALMASHAURI HANANG YASHAURIWA KUANZISHA CHANZO KIPYA CHA UTALII WA MLIMA HANANG
Na Jumbe Ismailly -HANANG PAMOJA na serikali ya awamu ya tano kutangaza elimu bila malipo kuanzia shule za msingi hadi kidato cha nne,lakini wazazi na walezi wa wanafunzi katika Halmashauri ya...
View Article
More Pages to Explore .....