Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live

UNNewsKiswahili: Habari mbalimbali za leo duniani

View Article



SENSEI RUMADHA FUNDI NA GOJU RYU KARATE PART 1

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA IJUMAA LEO JANUARY 26,2018

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LUKUVI AWAPOZA WANANCHI WA KIGOTO, KABUHORO MWANZA

Na Baltazar Mashaka, Mwanza.WANANCHI wanaomiliki nyumba 664 katika mitaa ya Kigoto na Kabuhoro katika Kata ya Kirumba Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza wametakiwa kuwa na subira wakati serikali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWILI WA MAREHEMU LULU SYLVESTER MATTUNDA LEMA WAWASILI KIJIJINI NRONGA KWA...

Marehemu Lulu Sylvester Mattunda Lema.Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu, Lulu Sylvester Mattunda Lema mara baada ya kuwasili nyumbani kwao katika Kitongoji cha Nkwelengya,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI HALMASHAURI WILAYA YA MBULU AKAGUA UJENZI WA MIUNDOMBINU SHULE...

Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu imepokea Tsh 281,500,000 kwa ajili ya ukarabati na ujenzi wa miundo mbinu ya shule ya sekondari Yaenda Chini na shule ya Msingi Domanga. Fedha hizi ni sehemu ya Zaidi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MAKONDA AZINDUA JENGO LA UPASUAJI WAJAWAZITO HOSPITALI YA MWANANYAMALA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam  Paul Makonda jana  amezindua Jengo la Upasuaji katika Hospital ya Rufaa ya Mwananyamala yenye thamani ya zaidi ya Million 420, inayoenda kupunguza Vifo vya Mama na Mtoto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk.Shein Akutana na Sheikh Saud Bin Saqr Katika Makaazi Yake

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza Mtawala wa Ras-Al-Khaimah Mtukufu Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi na kufanya nae mazungumzo yaliolenga kuendeleza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Umoja wa Mataifa Tanzania wachagua vijana watakaoiwakilisha Tanzania Baraza...

Umoja wa Mataifa Tanzania wachagua vijana watakaoiwakilisha Tanzania kwenye Baraza la Uchumi na Jamii (ECOSOC) 2018 jijini New YorkRahma Mwita Abdallah na Paschal Masulu wamechaguliwa kuwawakilisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Shein Atembelea Kisiwa na Utalii Cha Al Marjan Nchini Ras Al Khaimah.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Mkurugenzi wa Kisiwa cha Utalii cha Al Marjan Ras Al Khaimah, Abdullah Al Abdouli wakitembelea katika moja ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI UMMY AIPIGA 'JEKI' KLABU YA AFRICAN SPORTS

MBUNGE wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga (CCM) na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na watoto Ummy Mwalimu amekabidhi chakula na vifaa vyengine kwa ajili ya kuisaidia timu ya African Sports ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MILIONI 20 ZATUMIKA KAMPENI UPANDAJI MITI WILAYANI IGUNGA

NA TIGANYA VINCENTRS-TABORAJUMLA ya shilingi milioni 20 zimetuma katika kampeni ya upandaji miti katika maeneo mbalimbali wilayani Igunga.Kauli hiyo ilitolewa jana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZZ:ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TBC TIDO MHANDO AFIKISHWA MAHAKAMA...

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa shirika la utangazaji TBC, Tido Mhando, ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Azam Media akiwa katika ukumbi wa wazi  wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akisubiri kusomewa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATAALAM MASUALA YA MAAFA WAKUTAKANA

 Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig. Jen. Mbazi Msuya akifungua kikao cha Wataalam wa Maandalizi  wa Kikao cha Baraza la Usimamizi wa Maafa Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIMAMOTO NCHINI YAPATA TUZO YA UTENDAJI BORA YA MWAKA 2017

 Kamishna wa Usalama dhidi ya moto wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Jesuald Ikonko (katikati) akiongea na Waandishi wa habari wa radio Times Fm wakati akitoa taarifa ya Mafanikio ya Jeshi la Zimamoto na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JPM na Mama Janeth wampa Wastara msaada wa pesa za matibabu tabata Sanene...

Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiwasilisha mchango wa shilingi milioni 15 kwa mwigizaji Wastara  kutoka kwa Rais Dkt Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu. SHILAWADU ndio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ESRF, PROF. JIN SANG LEE WAANDAA MHADHARA KUBADILISHANA UZOEFU NYANJA YA...

Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Kijamii (ESRF) kwa kushirikiana na Profesa Jin Sang LEE kutoka Chuo Kikuu cha New York – Korea (SUNY Korea) kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI NA MAMA JANETH MAGUFULI WACHANGIA SH. MILIONI 15 KWA AJILI...

   Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiwasilli kumkabidhi mwigizaji wa filamu za Bongo movie Wastara Juma shilingi milioni 15 zilizotolewa na Rais John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli kwa ajili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

mvua iliyoambatana na upepo yaezua paa za nyumba 30 tanganyika mkoani Katavi

Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika,Salehe Muhando (Mwenye miwani pichani juu na chini) akikagua athari ya  Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha jana na kusababisha kuezua mapaa ya nyumba 30 na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYAKAZI KAMPUNI YA UDALALI KORTINI KWA TUHUMA ZA RUSHWA

Karama Kenyunko, Globu ya jamii.WAFANYAKAZI wa kampuni ya udalali ya Tambaza jijini Dar es Salaam, wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya kuomba na kupokea rushwa ya...

View Article
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live




Latest Images