Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110181 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AHIMIZA KILIMO CHA KAHAWA

*Asisitiza kahawa iuzwe kwa mfumo wa ushirikaWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wananchi wa wilaya ya Songea mkoani Ruvuma wajikite kwenye zao la kahawa ili wawe na zao mbadala la biashara.Ametoa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI MTEULE WA UFARANSA AWASILISHA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Ufaransa hapa nchini, Mhe. Frédéric Clavier. Waziri wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI WA NURU FUNERAL SERVICES PAUL BEDA MOSHI AFARIKI DUNIA

TANZIAFamilia ya Bwana Paul Beda Moshi inasikitika kutangaza kifo cha baba yao mpendwa Paul Beda Moshi Mkurugenzi wa Nuru Funeral Services, kilichotokea siku ya Jumatano tarehe 3/1/2018.Ibada ya kuuga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC WANGABO AZIAGIZA KAMATI ZA ULINZI NA USALAMA KUSIMAMIA USAMBAZAJI WA...

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amezitaka kamati za ulinzi na usalama ngazi ya Mkoa kushirikiana na za Wilaya kusimamia usambazaji wa mbolea ili kufikia malengo ya kuzalisha chakula kwa wingi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOZI YA MULTI MEDIA ITASAIDIA KUONGEZA UFANISI KWA WAANDAAJI FILAMU...

Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo imeahidi kuwasaidia wanafunzi wanasoma kozi ya Multi Media kupata nafasi za mafunzo kwa vitendo katika sehemu mbalimbali pale inapowawia vigumu kupata nafasi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msemaji wa Jeshi la Polisi afanya ziara BBC

Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna msaidizi wa Polisi (ACP) Barnabasi Mwakalukwa akiagana na meneja wa ushirikiano wa BBC Media Action, Agnes Kayuni mara baada ya kumaliza mazungumzo na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA UBUNGO LUCAS MGONJA

 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya UbungoLucas Mgonja akizungumza na viongozi wa Wilaya hiyo katika Mkutano wa ndani uliofanyika jana katika Kata ya Msigani wilayani humo, ikiwa ni sehemmu ya ziara yake ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, DK. HAMISI KIGWANGALLA ATOA MAAGIZO MAZITO KWA...

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameugiza uongozi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kukabidhi eneo la Kilomita za mraba 25,000 kutoka kwenye Hifadhi ya Msitu wa Morogoro...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT MWANJELWA AMUAGIZA MRAJIS KUFANYA UCHUNGUZI SACCOS YA MADIBIRA-MBARALI...

Na Mathias Canal, MbeyaNaibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe Mary Mwanjelwa amemuagiza Mrajis Mkuu wa Maendeleo ya Ushirika nchini kuanza uchunguzi mara moja kwenye SACCOS ya Wakulima wa mpunga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKONDA AENDELEZA FARAJA KWA WAANDISHI WA HABARI.

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda , Leo amehaidi Kuijengea Nyumba ya Vyumba Vinnie (4) Familia ya Mwandishi (mpiga picha) wa Magazeti ya Serikali TSN wanaochapisha Magazeti ya Habari Leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KASI YA MADIWANI JIMBONI KWA MCHUNGAJI MSIGWA KUJIUZULU INATISHA , YUPO...

Diwani  wa kata ya  Mwangata Anjelus Mbogo kushoto   akizungumza na  wanahabari  leo  baada ya  kujiuzulu kwake wengine ni katibu kata  ya  Mwangata Tumaini Gwivaha  na aliyekuwa katibu wa mkoa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA FAMILIA YA NGUZA VIKING (BABU SEYA) KURUDI...

 Naibu Waziri wa Habari Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Studio ya Wanene na Wasanii Nguza Viking , Papii Nguza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC Wangabo aziagiza kamati za ulinzi na Usalama kusimamia usambazaji wa...

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amezitaka kamati za ulinzi na usalama ngazi ya Mkoa kushirikiana na za Wilaya kusimamia usambazaji wa mbolea ili kufikia malengo ya kuzalisha chakula kwa wingi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

India kuendelea kuwajengea uwezo Watanzania

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) ameiomba Serikali ya India kuendelea kuwajengea uwezo watumishi wa umma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI UMMY AMWAGA VIFAA VYA MICHEZO KWA KLABU YA AFRICAN SPORTS

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu ametoa vifaa vya michezo kwa timu ya African Sports ya Tanga yenye thamani ya zaidi ya milioni 1.5 ikiwa ni mkakati kabambe wa...

View Article


KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA SOKO LA KONDE-PEMBA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipongezana na viongozi wengine mara baada ya ufunguzi wa soko la Konde lililopo Wilaya ya Micheweni, Pemba. (Picha na Ofisi...

View Article


Kimbunga bomb cyclone chaikumba New York na vitongoji vyake

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli amteua Mhe. Doto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini

View Article

MTU MMOJA AFA MAJI KWENYE MACHIMBO NZUGUNI 'A'

View Article
Browsing all 110181 articles
Browse latest View live




Latest Images