Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110182 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI DODOMA KUWAKATIA BIMA YA AFYA 133 WANAOSAFISHA BARABARA MJINI,...

NA RAMADHANI JUMA,OFISI YA MKURUGENZIMKURUGENZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi ameahidi kuwakatia Bima ya Afya wafanyakazi 133 wanaosafisha mitaa na barabara zote za Mji wa Dodoma...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAFALI YA 16 YA CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA DAR

Mlau, Prof. Binamungu akiongoza maandamano kuelekea sehemu ya mahafali. Baadhi ya wahitimu wa shahada mbalimbali wakiwa katika mahafali hayo.Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK MNDOLWA KULIPA MADENI YA WATENDAJI JUMUIYA YA WAZAZI NDANI YA SIKU 100...

Na Said Mwinshehe-Globu ya Jamii.MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, Dk.Edmund Mndolwa amesema ndani ya siku 100 kuanzia jana atahakikisha analipa madeni yote wanayodai watendaki wa jumuiya hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJALIWA AZIAGIZA HALMASHAURI ZA WILAYA NCHINI KUSIMAMIA KILIMO CHA ZAO LA...

Na Robert Hokororo, Ofisi ya Mkurugenzi KishapuWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameziagiza halmashauri za wilaya nchini kuhakikisha zinasimamia kikamilifu kilimo cha zao la pamba ili kiwe na tija.Ametoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATOA SIKU SABA MKANDARASI WA BWAWA LA RUNGWA-ITIGI, KULETA VIFAA...

Mkandarasi anayejenga bwawa la Rungwa katika Halmashauri ya Itigi amepewa siku saba na Serikali Mkoani Singida kuhakikisha anapeleka vifaa muhimu vitakavyoongeza kasi na ufanisi wa ujenzi wa bwawa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AWATOA HOFU WAKAZI WA SONGEA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewatoa hofu wakazi 1,000 wa Manispaa ya Songea wanaoidai fidia ya sh. bilioni 3.8 ya eneo lao ambalo limechukuliwa na kuwa eneo la kiuchumi mkoani Ruvuma (Ruvuma SEZ) kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAFLA YA UZINDUZI WA KITABU CHA SOTE TUNAWEZA ILIVYOBAMBA DAR

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Sayansi na Teknolojia, Dkt. Ave-Maria Semakafu (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi Kitabu cha 'Sote Tunaweza', wakati wa hafla ya uzinduzi huo iliyofanyika kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

“VIONGOZI WA DINI WASIKATISHE TAMAA WAUMINI KUKABILI UKIMWI”- DK. MABOKO

VIONGOZI wa madhehebu mbalimbali ya kidini wameombwa kusaidia kuondoa unyanyapaa wa wagonjwa wa Ukimwi ikiwa ni sehemu kamili ya kukabiliana na janga hilo nchini. Aidha wametakiwa kutumia program...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAFALI YA 16 YA CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA DAR

Mlau, Prof. Binamungu akiongoza maandamano kuelekea sehemu ya mahafali. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo, Prof. Mathew Luhanga, akitoa hotuba yake wakati wa mahafali ya 16 ya Chuo Kikuu Mzumbe kampasi ya...

View Article


MWANJELWA WATOA NENO JUU YA NGUO ZA NDANI KUBWA KULIKO ZOTE JIJINI MBEYA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMAPILI LEO DECEMBER 24,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maandalizi ya Sherehe za kutimia Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar yapamba moto

Jumla ya Miradi 49 ya Kiuchumi, Maendeleo na Ustawi wa Jamii inatarajiwa kuzinduliwa na kuwekewa Mawe ya Msingi ndani ya Kumi la shamra shamra za maadhimisho ya Sherehe za kutimia Miaka 54 ya Mapinduzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SALAMU ZA MSIMU KUTOKA THE NGOMA AFRICA BAND YA UJERUMANI

   Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya The Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibuni inayoongozwa na Kamanda  Ras Makunja yenye maskani nchini Ujerumani inawatakieni kila la heri katika siku kuu ya...

View Article


MAGIC FM BAMIZA TOP 20 COUNT DOWN DECEMBER 23, 2017

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 9

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAGONJWA WA HOMA YA INI WAONGEZEKA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MTAKATIFU...

NaJu mbe Ismailly ITIGI  DAKTARI wa magonjwa ya ndani ya watu wazima,katika Hospitali ya Rufaa ya Mtakatifu Gaspari Itigi,DK.Kazaura Joseph amesema kumekuwa na ongezeko la ugonjwa wa homa ya ini katika...

View Article

Kila Mchezaji Wa Zanzibar Heroes Apewa Shilingi Milioni 3 na Kiwanja Kimoja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC GAMBO AONGOZA WANA-ARUSHA KUJENGA HOSPITALI YA WILAYA

 Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amezindua ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Arusha mjini katika eneo la Njiro kontena. Shughuli ambayo ilihidhuriwa na mamia ya wakazi wa Jiji hilo. Akizungumza na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMUIYA YA WAZAZI TANZANIA MKOA WA DAR ES SALAAM, WAMPOKEA KWA KISHINDO...

 Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akisalimia baadhi wa wana CCM waliofurika katika ukumbi wa Tawi la CCM Mwinjuma, Mwananyamala jijini Dar es Salaam, ambao walifika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPINA AAGIZA MKATABA WA OVENCO KUVUNJWA NA KUUNDWA KWA MKATABA MPYA.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina ameagiza kuvunjwa kwa mkataba ulioundwa baina ya RANCHI ya Taifa NARCO na kampuni ya Overland  kwa pamoja na kuunda kampuni ya OVENCO uliyokuwa na mapungufu...

View Article
Browsing all 110182 articles
Browse latest View live




Latest Images