Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA IJUMAA LEO NOVEMBA 24,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA:MBUNGE WA SONGEA MJINI LEONIDAS GAMA AFARIKI DUNIA

Mbunge wa Songea mjini na Diwani wa Songea mjini, mkoa wa Ruvuma, Mhe. Leonidas Gama Enzi za uhai wake akiwa kwenye kikao cha madiwani. Mhe. Gama amefariki usiku wa kuamkia leo Novemba 24, 2017, wakati...

View Article

WAZIRI MKUU AMPA OFISA ARDHI WA NAMTUMBO MWEZI MMOJA KUFIDIA WANANCHI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amempa mwezi mmoja Ofisa Ardhi wa wilaya ya Namtumbo Bw. Maurus Yera awe ametafuta ardhi ya kuwafidia wakazi wa kijiji cha Lwinga wilayani Namtumbo. Wakazi hao 21 mwaka 2008...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIKUNDI 40 VYA VIJANA NA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KATIKA HALMASHAURI YA...

NA VICTOR MASANGU, LUGOBA BAGAMOYOKATIKA kukabiliana na wimbi la umasikini na ukosefu wa ajira kwa vijana pamoja na wanawake hatimaye halmashauri ya Chalinze Wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani imeamua...

View Article

WATU SABA WASHIKILIWA KWA TUHUMA ZA UVAMIZI WA MELI BANDARI YA DAR ES SALAAM

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtandao wa Muziki Tanzania waipongeza Msama Auction Mart KWA KAZI NZURI YA...

kwa kazi nzuri ambayo amekuwa akiendelea nayo muda mrefu ya kukamata wezi wa kazi za muziki na hivyo kutoa mchango mkubwa katika kupunguza uharamia na kuhamasisha uchangiaji wa pato la Taifa kupitia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kifo cha Mbunge wa Songea Mjini...

 Mh.Gama enzi za Uhai wake.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afungua wa maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mwenyekiti wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU) Tabitha Siwale wakifunua kitambaa kuashiria ufunguzi wa maadhimisho ya miaka 10 ya chuo hicho Dar es Salaam jana. Kutoka (kwa...

View Article


Introducing Beka Flavor's "Sarafina" Produced By Awesome

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

maandalizi ya michezo ya Mabunge ya Afrika Mashariki yanayotarajia kuanza...

  Wabunge wakiwa wakijiandaa na mazoezi ya Bunge Sports Club yakiendelea kwenye Viwanja vya Chuo cha Biashara Dodoma (CBE: tayari tayari kwa michezo ya Mabunge ya Afrika Mashariki yanayotarajia kuanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE LEONIDAS GAMA KUZIKWA JUMATATU KIJIJINI KWAO LIKUYUFUSI RUVUMA, RAIS...

Aliyekuwa mbunge wa Songea Mjini (CCM), Leonidas Gama anatarajiwa kuzikwa Jumatatu katika makaburi ya familia yaliyopo Kijiji cha Likuyufusi mkoani Ruvuma.Gama aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA; MSIBA WA MHESHIMWA LEONIDAS GAMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 5

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA NDIYO MAAJABU YA KIMONDO CHA MBOZI KILICHOPO MKOANI SONGWE

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga (wa pili kulia) akiwa ameshikilia kivutio cha utalii cha Kimondo leo wakati wa ziara yake ya kikazi katika kijiji cha Ndolezi wilaya ya Mbozi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONGAMANO LA WASOMI WANATAALUMA KUFANYIKA KESHO HOTELI YA LANDMARK UBUNGO...

Na Dotto MwaibaleWANAFUNZI waliohitimu vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini kesho wanatarajia kufanya kongamono kubwa la kihistoria kujadili namna watakavyoweza kutumia taaluma zao kusaidia jamii, kanisa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI AAGIZA UPATIKANAJI WA MAJI KWENYE HALMASHAURI KUFIKIA ASILIMIA 75 MWAKANI

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe amezitaka Halmashauri zote nchini kuhakikisha zinafikisha huduma ya maji kwenye maeneo yao kwa wastani wa asilimia 75 hadi kufikia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUTOA MUONGOZO WA UTOAJI TIBA KWA HOSPITALI ZOTE

Na.WAMJW,Ruangwa.Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na watoto inatarajia kutoa mwongozo wa utoaji tiba kwenye hospitali zote nchini ili kuwe na mfumo mzuri wa dawa muhimu ili kuepusha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE ZIARANI CHINA KUSHIRIKI MKUTANO WA FOCAC

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Adolf Mkenda akifungua Mkutano wa kuvutia wawekezaji uliofanyika Ubalozi wa Tanzania nchini China na kuhudhuriwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AMPA OFISA ARDHI MWEZI MMOJA KUFIDIA WANANCHI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amempa mwezi mmoja Ofisa Ardhi wa wilaya ya Namtumbo Bw. Maurus Yera awe ametafuta ardhi ya kuwafidia wakazi wa kijiji cha Lwinga wilayani Namtumbo.Wakazi hao 21 mwaka 2008...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Kairuki afanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini leo

Waziri wa Madini, Angellah Kairuki amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait hapa nchini, Jasem Al Najem leo tarehe 24 Novemba, 2017.Kikao hicho kimefanyika katika Ofisi za Wizara ya Madini...

View Article
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live




Latest Images