Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live

JUKWAA LA UTU WA MTOTO LAWAJENGEA UWEZO MABINTI KUPAMBANA NA VITENDO VYA...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAHADHARI

 Daraja linalounganisha Ulongoni na Gongo la Mboto, Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam linaweza kukatika wakati wowote kama linqvyoonekana mapema leo,kufuatia mvua zilizonyesha na kuhamisha tuta la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF YAMPONGEZA RAIS DKT. MAGUFULI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KUHUSU UBORESHAJI WA MITAMBO YA KIBENKI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watu 6 Mbaroni Kwa Kukutwa na Nyaya za Umeme Mali ya TANESCO

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dsm mnamo tarehe 07/11/2017 huko maeneo ya Tegeta IPTL lilifanikiwa kukamata gari lenye namba za usajili T. 897 ARF aina ya FUSSO likiwa limebeba nyaya za umeme Roller/Drum...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATEJA WA VODACOM NA TECNO WALETEWA PHANTOM 8 MSIMU WA SIKUKUU

 Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Jacquiline Materu (kushoto) na Mkuu wa maduka ya rejareja wa kampuni hiyo, Brigita Stephan (kulia) wakimsikiliza Afisa Mawasiliano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHISPANIA AWEKA REKODI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA KUTUMIA BAISKELI.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini.MPANDA milima mashuhuri Duniani kwa kutumia Baiskeli ,Juanito Oiarzabal ameweka rekodi ya kuwa Mhispania wa kwanza kupanda Mlima Kilimanjaro huku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Prof. Elisante Aagiza Kiwanda cha Viuadudu Kujitangaza

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Profesa Elisante Ole Gabriel akiongoza kikao alipokutana na uongozi wa kiwanda cha Uzalishaji wa Viuadudu (Tanzania Biotech Production Limited)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA JOB NDUGAI AZUNGUMZA NA WABUNGE WALIOSHIRIKI MAFUNZO NCHINI CHINA.

 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walioshiriki mafunzo ya kuwajengea uwezo wa utendaji wao wa kazi nchini China katika kikao...

View Article


DC NYASA AITUPIA LAWAMA TBA KWA KUKWAMISHA UJENZI WA OFISI YA MKURUGENZI

Mkuu wa wilaya ya NYASA ISABELA CHILUMBA amemwomba mkuu wa mkoa wa RUVUMA CHRISTINA MNDEME kuhakikisha anaingilia kati ujenzi wa nyumba yake ,ofisi ya mkurungenzi baada ya kuonekana TBA kushindwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA HIFADHI ZA TAIFA (TANAPA) SASA LAFIKILIA KUJA NA UTALII KWA BODA...

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limesema litafikiria matumizi ya Boda boda na Bajaji kwa wageni watakao hitaji kutembelea Hifadhi zake endapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano Wa COP 23, Utatoa Suluhisho La Kukabiliana Na Changamoto Ya...

NA CHRISTINA MWAGALA, OFISI YA MEYA WA JIJIMSTAHIKI Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amesema kuwa mkutano wa COP 23 ambao Mameya na watendaji wakuu wa majiji na miji mbalimbali duniani utatoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSHTAKIWA SETHI AIOMBA MAHAKAMA IMRUHUSU KWENDA KUPATIWA MATIBABU YA PUTO...

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.Mshtakiwa Harbinder Singh Sethi,ameoimba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kumruhusu kwenda kupatiwa matibabu ya puto lake lililoisha muda nchini Afrika Kusini kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO NOVEMBA 10,2017

 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe.Azzan Zungu akiingia bungeni tayari kuongoza Mkutano wa tisa wa  kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania leo Mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahakama yatupilia mbali maombi ya matunzo ya mtoto dhidi ya Mwanamuziki...

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu upande wa watoto imeitupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mwanamitindo Hamisa Mobeto dhidi ya Mwanamuzi Diamond Platnum. Uamuzi huo umetolewa leo Novemba 10/2017 na...

View Article


RC RUVUMA AMEPIGA MARAFUKU KUMWITA MWANAFUNZI WAKIKE BABY

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amewataka wafunzi wakike waliopo mashuleni kuacha mara moja tabia ya kukubali kuitwa mababy hayo yamesemwa katika ziara yake ya siku moja katika shule ya NASULI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAGONJWA 15 WAFANYIWA UPASUAJI WA KUPANDIKIZA MISHIPA YA DAMU KATIKA MOYO NA...

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Saifee ya Mjini Mumbai nchini India wamefanya upasuaji mkubwa wa moyo kwa wagonjwa 15 katika kambi maalum ya upasuaji ya siku sita...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA KATIBU MKUU KIONGOZI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Injinia John Kijazi wakati alipomtembelea Waziri mkuu ofisini kwake mjini Dodoma leo Novemba 10/2017 kwa mazungumzo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZAZI WAASWA KUWASOMESHA WATOTO WA KIKE

NA DENIS MLOWE, IRINGAWAZAZI na Walezi wameaswa kuwasomesha watoto wa kike na kuachana na fikra potofu kuwa kumsomesha mtoto wa kike ni kupoteza rasilimali fedha kwani maisha ya sasa bila elimu ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WARSHA YA WANACHAMA WA UMOJA WA POSTA AFRIKA KWA NCHI ZINAZOZUNGUMZA...

WARSHA ya Kimataifa ya wanachama wa Umoja wa Posta Afrika kwa nchi zinazozungumza Kiingereza, imefanyika jijini Arusha, Tanzania ikizishirikisha nchi mbalimbali barani Afrika.Katika warsha hiyo,...

View Article
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live




Latest Images