Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110175 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAFISA MAENDELEO YA JAMII NI JESHI LA MAENDELEO YA WATU: NAIBU KATIBU MKUU...

Na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW Wataalam wa Maendeleo ya Jamii wana jukumu la kuhamasisha wananchi kubadili fikra zao ili wawe na mtazamo chanya unaowapa hamasa ya kushiriki kazi za kujitolea ili...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

“TAHLISO YAIOMBA HESLB KUHARAKISHA FEDHA ZA WANAFUNZI VYUONI”-MWENYEKITI WA...

JUMUIYA wa Wanafunzi wa Elimu ya Juu Tanzania (Tahliso) wameiangukia bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya Juu (HESLB) kuharakisha fedha za wanafunzi waliofeli baadhi ya masomo kwa kupata alama D...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA PAMBA ITAKAYOSAMABAZA MBEGU MBOVU KUPATIWA ‘INVOICE’ ILI ILIPE...

Na Tiganya Vincent-RS-TaboraSERIKALI ya Mkoa wa Tabora imesema itakamata mali za Kampuni zilizopewa jukumu la kusambaza pembejeo kwa ajili ya wakulima wa pamba ambao watawasambashia hasara wakulima...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

INTERPOL, EAC CONDUCT JOINT TRAINING WORKSHOP FOR THE HEADS OF...

East African Community Secretariat, Arusha, Tanzania, 9th November, 2017: A four-day INTERPOL - EAC joint training workshop for Heads of Anti-Drug/Narcotics and Human Trafficking in the EAC Partner...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA FINLAND NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Adolf Mkenda akimkaribisha Wizarani Balozi wa Finland nchini, Mhe. Pekka Hukka alipofika kwa ajili ya kujitambulisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMOJA WA VIJANA WALIOSOMA NCHINI CHINA (CAAT) WATEMBELEA HIFADHI YA SELOUS...

 Mhifadhi wa Wanyama Pori wa Selous kanda ya Matambwe, Gregory Kalokole akitoa maelezo machache juu ya hifadhi ya Selous. PORI la akiba la Selous ni moja kati ya hifadhi zenye utajiri wa vivutio adimu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI WOTE WALIOHUSIKA KUPOKEA MIFUGO PAMOJA NA WAFUGAJI KUTOKA NJE YA...

Na Rhoda Ezekiel Kigoama.WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina, ameagiza Viongozi wote waliohusika kupokea mifugo Pamoja na wafugaji kutoka Nje ya nchi kuchukuliwa hatua za kisheria  baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk.SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA BENKI YA CRDB,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea Hundi ya Shilingi za Kitanzania Millioni Ishirini na kutoka kwa Mkurugenzi Masoko katika Benki ya CRDB...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWZ ALERT:WAZIRI WA KILIMO DKT TIZEBA AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI MKUU WA...

Na Mathias Canal, DodomaWaziri wa kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba amemuagiza Katibu mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Methew Mtigumwe kumsimamisha kazi mara moja Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Sukari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

STARTIMES YAJA NA MFALME WA FAMILIA

Kampuni ya Star Media (T) Ltd kupitia chapa yake ya StarTimes ambayo imeidhinishwa kurusha matangazo ya Kombe la Dunia mwaka 2018 Moja kwa Moja, msimu huu wa Sikukuu imekuja na Ofa ya aina yake kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO NOVEMBA 9,2017

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akimsikiliza Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mhe.Freeman Mbowe wakati wa maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu leo Bungeni Mjini Dodoma.Waziri Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CRDB YACHANGIA MFUKO WA UWEZESHAJI WA RAIS WA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea Hundi yenye thamani ya Sh. Millioni 20 kutoka kwa Mkurugenzi Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Meya Mwita ahudhuria Mkutano wa Mameya Duniani unaofanyika Nchini Ujerumani

NA CHRISTINA MWAGALA,OFISI YA MEYA WA JIJIMSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita ameondoka Nchini usiku wa kuamkia leo kuelekea Nchini Ujerumani kuhudhuria mkutano wa mameya wote Duniani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.SHEIN AKUTANA NA MWAKILISHI MPYA WA UNFPA NCHINI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Mwakilishi mpya wa Shirika la UNFPA Nchini Tanzania Bibi.Jacqueline Mohan alipofika Ikulu...

View Article

"VYOMBO VYA NDANI VYA DOLA VINA UWEZO MKUBWA WA KUSIMAMIA USALAMA WA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKILI FEKI AKAMATWA-MAHAKAMA KUU-DIVISHENI YA ARDHI

Mhe. Mahimbali anasema kuwa upande wa pili ambao unasimamiwa na Wakili Maros Gabriel kutoka Kampuni ya Sheria ya ‘Common Law Chambers’ ulimtilia shaka Bw. Jeremiah Ragita kama kweli ni Wakili ndipo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUHUMIWA KESI YA MADINI YA ALMAS WAIOMBA MAHAKAMA IWASAIDIE KUPATA...

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.Mkurugenzi wa Tathmini, Archard Kalugendo (49) na Mthamini wa Madini ya Almas wa Serikali, Edward Rweyemamu (50) kwa mara nyingine tena, wameiomba Mahakama ya Hakimu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEC YASAMBAZA VIFAA VYA UCHAGUZI

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa maandalizi ya vifaa kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa madiwani unaofanyika katika kata 43 yamekamilika na awamu ya pili ya vifaa vitaanza kusafirishwa leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIGAMBONI KINARA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI

Na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW.Halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni imekuwa kinara wa kuwawezesha wanawake kiuchumi katika vikundi vya uzalishaji mali katika halmashauri zao.Hayo yamebainika katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uamuzi kesi ya matunzo ya mtoto dhidi ya msanii Diamond kutolewa kesho.

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kesho Novemba 10, 2017 inatarajia kutoa uamuzi dhidi ya kesi ya matunzo ya mtoto iliyofunguliwa na mwanamitindo Hamisa Mobeto dhidi...

View Article
Browsing all 110175 articles
Browse latest View live




Latest Images