RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA UWANJA WA NDEGE WA BUKOBA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia Andre Bald,...
View ArticleDK. KIGWANGALLA, "SIWEZI KUJARIBIWA NA SIWEZI KUCHEZEWA, SIKO HAPA KWA BAHATI...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kulia), Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Hamdun Mansur (katikati) na Afisa wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Ndugu Bajuta wakisoma ramani ya...
View ArticleTAFITI ZA KILIMO ZAWAFIKIA WAKULIMA WA WILAYA YA URAMBO KWA MARA YA KWANZA
Na Dotto Mwaibale, Urambo TaboraTAFITI za kilimo zinazofanywa hapa nchini na wataalamu zimewafikia wakulima wa Wilaya ya Urambo mkoani Tabora kwa mara ya kwanza.Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa...
View ArticleESRF YAWEZESHA WARSHA YA ANDIKO THABITI LA UTAFITI
Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF) imewezesha warsha ya siku 3 kuwajengea uwezo watafiti wa ndani waweze kuandika andiko bora la kuombea fedha kwa ajili ya tafiti. Warsha hiyo...
View ArticleJAFO: TAARIFA ZA WATUMISHI WALIOAJIRIWA 2058 IMEKAMILIKA.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani S. Jafo (Mb) amesema jumla ya watumishi wa Sekta ya Afya wapatao 2058 wamekwisha pangiwa vituo vya kazi...
View ArticleAZIMIO LA “BALFOUR” SIO MNASABA WA KUSHEREHEKEA
Imeandikwa na Rais wa Taifa la Palestina, Mheshimiwa Mahmuud AbbasWaingereza wengi hawamjui “Sir.Arthur James Balfour”ambae aliwahi kuwa Waziri Mkuu mwanzoni mwa karne ya ishirini, lakini jina lake ni...
View ArticleMOI:WAGONJWA KULALA CHINI IMEBAKI HISTORIA
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiTaasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) imekuwa na uwezo wa vitanda 340 ya kulaza wagonjwa na kuachana na kulaza wagonjwa chini ya sakafu iliyokuwa inatokana na ukosefu wa...
View ArticleSERIKALI IMETOA BURE MBEGU NA VIUATILIFU KWA AJILI YA KILIMO CHA PAMBA KWA...
Serikali imeahidi kutoa bure pembejeo za kilimo kwa wakulima mbali mbali wa zao la pamba mkoani Singida kuanzia msimu huu wa kilimo ikiwa ni moja ya juhudi za kuhamasisha na kufufua kilimo hicho mkoani...
View ArticleRAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KILIMO, MALIASILI, MIFUGO NA...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa...
View ArticleRaia wa China anayedaiwa kuwa Malkia wa Pembe za Ndovu ailalamikia Mahakama
Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii.Raia wa China anayedaiwa kuwa Malkia wa Pembe za Ndovu, Yang Feng Glan ameilalamikia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu juu ya mashahidi kutofika mahakamani licha ya...
View ArticleDriving cost-effective African broadband adoption with WTTx
Despite the rapid advancement in information communication technologies (ICT) globally, the vast majority of people across Africa remain either unconnected, or only have access to slow internet...
View ArticleHOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, DKT. PHILIP MPANGO, AKIWASILISHA...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango, akiwasilisha Bungeni Mjini Dodoma, Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2018/2019 na Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti...
View ArticleSAFARI YA NDEMLA YASOGEZWA MBELE, SASA KUONDOKA ALHAMIS
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITunapenda kuwafahamisha kuwa safari ya mchezaji wetu Hamis Said Juma Ndemla iliyokuwa ifanyike leo Jumanne imesogezwa mbele.Ndemla ambaye amepata nafasi ya kwenda kufanya...
View ArticleDKT. NDUMBARO AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUZINGATIA UADILIFU, KUJITUMA NA...
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akitoa maelekezo mbalimbali ya masuala ya kiutumishi katika Halmashauri ya Wilaya ya Madaba katika siku ya kwanza ya...
View ArticleWASHINDI WA DROO YA KWANZA WA PROMOSHENI YA ZALI LA MWANASPOTI WAKABIDHIWA...
KAMPUNI ya Mwananchi Communications Limited kupitia Gazeti la Michezo la Mwanaspoti, imekabidhi zawadi za droo ya kwanza ya Promosheni ya Zali la Mwanaspoti ikiwa ni zawadi kwa wasomaji kuelekea mwisho...
View ArticleSAMATTA NJE WIKI SITA, AUMIA GOTI SASA KUWAKOSA BENIN NOV 12
NAHODHA wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ anayekipiga na KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta atakuwa nje ya uwanja kwa majuma sita akiuguza majera ya goti aliyopata katika mchezo wa ligi kuu...
View Article
More Pages to Explore .....