Mwili wa Mangwea hautawasili nchini leo kama taarifa za awali zilivyokuwa...
Kamati ya msiba wa Marehemu Albert Mangweha tunaomba kutoa ya taarifa kwamba mwili wa Ndugu yetu Albert Mangwea hautoweza kufika siku ya jumapili ya tarehe 2/ 06/2013 kama ilivyo taarifa hapo awali,...
View Articlesemina elekezi ya Airtel Rising Stars
FAINALI za Taifa za michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 za Airtel Rising Stars zimepangwa kuanza kutimua vumbi uwanja wa Kumbu Kumbu ya Karume jijini Dar es Salaam Julai 2 kwa mabingwa...
View ArticleLIVE FROM DAR ES SALAAM: POPULAR MUSIC AND TANZANIA's MUSIC ECONOMY By Alex...
An exciting and vibrant study of popular music in Dar es Salaam, TanzaniaThe Tanzanian music industry is one of the fastest growing and most expansive on the African continent. Since the 1990s, the...
View ArticleMDAU SPENCER LAMECK ALAMBA NANDOZZZ YAKE CHUO DIPLOMASIA
Waziri wa mambo ya Nje na ushirikiano wa kimataifa Bw Benard Membe akiwatunuku vyeti, stashahada na stashahada za uchumi wahitimu wa chuo cha mahusiano ya kimataifa na diplomasia kwa mwaka wa masomo...
View ArticleMwanalibeneke Shamim Mwasha na Abdul walivyomeremeta
Maharusi,Shamim Mwasha (kuli kulia) na Mumewe Abdul (katikati) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Wadau waliofika kwenye mnusho huo. Maharusi katika picha ya pamoja na Ankal Khamsin na Mama wa...
View ArticleTIMU YA NSSF ALL STRS KWA UPANDE WA MPIRA WA MIGUU YAIBUKA NA USHINDI WA 1-...
Nahodha wa timua NSSF All Stars kwa upande wa timu mpira wa Miguu, Majuto Omari akionyesha Kombe baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhan Dau baada ya kuifunga timu ya Bunge...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA JOPO LA WATAFITI WA MASUALA YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Mkutano wa Jopo la Watafiti wa Masuala ya Uchumi Afrika (AERC) kujadili athari...
View ArticleRais Kikwete akutana na Mwenyekiti wa mambo ya nje wa bunge la Japan
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti wa kamati ya Mambo ya Nje ya bunge la Japan Mh.Katsyuki Kawai wakati mwenyekiti huyo alipomtembelea na kufanya naye mazungumzo...
View ArticleKinana afungua semina ya viongozi wa mashina na kata wilaya ya songeo leo.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia mikono mabalozi wa mashina,Matawi na Kata mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Maji Maji mjini Songea mapema leo mchana mkoani Ruvuma.Ndugu...
View ArticleThe Mboni Show yaadhimisha mwaka mmoja kwa kutoa msaada wa vifaa vya matibabu...
BOFYA HAPA KUONA PICHA LUKUKI ZA HAFLA HIYO
View ArticleWAZIRI MKUU PINDA AZINDUA SHEREHE ZA UTAMADUNI WA WASUKUMA JIJINI MWANZA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ,Askofu wa Jimbo Kuu la Mwanza Yuda Thadei Ruwaichi (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarest Ndikilo wakitazama baadhi ya vitu vilivyohifadhiwa kwenye moja ya...
View ArticleMICHUZI BLOG EXCLUSIVE: SUPA MODO FLAVIANA MATATA AACHANA KABISA NA UPARA
Supa Modo Flaviana Matata anayefanya shughuli zake jijini New York, Marekani, ametangaza rasmi kwamba yeye ana upara ndio basi tena katika hii exclusive interview aliyofanya na Globu ya Jamii akiwa...
View ArticleMh. Lowassa aongoza harambee ya kuchangia maendeleo ya Wilaya ya Nyasa Mkoani...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza machache muda mfupi kabla ya kuendesha harambee ya kuchangia maendeleo ya Willaya mpya ya Nyasa iliopo Mkoani...
View ArticleKARIAKOO LINDI YADHAMIRIA KURUDI LIGI KUU
Na Abdulaziz Video,LindiTimu ya Karikoo Fc ya mjini lindi Ilishuka dimbani kumenyana na timu ya Abajalo Fc ya mjini Dar es salaam Kipute hicho kilichopigwa katika dimba la ILULU uwanja ambao una...
View Articlekumbukumbu
Mzee Maliki Kiongoli Umetimiza mwaka mmoja tangu ulivyo Twaliwiwa nakutuacha na machungu moyoni mwetu Mimi Mkeo Mwanaid Kiongoli na sintasahau tulivyokuwa tunaishi kwa upendo na ulivyokuwa ukitoa...
View ArticlePresident Kikwete and former Japanese Prime Minister Yoshiro Mori speaks on...
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete speaks during a high level panel on “Accelerating the Global Fight against Infectious Diseases,” held as TICAD V official side event in Yokohama, Japan this...
View ArticleNgoma azipendazo ankal
Ngoma ya 'Mkono mmoja weka juu' wa Mheshimiwa Temba na Chegge ni noma...
View Article