Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwasili kwenye Ubalozi wa Tanzania DRC na kusalimiana na watendaji wa ubalozi huo baada ya kupokelewa na Kaimu Balozi Mhe. Hemed Mgaza.Spika Makinda ameandamana na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulizni na Usalama, Mhe. Mussa Azzan Zungu. Spika Makinda ameshauri kuwa wakati umefika kwa balozi zetu kuwezeshwa ili zijitegemee.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akisaini Kitabu cha wageni.kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulizni na Usalama, Mhe. Mussa Azzan Zungu na kushoto ni Kaimu Balozi wa Tanzania nchini DRC,Mhe. Hemed Mgaza
Jengo la Ubalozi. Jengo hili lipo kando ya barabara kuu ya Kinshasa.
Picha ya Pamoja na wafanyakazi.
Wajumbe kamati maalum wakiendelea na mkutano wa FP/ICGLR