Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 110189

Shirika la WE EFFECT Tanzania lazindua program ya miaka mitano

$
0
0

Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Chakula kutoka Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Elimpaa Kiranga akitoa hotuba kwa niaba ya Waziri Dk Charles Tizeba wakati akizindua programu ya miaka mitano ya Shirika la WE EFFECT Tanzania uliofanyika jijini Dar es Salaam Machi 12, 2018. wenye lengo la kukuza maendeleo Vijijini na kuchangia katika kupunguza umasikini kwenye kilimo hapa nchini.

Balozi wa Sweden nchini Tanzania Bi. Katarina Rangnitt akizungumza wakati wa uzinduzi wa programu ya miaka mitano ya Shirika la WE EFFECT uliofanyika jijini Dar es Salaam Machi 12, 2018. wenye lengo la kukuza maendeleo Vijijini na kuchangia katika kupunguza umasikini hapa Tanzania.
Mkurugenzi wa Shirika la WE EFFECT Kanda ya Afrika Mashariki,Bwana. Hans Lind akifafanua jambo wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi.
Mwakilishi kutoka Shirika la WE EFFECT Tanzania, Bi. Nasieku Kissambu akielezea utekelezaji kwa makundi mbalimbali kwa wakulima na miradi wakati wa uzinduzi wa programu ya miaka mitano ya Shirika la WE EFFECT Tanzania uliofanyika jijini Dar es Salaam Machi 12, 2018. wenye lengo la kukuza maendeleo Vijijini na kuchangia katika kupunguza umasikini kwenye kilimo hapa nchini..
Wadau kutoka sekta mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 110189

Latest Images

Trending Articles





Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>