Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109573 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ECO Bank Tanzania kufadhili wanafunzi shule za serikali

Benki ya Eco nchini Tanzania kuanzia mwaka huu inaanzisha mpango wa kutoa zawadi ya ufadhili kwa wasichana wanaofanya vyema katika masomo yao kwenye shule za serikali.Aidha pamoja na ufadhili huo ili...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASAUNI AFANYA MKUTANO WA HADHARA KILWA KUSINI ASISITIZA ADHMA YA SERIKALI...

 NaibuWaziriwa Mambo yaNdaniyaNchi, MhandisiHamadMasauni, akizungumzanawananchiwaWilayayaKilwaKusini(hawapopichani),...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPANDE WA MASHTAKA WAFUNGA USHAIDI KESI YA WEMA SEPETU

Miss Tanzania 2006 na Msaanii wa filamu, Wema Sepetu akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo mara baada ya kusomewa mashtaka yanayomkabiri ya Madawa ya kulevya.Picha na Avila Kakingo, Globu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MWAKYEMBE AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA MAAFISA HABARI, MAWASILIANO NA...

  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wakati wa ufunguzi mkutano wa 14 wa kikao kazi cha Maafisa hao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK MABOKO AFUNGUA KIKAO CHA USAMBAZAJI WA RIPOTI YA TATHMINI YA MAZINGIRA YA...

 Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dk.Leonard Maboko akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao kwa ajili ya usambazaji wa ripoti ya tathmini ya mazingira ya kisheria...

View Article


MBUNGE CHUMI AWATOA HOFU WANANCHI JUU YA UPATIKANAJI WA UMEME

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAANZA RASMI MAZUNGUMZO NA KAMPUNI YA BHARTI AIRTEL JUU YA UMILIKI...

 Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa  kampuni ya Bharti Bi. Tina Uneken-van de Vreede akiwa ameongozana na mwanasheria mkuu wa kampuni hiyo Bw....

View Article

KIPINDI MAALUM CHA MAENDELEO YA UJENZI WA FLY OVER YA TAZARA JIJINI DAR ES...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUNGE LA VIJANA ZANZIBAR WAADHIMISHA SIKU YA JUMUIYA YA MADOLA

 Makamo wa pili wa Rais wa baraza la Vijana , Bilal Hassan Maulid akitoa hotuba ya kuahirisha Bunge la Vijana lililofanyika ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi katika kuadhimisha siku ya Jumuiya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WATAKIWA KUPIMA UGONJWA WA MACHO ANGALAU MARA MOJA KWA MWAKA.

NA WAMJW-DAR ES SALAAMWATANZANIA wametakiwa kujua afya zao hususan magonjwa yanayohusu macho angalau mara moja katika mwaka ili kuweza kutambua juu ya mustakabali wa macho yao. Hayo yamezengumzwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERT: BEI MPYA YA MAFUTA ZANZIBAR YATANGAZWA

Na Kijakazi Abdalla, MaelezoMAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza bei mpya ya mafuta ambayo itaanza kutumika kesho Jumanne 13/03/2018. Akizungumza na Waandishi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAIPONGEZA COCA-COLA KWA KUWEKEZA KATIKA MASHINDANO YA UMISSETA

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Seleman Jafo,ameipongeza kampuni ya Coca-Cola kwa kuwekeza kudhamini mashindano ya Shule za Sekondari nchini ya UMISSETA kwa kipindi...

View Article

RC RUVUMA AWAONYA WAKANDARASI WANAOKIUKA MIKATABA

MKUU WA MKOA WA RUVUMA CHRISTINA MNDEME AMEWATAKA WAKANDARSI ROSALINDA NA TARURA KUFUATA SHERIA ZA MIKATABA YAO NA KUJENGA KWA VIWANGO BARABARA WANAZOKABIDHI KWANI WATAKAO FANYA KINYUME NA HAPAO...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shirika la WE EFFECT Tanzania lazindua program ya miaka mitano

Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Chakula kutoka Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Elimpaa Kiranga akitoa hotuba kwa niaba ya Waziri Dk Charles Tizeba wakati akizindua programu ya miaka mitano ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA,UJERUMANI ZAKUBALIANA KUENDELEZA TAFITI MASALIA YA MIJUSI ENEO LA...

Ujerumani na Tanzania zimekubaliana kuendeleza tafiti za masalia ya mijusi katika eneo la Tendaguru mkoani Lindi.Makubaliano hayo yamefikiwa baada ya Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MNEC SALIMU ASAS ACHANGIA MAENDELEO YA UWT IRINGA MJINI.

Na Fredy Mgunda,Iringa.MJUMBE wa halmashauri kuu ya Taifa ya chama cha Mapinduzi (CCM) MNEC Salimu ASAS ameendelea kuineemesha jumiya ya umoja wa wanawake mkoa wa Iringa (UWT) kwa kutoa kiasi cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA TANZANIA YAFUTA ADA KWA NYARAKA MBALIMBALI ZA KIMAHAKAMA

View Article


KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA,HISPANIA WAANDAA KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI MJINI MADRID

Ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa ambao pia unawakilisha Tanzania katika nchi ya Hispania kwa kushirikiana na Shirikisho la wafanyabiashara la Madrid (Madrid chamber of commerce – CAMARA) pamoja na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANACHAMA CHADEMA KAKONKO WATIMKIA CCM

Na Rhoda Ezekiel Kigoma,JUMLA ya wanachama 27 wa Chadema wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi(CCM)wilayani Kakonko mkoani Kigoma kutokana na kuvutiwa na utendaji kazi wa Serikali ya CCM.Wanachama hao...

View Article
Browsing all 109573 articles
Browse latest View live




Latest Images