Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe.Wilson Masilingi (kushoto) akiwa na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo wakati alipomtembea wizarani kujifunza na kupata mwanga wa nini kinatakiwa katika kuendeleza sekta hiyo muhimu, na namna ya kuwaelewesha wawekezaji nini wategemee watapokuja nchini kuwekeza
Wataalam kutoka Wizara , Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA ) wakifuatilia mazungumzo kati ya Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe.Wilson Masilingi (kushoto) akiwa na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo. Picha na Teresia X. Mhagama