$ 0 0 Ngoma Africa Band inaungana na watanzania wote katika kipindi hiki cha msiba wa wanafunzi, walimu na dereva kilichotokea mkoani Arusha,Tanzania.Mungu awalaze pema peponi - AMINA