Mratibu wa Shindano la Miss Grand Tanzania , Rasheedah Jamaldin akizungumza na waandishi wa habari mapema leo jijini Dar, juu ya uzinduzi wa shindano la urembo litakalo tambulika kama Miss Grand Tanzania 2017 linalotarajia kuanza mapema mwezi Juni mwaka huu, ambapo imeelezwa kuwa mchujo wake utaanzia katika ngazi ya vitongoji mpaka Taifa .
Meneja Matukio wa Miss Garand Tanzania 2017 ,Abraham Mahimbo akizungumza na waandishi jisni mawakala watakavyohusika katika kuwapata warembo nchi nzima
Waandishi mbalimbali waliofika katika mkutano huo wa uzinduzi wa shindano la Miss Garand 2017 jijini Dar es Salaam leo