Waziri wa Fedha na Mipango , Dk. Philip Mpango akisaini mkataba wa mkopo kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Chahua hadi Chaya kwa mkopo wa Dola Milioni 51 za kimarekani, katika shughuli iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Hazina, jijini Dar es salaam leo.
Naibu Mkurugenzi wa mfuko wa wa Kuwait , Hamad Al-Omar akiabadilishana mkataba na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk .Philip Mpango.
Baadhi ya wajumbe kutoka nchini Kuwait wakishuhudia tendo hilo la utiaji Sahii
Viongozi wa ngazi za juukutoka Wizara ya Fedha na Mipango wakishuhudia kitendo hicho cha utiaji Sahini.